RIP Emmanuel Mwaikasu- MBEYA DAY 1987-IFUNDA TECH 1988-90

FDR.Jr

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2008
Posts
1,359
Reaction score
357
Ile ajali ya pikipiki na rav4 mlimani city areas tarehe 25-12-2010 ilitwaa uhai wa kijana mwenzetu imanuel mwaikasu (mtoto wa retired jaji mwaikasu) , kwa wale waliosoma mbeya day 1987 watamkumbuka alipokuwa form one na wale wa ifunda tech 1988-90.

Mazishi ni segerea roman catholic kuanzia saa nne asubuhi.

Rest in peace bro imma mwaikasu
 
Let his soul RIP na ilikuwa ni siku yake kuzaliwa
 
Ile ajali ya pikipiki na rav4 mlimani city areas tarehe 25-12-2010 ilitwaa uhai wa kijana mwenzetu imanuel mwaikasu (mtoto wa retired jaji mwaikasu) , kwa wale waliosoma mbeya day 1987 watamkumbuka alipokuwa form one na wale wa ifunda tech 1988-90.

Mazishi ni segerea roman catholic kuanzia saa nne asubuhi.
Rest in peace bro imma mwaikasu

Dont tell me ni huyu aliyekuwa anafanya kazi TBL idara ya Packaging kama supervisor!, kama ndiye namjua, and he happened to be a friend!
Mungu mlaze mahala pema peponi!..
 
I saw this, no body was ready evn to touch them, waliogopesha sana. Mungu amlaze mahali pema peponi. Hivi mwenzie nae vp alipona? sisi wote wasafiri.
 
Huyo line manager wa TBL ni Joseph Mwaikasu, naamini sio yeye
 
I saw this, no body was ready evn to touch them, waliogopesha sana. Mungu amlaze mahali pema peponi. Hivi mwenzie nae vp alipona? sisi wote wasafiri.

Hivi walikuwa wamepakizana? Kweli habari usitegemee vyombo vya habari vya TZ. They made like he was alone na maelezo yalikuwa kama vile ni alikuwa mmoja wa hawa waendesha boda boda wetu. ama?
 
Ile ajali ya pikipiki na rav4 mlimani city areas tarehe 25-12-2010 ilitwaa uhai wa kijana mwenzetu imanuel mwaikasu (mtoto wa retired jaji mwaikasu) , kwa wale waliosoma mbeya day 1987 watamkumbuka alipokuwa form one na wale wa ifunda tech 1988-90.

Mazishi ni segerea roman catholic kuanzia saa nne asubuhi.

Rest in peace bro imma mwaikasu
RIP Ema........ Nilikuwa naye Ifunda
 
Wakuu Nipo msibani kwa ndugu na rafiki yetu Emmanuel Mwaikasu, mtoto wa Jaji Mwaikasu.
Mzee Chillo naye yupo hapa ananiambia kwamba marehemu alioa mdogo wake hivyo ni shemeji yake...,
nawaletea live happening from here.

DSC01493.JPG
Ndugu na jamaa wakitoa pole
DSC01495.JPG
Ratiba ya chakula ndiyo inayoendelea sasa...
DSC01494.JPG
DSC01489.JPG
Gari lililobeba mwili wa marehemu
DSC01490.JPG
DSC01496.JPG
Waombolezaji wakitafakari...
 
Attachments

  • DSC01492.JPG
    DSC01492.JPG
    25.8 KB · Views: 439
  • DSC01491.JPG
    DSC01491.JPG
    27.8 KB · Views: 159
Kwa ambao wangependa kuiona taswira ya marehemu (angalia kwenye Tshirt)....

DSC01491.JPG

DSC01492.JPG
 
Back
Top Bottom