IROKOS
JF-Expert Member
- Aug 13, 2011
- 10,182
- 7,850
Hata Kafulila alipoibua sakata hili mlisema hivyo hivyo, na mkaenda mbali kumuita Tumbili.This is only in TZ.Unaushaidi dada yangu?
Hata Kafulila alipoibua sakata hili mlisema hivyo hivyo, na mkaenda mbali kumuita Tumbili.This is only in TZ.Unaushaidi dada yangu?
[ haya umeshanuomba msamaha Yeriko kwa kumuita mzushi??
Msikanushe kila kitu
Mkuu yeriko umri wako hauendani na mambo haya. Leo Kutwa nzima unazusha mambo...hivi una taka nini? Stunt?
Ulishawahi kuzusha sheikh Ponda kauwawa Morogoro, unazusha mwana sheria wa Zanzibar aliyetimuliwa na shein kaokotwa ameuwawa....hukuishia hapo...
Hivi tatizo Lako Hua ni nini? Tutakuamini vipi kama una sema kweli au uongo?
Hivi Rizone angekuwa hajaenda shule ingekuwaje? Maana anafanya mambo ya kijinga sana hata mtu wa standard 1 hawezi fanya hivyo. Dunia ya leo unaweza fanya ujinga kama huo wakati unajua technologia ilivyo?
Haya sasa we aendeleee na sisi tufyatue zile original copies huku zigawiwe Universities na higher learning instutition zote then wananchi wakawaida wawe zimaliziwe kwa wananchi wa kawaida.
Huyu Ridhiwan atapotea haraka sana kwenye duru za siasa asipoangalia,, ameanza kutumika kama toilet paper sasa.... Namshauri aende kumuuguza Baba ake huko tezi dume aache ujinga mara moja.... Na asipokuwa makini atamtangulia Baba ake kuchunga mbuzi huko kijijini...
Nashukuru Mungu hii familia inaenda kutoka ikulu mwakani, hii familia ni majanga tupu, wauza unga wao, waua tembo wamo, kuchakachua katba wamo, escrow acc. wamo, n sheeeda goo plz go to your vlage
Malaya Ww
acha ujing wewe kijana,nani kakutuma usambaze uongo?kwa faida ya nani?riport wanayo wahusika mpaka soft copy wewe unatuambia imenyofolewa kurasa,wewe umepewa kias gani?na nani?ili iweje?mbna huandiki aliyewakodishia ndege kina Zitto na Filikunjombe kwenda Kigoma?na nyie Chadema mnashiriki huu uhuni kwa faida ya nani?
Walikabiziwa hard copies. ......report yao ilikuwa tayari kutolewa kwa mjibu ZZK. Hii ikiwa na maana walisha pitia repport yote. Hawakupewa soft copies (japo zinaweza kupatikana hasa kutoka kwa waliowazalendo wa nchi hii )
Kwa hali ilivyo...na kwa uzoefu wa ccm kuiba na kufanya mambo ndivyo sivyo.......hasa kwa wakati huu ambao wako tayari kutumia mabavu....kunyofoa hizo kurasa ni kitu kidogo sana.
Maswali magumu ni kuwa wameibaje hizo doc kutoka kwa ZZK na Filikunjombe? Mkusanyiko wa vigogo ccm Dodoma ilikuwa ni kufanya wawezalo kuilinda serikali.......wananchi watafanya wawezalo kulinda utu na haki yao ya kuishi.....hawatakufa kwa kukosa dawa.
leonk tatizo lililopo mfumo mbovu tulionao. Leo hii mfano hela ya escrow ikirudishwa yote then tuseme ipelekwe kujenga maabara nchi nzima, watz hao hao wanaolalamika (including wabunge) wataipiga vibaya mno. Mimi naona hela ya escrow ilitoka kwa mujibu wa sheria, ila mkanganyiko uliopo ni maslahi binafsi.Wamechoka na mipasho ya waongoza nchi wenu, nchi inazidi kudidimia, pesa ya Tz inazidi kuzama, mtu unabeba milion 10 kwenye Rambo then Mkenya anakupa chenji unaweka mfukoni na wala haituni, so bad! Anakurudishia vi-note 50 tu!
acha ujing wewe kijana,nani kakutuma usambaze uongo?kwa faida ya nani?riport wanayo wahusika mpaka soft copy wewe unatuambia imenyofolewa kurasa,wewe umepewa kias gani?na nani?ili iweje?mbna huandiki aliyewakodishia ndege kina Zitto na Filikunjombe kwenda Kigoma?na nyie Chadema mnashiriki huu uhuni kwa faida ya nani?