palalisote
JF-Expert Member
- Aug 4, 2010
- 8,335
- 1,463
kazi ipo leo
Komba, Mabumba wanaonekana wamelewa chakarii!
Nasisitiza kuwa Kinana na Nape wamo ndani ya kikao pamoja na vigogo wengi wa CCM!
Revealed: Ridhiwani Kikwete ndiye kinara wa usambazaji wa ripoti feki ya CAG
..Ripoti halisi ipo na kusambaza ripoti feki ni kama wamejisumbua na/au kuwachanganya watanzania!
Katika ripoti halisi Pinda ndiye mtu wa kwanza kuwajibishwa..Tutaiweka hapa muda mfupi ujao!