N-handsome
JF-Expert Member
- Jan 23, 2008
- 2,453
- 561
Huyo mwingine aliyefariki anaitwa Fredrick Otieno, alikua mkenya ambaye aliishi hapa kwa muda, alikua mwalimu wa michezo, yeye aligongwa na pikipiki ya marehemu Imma baada ya Imma kugongwa, Imma alifariki on the spot ila Fred alifia njiani, pikipiki iliruka baada ya kugongwa na RV4 na kumgonga kiunoni na kumchana na kumvunja mguu alikua amesimama pembeni anasubiri kuvuka barabara, Fred kasafirishwa jana kwenda Nairobi atazikwa on 1st January makaburi ya Lang'ata. RIP Fred and Imma