Kimbunga
Platinum Member
- Oct 4, 2007
- 14,977
- 10,073
Hello Hello,Twendeni taratibu ,wengine hatujaona yeyote Fake or Original ,hebu tuwekeeni hapa zote mbili ,ya ukweli na hiyo ya chalinze!
Wakuu huyu Chief Kiumbe tena vipi anahusishwa humu. kafanyaje tena huyu jamaa. au ndio anatafuta hela za kumalizia ghorofa lake pale mtaa wa Mkendo, Musoma?