barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,404
- 29,811
Mkuu nilitaka nikutukane lakini basi hivi hukumbuki asubuhi mbatia ndiyo alikuwa anataka jambo hili lisijadiliwe kwani mbatia naye ni mbunge wa ccm,acheni ujinga mkuu tena spika amekomaa kweli kutaka lijadiliwe wakati lisu,mnyaa,mnyika na mbatia walitaka liondolewe lisijadiliwe sasa wewe unaongea nini acha kabisa ujinga mkuu.
Niliangalia bunge, kama sikuelewi vile.