CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,304
- 12,997
Haya mikono yangu ya kutembelea hiyo hapo kulia...
Kumbe tunaotembelea mikono tuna dili eeh... Asavali...
![]()
Haya mikono yangu ya kutembelea hiyo hapo kulia...
Mmmmmhhh wewe unatafuta uchokozi eti Wambulu wanaongoza hakuna kabila kama hilo, kuna wairaqwu, wamang'ati, wabarabaigi nk kuwa informed mie Muiraqwu na nina mguu wa bia wataka kusema???
Duh sony wega
Sayuu Aidomaa......
Weka picha.
Big up for dat.....
magauni ya kamba ya nini wakati tumbo lina mapingili
vinguo vifupi vya nini wakati miguu ina vigimbi
sosi masanja
he he he, kwani wewe kabila gani? Unless umetokea Kagera nitaazima, ika Manyara kama King'asti nitakuwa na mashaka ni feki.
Nitatoa notice kabla ya miezi 3.
Labda ni sababu za kimazingira zaidi...sijawahi ona mzungu ana mguu mwembamba....
...wachagga wanaongoza kwa kuwa na miguu ya bia...
Shukrani zimuendee muumbaji
Sijawahi kupata jibu la hilo swala!!!
ila pia kama umeangalia wanawake wengi waliozaliwa mjini, hawana miwa.... wengi wenye miwa utakuta wametoka huko milimani Rombo... na Singida...
Jamani natania tu.. msije kuniua buree!!
kabisaa na kuijua ninavyoijua baas.....imekaa poa sana
haa utaniu mwingine utakugharimu mkuu...ila kuna watoto wa Singida ukiacha miguu ni wazuri aiseee acha kabisa...hivi wema sepetu si wa huko huko?