mfianchi
Platinum Member
- Jul 1, 2009
- 12,264
- 9,148
Cjapata kuona mtu mzushi ka huyu jamaa.nafikiri ukamuombe msamaha hayati kwa kutumia jina lake
Ungeangalia taarifa ya habari ya saa 2 usiku ITV badala ya kusema uzushi.
Cjapata kuona mtu mzushi ka huyu jamaa.nafikiri ukamuombe msamaha hayati kwa kutumia jina lake
Kucheka na CCM ni sawa na kucheka na Nyani aisee.....Hawa Jamaa dawa ni kuwatimua kabisa kwenye sanduku la kura.
Mkuu yeriko umri wako hauendani na mambo haya. Leo Kutwa nzima unazusha mambo...hivi una taka nini? Stunt?
Ulishawahi kuzusha sheikh Ponda kauwawa Morogoro, unazusha mwana sheria wa Zanzibar aliyetimuliwa na shein kaokotwa ameuwawa....hukuishia hapo...
Hivi tatizo Lako Hua ni nini? Tutakuamini vipi kama una sema kweli au uongo?
Badala ya kuwakamata majambazi wanakamatwa wanaosambaza majina ya majambazi, nchi hii ni ajabu sana. hivi huu ujinga unaendelea na watanzania wamenyamaza kimya kama hizo pesa si za kwao au haziwahusu. Kwani tusifanye maandamano yasio na kikomo mpaka Professor feki wa kichina na genge lake la wahuni wajiuzulu na wakamatwe. madawa hospitalini hakuna kwa sababu kama hizi.
Kweli mtanzania ni kondoo kiziwi.
kazi ipo leo
Mtoa hoja endelea tu kupakaza matope CCM maana ndio kazi yako kama Mwana CHADEMA, na ukiacha kufanya hivyo tutakushangaa. Lakini ripoti nyeupe, endeleeni tu kuchafua watu.
![]()
Mkuu yeriko umri wako hauendani na mambo haya. Leo Kutwa nzima unazusha mambo...hivi una taka nini? Stunt?
Ulishawahi kuzusha sheikh Ponda kauwawa Morogoro, unazusha mwana sheria wa Zanzibar aliyetimuliwa na shein kaokotwa ameuwawa....hukuishia hapo...
Hivi tatizo Lako Hua ni nini? Tutakuamini vipi kama una sema kweli au uongo?
Unaushaidi dada yangu?
Naomba niseme kuwa Ridhiwani Kikwete ndiye kinara wa usambazaji wa ripoti feki inayoaminishwa kwa umma kuwa ndiyo ripoti ya CAG!
Onyo! Tumechoshwa na ufisadi uliokithiri! Ni lazima Ridhiwani ulielewe hili!
Huna hati miliki na nchi hii! Wewe ni raia kama wengine! tunakutaka uelewe hilo na sii vinginevyo!
Tumeapa kuwafia wanyonge na tutafanya hivyo kwa njaa na uchu mkubwa!
Tuna uchu wa kupambana kwa ajili ya wenzetu! Tutafanya hivyo mara moja bila kusita!
Nchi hii mazingaombwe tupu. Kwani kila mjumbe wa PAC si alipewa kabrasha lenye ripoti kamili? Sitaki kuamini