Ili wapingaji waelewe!Hivi kulikuwa na umuhimu gani kutumia lugha wasioimudu?
Ili wapingaji waelewe!Hivi kulikuwa na umuhimu gani kutumia lugha wasioimudu?
NI ya wataalamu kama ile ya Makinikia iliyoonesha, endapo Acacia wasingetuibia madini yetu, Tanzania ingekuwa ndie top gold producer duniani, na kuhitimisha tunawadai USD 190 Billion wakati Market Capitalization ya kampuni husika haifiki hata USD 5 Billion!!!
Serious note: Hivi kuna mtu anaweza kunifanyia mpango wa passport ya Kenya, manake hivi sasa najisikia aibu mimi kuingia nchi za watu na Passport za Tanzania! Haki ya Mungu hii sitanii! Kuna siku nimeshuka kwenye airport ya nchi fulani ghafla Watu wakaanza kunitazama mara baada ya kutoka kwenye cube ya passport control. Yaani nahisi kama yule afisa aliwakonyeza watu kuwaambia "...mnamuona yule, jamaa ni Mtanzania, ile nchi inayoidai kampuni ya madini USD 190 Billion wakati mapato ya nchi yake kwa mwaka hayafiki hata USD 15 Billion"!
Mkuu kafanye wewe utafitiTatizo awamu hii ukifanya mambo kitaalam unaonekana sio mzalendo.
Yule Mama wa kituo cha utafiti alitenguliwa WHO wakampa kitengo.
Lakini hapa tatizo ni la hawa wataalam wetu kuamua kuacha utaalam na kufanya jambo kwa kufurahisha watawala.
Kubaki kwenye misingi ya kitaalam na kutokuwa na upande napo ni sifa ya utaalam.
interesting length of the abstract ...6 pages mh! I thought an abstract is supposed to be a page long au kuna standards tofauti za abstracts according to the report type?Abstract page 6 na nusu. Mimi huwa nasoma Abstract ndo napata picha. Sasa abstract tu page 6 na nusu. Sijaisoma kwa kweli.
Mkuu kafanye wewe utafiti
Hata upo jukwaa pendwa.Tatizo la hii inch ni Siasa. Kila kitu ni siasa, hapo wataalamu wameweka Elimu mifukono wametanguliza siasa mbele
Kwa sababu yeye ni mtaalam aliyebobea kwenye fani yake. Hata mimi Nina wasiwasi na utaalam wa hao wàtu wasaka teuzi Serkalini. Kwa mbinu kama hiyo wengi wameteuliwa lakini wapowapo tu.Kama umeshindwa kuisoma umejuaje haina sifa ya utaalamu?
unamaanisha university of dar es salaam?
Kibajaji ni mbunge wetu mtunga sheria mahili wa nchi hii anajua kusoma na kuandika tu.HII RIPOTI IKO WAPI MBONA SIJAIONA NAONA COMMENTS TU NA KULAUMU PhD UTAFIKIRI MWENYE KULAUMU ANA GHATA FIRST degree
Sidhani aisee. Ila ikizidi basi iwe page na nusu. Labda kwa vile ni Report wanapeleka kwa Rais.interesting length of the abstract ...6 pages mh! I thought an abstract is supposed to be a page long au kuna standards tofauti za abstracts according to the report type?
Abstract inaanzia page 3 hadi ya 9.Abstract ndefu mno.A
Abstract page 9 halafu Introduction page 1, hawa ni wataalamu waganga wa kienyeji au watalaam km experts? Tuanzie hapo kwanza kujua.
Sheep mentalityMkuu Mzee Mwanakijiji, uzalendo ni pamoja na kuwa na blind faith, kuwa na imani isiotia shaka na matumaini na unaowaamini kwamba wanatupeleka mahala pema hata kama wanatupitisha njia iliyojaa mbigiri, hivyo huna haja kuiosoma na kuielewa muhimu ni kuisoma tuu na kuiamini na sii lazima kuielewa, kama tunavyo mwamini Mungu.
Ujamaa ni imani, aliyepo amekuja kuikamilisha na kuitimiliza ndoto ya Nyerere, tumuaminie na kumpatia kila ushirikiano ili ayaweze katika Yeye amtiaye nguvu.
Heri wewe umeisoma hukuielewa, mimi wala sihitaji kuisoma, nimeisha iamini bila kuisoma kwa kuwaaminia kwa sababu kuhusu Stigler niliisha sema kila kitu hapa
nilisemaUkweli mchungu kuhusiana na mradi wa Stiegler's Gorge
Ni hivi watu wengi wanaandika bila kuujua ukweli. Ukweli ni kwamba kabla ya mradi wowote mkubwa kutekelezwa lazima kifanyike kitu kinachoitwa Environment Impact Assessment. Ukweli ni kwamba serikali iliunda team iliyojumuisha maprofesa nguli kufanya Environment Impact Assessment ambapo...www.jamiiforums.com
Uzalendo wa kweli wa nchi yako ni pamoja na kusupport mipango kamambe
ya maendeleo ya nchi yako hata kama mipango hiyo itasababisha maumivu kwa walio wengi as long as itakuwa na faida kubwa kitaifa huko baadae.
P
And what if this will cause environmental catastrophe in future? The sustainability of the project depends so much on constant and adequate flow and supply of water.This is how the blind faith operates
nilisisitiza uzalendo wa aina hii
Uzalendo wa kweli wa nchi yako ni pamoja na kusupport mipango kamambe
ya maendeleo ya nchi yako hata kama mipango hiyo itasababisha maumivu kwa walio wengi as long as itakuwa na faida kubwa kitaifa huko baadae.
P