RIP Emmanuel Mwaikasu- MBEYA DAY 1987-IFUNDA TECH 1988-90

Poleni sana wote, mimi sijawahi kumfahamu bali nahisi msiba umenigusa utadhani nilikuwa namjua.
Poleni ndugu na marafiki na Mungu ailaze roho yake pema peponi
 
namuomba Mwenyezi Mungu aziweke mahali pema peponi roho za Imma na Fred.
aidha awajaze faraja na tumaini ndugu, jamaa na marafiki wote walioguswa na
misiba hii miwili-
 
Bwali Ametoa Bwana Ametwaa. Jina lake lihimidiwe.

Mungu aipe nguvu na faraja familia ya wafiwa.

Lipo tumaini la maisha bora baada ya maisha yetu ya dhiki duniani. Tumaini hilo ni kufuata mapenzi ya Mungu na kuishi maisha ya kumpendeza yeye.
 
Duh, what a loss; ninamfahamu Imma, on a very personal level, naiombea familia yake faraja wakati huu wa majonzi makubwa. Mungu ailaze roho yake pema peponi.
 
Kazi ya Mungu haina makosa... he was on his way to meet with his family members for Christmas lunch at 3 afternoon and God took him at 3, the time set for family lunch!!!
Mwacheni Mungu aitwe Mungu.
May his soul rest in Peace, Amen!
 
Back
Top Bottom