Ripoti ya PAC yaibwa Bungeni mpaka ya CAG iliyoko Dar!

acha ujing wewe kijana,nani kakutuma usambaze uongo?kwa faida ya nani?riport wanayo wahusika mpaka soft copy wewe unatuambia imenyofolewa kurasa,wewe umepewa kias gani?na nani?ili iweje?mbna huandiki aliyewakodishia ndege kina Zitto na Filikunjombe kwenda Kigoma?na nyie Chadema mnashiriki huu uhuni kwa faida ya nani?
 
Ritz ni janga la taifa, nchi ikichafuka tutaanza kuchinja ukoo wa mapanya
 
Last edited by a moderator:
Naomba niseme kuwa Ridhiwani Kikwete ndiye kinara wa usambazaji wa ripoti feki inayoaminishwa kwa umma kuwa ndiyo ripoti ya CAG!

Onyo! Tumechoshwa na ufisadi uliokithiri! Ni lazima Ridhiwani ulielewe hili!

Huna hati miliki na nchi hii! Wewe ni raia kama wengine! tunakutaka uelewe hilo na sii vinginevyo!

Tumeapa kuwafia wanyonge na tutafanya hivyo kwa njaa na uchu mkubwa!

Tuna uchu wa kupambana kwa ajili ya wenzetu! Tutafanya hivyo mara moja bila kusita!

Nimeanza kuamini kuwa yaliyoandikwa kuhusu Simba mbia wa PAP si uongo familia ya mkulu inahusika !!?
 
Naomba niseme kuwa Ridhiwani Kikwete ndiye kinara wa usambazaji wa ripoti feki inayoaminishwa kwa umma kuwa ndiyo ripoti ya CAG!

Onyo! Tumechoshwa na ufisadi uliokithiri! Ni lazima Ridhiwani ulielewe hili!

Huna hati miliki na nchi hii! Wewe ni raia kama wengine! tunakutaka uelewe hilo na sii vinginevyo!

Tumeapa kuwafia wanyonge na tutafanya hivyo kwa njaa na uchu mkubwa!

Tuna uchu wa kupambana kwa ajili ya wenzetu! Tutafanya hivyo mara moja bila kusita!

Safi sana Kamanda !
 
Baba yake kakimbia huu moto haiingii akilini kuwa kikwete alikuwa anaumwa serious hadi aende marekani na bado anakutana Dr. anaanza kukenue hakuna mgojonjwa hapo jamaa kakimbia nchi
 
Habari imetangazwa itv sasa mleta Mada anashambuliwa kwa lipi? Tusubiri jumatatu tuone mchezo wao wa kitoto ulipfikia
 
Baba yake kakimbia huu moto haiingii akilini kuwa kikwete alikuwa anaumwa serious hadi aende marekani na bado anakutana Dr. anaanza kukenue hakuna mgojonjwa hapo jamaa kakimbia nchi

Ni kweli huyu jamaa atakuwa ameukimbia huu moto maana km angekuwa anajali,angekuwa asharudi lkn kwa vile na yy anahusika ndio maana anaona bora abaki hukohuko akiamini huu ni upepo na utapita tu kumbe safari hii upepo haupiti km alivyozoea.
 
Huyu nae from nowhere anatafuta umaarufu toka kwa Ridhiwani,duuuh huu Urais mpaka kufikia hiyo 2015 tutakuwa tumeona mengi.
 
Baba yake kakimbia huu moto haiingii akilini kuwa kikwete alikuwa anaumwa serious hadi aende marekani na bado anakutana Dr. anaanza kukenue hakuna mgojonjwa hapo jamaa kakimbia nchi

Tena arudi nyumbani awahi Chanjo ya tezi dume.
 
Naomba niseme kuwa Ridhiwani Kikwete ndiye kinara wa usambazaji wa ripoti feki inayoaminishwa kwa umma kuwa ndiyo ripoti ya CAG!

Onyo! Tumechoshwa na ufisadi uliokithiri! Ni lazima Ridhiwani ulielewe hili!

Huna hati miliki na nchi hii! Wewe ni raia kama wengine! tunakutaka uelewe hilo na sii vinginevyo!

Tumeapa kuwafia wanyonge na tutafanya hivyo kwa njaa na uchu mkubwa!

Tuna uchu wa kupambana kwa ajili ya wenzetu! Tutafanya hivyo mara moja bila kusita!

Upumbavu mtupu. huna evidence wala facts zozote unatuletea porojo za walevi. peleka kwenye blog za udaku hayo. humu lete vity concrere vinavyoeleweka.
 
Chief Kiumbe Muuza Ngada,ameishi mombasa sana,riz 2006 alikuwa mtu safi sana huyo lakini baada ya kumaliza chuo na kuanza kazi kwa kina Masha akaonja utamu wa pesa ndio shida ilipoanza.
 
Ya escrow yamewashinda mmeanzisha nyimbo mpya?

Kuelekea uchaguzi tutasikia mengi sana.
 
Hello Hello,Twendeni taratibu ,wengine hatujaona yeyote Fake or Original ,hebu tuwekeeni hapa zote mbili ,ya ukweli na hiyo ya chalinze!
 
Back
Top Bottom