Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 50,506
- 113,624
Mkuu Mzee Mwanakijiji, uzalendo ni pamoja na kuwa na blind faith, kuwa na imani isiotia shaka na matumaini na unaowaamini kwamba wanatupeleka mahala pema hata kama wanatupitisha njia iliyojaa mbigiri, hivyo huna haja kuiosoma na kuielewa muhimu ni kuisoma tuu na kuiamini na sii lazima kuielewa, kama tunavyo mwamini Mungu.
Ujamaa ni imani, aliyepo amekuja kuikamilisha na kuitimiliza ndoto ya Nyerere, tumuaminie na kumpatia kila ushirikiano ili ayaweze katika Yeye amtiaye nguvu.
Heri wewe umeisoma hukuielewa, mimi wala sihitaji kuisoma, nimeisha iamini bila kuisoma kwa kuwaaminia kwa sababu kuhusu Stigler niliisha sema kila kitu hapa
nilisema
Uzalendo wa kweli wa nchi yako ni pamoja na kusupport mipango kamambe
ya maendeleo ya nchi yako hata kama mipango hiyo itasababisha maumivu kwa walio wengi as long as itakuwa na faida kubwa kitaifa huko baadae.
P

Ukweli mchungu kuhusiana na mradi wa Stiegler's Gorge
Ni hivi watu wengi wanaandika bila kuujua ukweli. Ukweli ni kwamba kabla ya mradi wowote mkubwa kutekelezwa lazima kifanyike kitu kinachoitwa Environment Impact Assessment. Ukweli ni kwamba serikali iliunda team iliyojumuisha maprofesa nguli kufanya Environment Impact Assessment ambapo...
www.jamiiforums.com