Ripoti ya PAC yaibwa Bungeni mpaka ya CAG iliyoko Dar!

Ripoti ya PAC yaibwa Bungeni mpaka ya CAG iliyoko Dar!

Wakuu hali ya taharuki imeibuka baada ya ccm kuiba kwakunyofoa kurasa zenye ushahidi wote wa wizi na majina ya wezi wote,

Kurasa za 56,57,59... Zote zimenyofolewa, kibaya zaidi wezi hawa wameiba kuanzia iliyopo Bunge kwa Kashilila, Kwa ofisi ya PAC, na ile ya CAG huko Dar,

Hali sasa inayoendelea nikuwa ripoti iliyobaki isiyo na ushahidi wala makali wezi hawa wamewagawia wabunge wa CcM na wananchi mtaani ili nakuwaambia wajionee wenyewe ripoti haina mtu wakuwajibika.

Hii ndio ccm na makandokando yake chini ya TISS.

Wananchi chukueni hatua za dharura!!!

Akili yangu imekataa kukubaliana na habari hii sorry.
 
YN mbona working papers zipo? Hilo halina shida.Ina maana akina Zitto hawakufanya copies? Na sofy copy ya PAC hawakuwa nayo.Zitto hana soft copy? Mbona hatutawaelewa hawa Kamati ya PAC.Deo Filikunjombe atuambie copy zao ziko wapi?

Walikabiziwa hard copies. ......report yao ilikuwa tayari kutolewa kwa mjibu ZZK. Hii ikiwa na maana walisha pitia repport yote. Hawakupewa soft copies (japo zinaweza kupatikana hasa kutoka kwa waliowazalendo wa nchi hii )

Kwa hali ilivyo...na kwa uzoefu wa ccm kuiba na kufanya mambo ndivyo sivyo.......hasa kwa wakati huu ambao wako tayari kutumia mabavu....kunyofoa hizo kurasa ni kitu kidogo sana.

Maswali magumu ni kuwa wameibaje hizo doc kutoka kwa ZZK na Filikunjombe? Mkusanyiko wa vigogo ccm Dodoma ilikuwa ni kufanya wawezalo kuilinda serikali.......wananchi watafanya wawezalo kulinda utu na haki yao ya kuishi.....hawatakufa kwa kukosa dawa.
 
Hauko pekee yako Mkuu, ngoja tusubiri kufahamu nini kinachoendekea maana hawa wahuni wanahaha sana kuhusu hii ripoti.

Akili yangu imekataa kukubaliana na habari hii sorry.
 
Tatizo la mtanzania upenda kitu kidogo atazami yeye anahasilika vp mgombea akifika kijiji kumfulaiya name kumkusanyiya zawadi nyingi ukizani wenyewe awana shida tuwe makini name Hawaii wagawa mashati
 
Ripoti ya PAC haijaibiwa na kwa hatua ilipo sasa ni vigumu kuiiba!

Kinachotokea sasa Dodoma ni kuwa ripoti hiyo inajadiliwa chini ya ulinzi mkali!
Wamejifungia kweli kweli na kuna tetesi kuwa ripoti hiyo imevuja. Tayari wabunge machachari wanayo na huenda kesho tukaiweka humu kama mambo yataenda sawa!
Hebu jitahidini muiweke mkuu hiyo kesho wananchi tuanze kuijadili kabla haijasomwa mjengoni.
 
Wakuu hali ya taharuki imeibuka baada ya ccm kuiba kwakunyofoa kurasa zenye ushahidi wote wa wizi na majina ya wezi wote,

Kurasa za 56,57,59... Zote zimenyofolewa, kibaya zaidi wezi hawa wameiba kuanzia iliyopo Bunge kwa Kashilila, Kwa ofisi ya PAC, na ile ya CAG huko Dar,

Hali sasa inayoendelea nikuwa ripoti iliyobaki isiyo na ushahidi wala makali wezi hawa wamewagawia wabunge wa CcM na wananchi mtaani ili nakuwaambia wajionee wenyewe ripoti haina mtu wakuwajibika.

Hii ndio ccm na makandokando yake chini ya TISS.

Wananchi chukueni hatua za dharura!!!

ITV wameripoti pia...wanaokuita wazushi wakome.
View attachment 204741

View attachment 204744
 
Juzi ulikuja na uongo wa kuwa eti Muhongo atajiudhuru baada ya masaa 12, sasa yanapita 48, leo unakuja na uongo mpya, hivi hiyo ripoti iliandikwa kwa mkono, karne hii?

Benki ya Mkombozi unamjuwa mwenyewe?
 
Anachofanya Nyerere ni siasa ya kiwango cha hali juu sana...ni zaidi ya propaganda za Nape dhidi ya ukawa. Inahitaji IQ ya juu sana kutambua what next......ili lazima liwatie kiwewe ccm

Hooo Itv ime-confirm taarifa za Nyerere.
 
Baada ya kuangalia taarifa ya habari ya ITV sasa nimeelewa.
Kumbe mafisadi wamesambaza ripoti hii iliyonyofolewa kurasa za majina ya mafisadi ili ku'neutralize taarifa itakayosomwa J3.
 
Ni kweli nimesikia imeibiwa inasambazwa maeneo mbali mbali mjini dodoma
Chanzo:Radio One
 
Mkuu yeriko umri wako hauendani na mambo haya. Leo Kutwa nzima unazusha mambo...hivi una taka nini? Stunt?

Ulishawahi kuzusha sheikh Ponda kauwawa Morogoro, unazusha mwana sheria wa Zanzibar aliyetimuliwa na shein kaokotwa ameuwawa....hukuishia hapo...

Hivi tatizo Lako Hua ni nini? Tutakuamini vipi kama una sema kweli au uongo?

Acha ujinga wewe, hiyo nu kweli angalia habari ITV sa hv.
 
Aisee Ni kweli imevuja. ITV sasa hivi.ccm kiboko aah nimeishiwa Na nguvu siamini kinachotokea inasemekana profess muongo anahusika.
 
Akili yangu imekataa kukubaliana na habari hii sorry.

habari ni ya kweli lakini Nina uhakika imeibiwa wakati PAC walisha maliza kuandika na kuhoji watu wote ...na kwa mujibu wa zitto walisha maliza kazi yote na walisha andika muhtasari!
 
Back
Top Bottom