Ringia miguu yako myembamba dada yangu

Ringia miguu yako myembamba dada yangu

Sawa darwin
Sent from my RM-846_im_mea3_286 using Tapatalk
 
Usitie shaka...siku ukitamani kwenda JF party nambie nikuazime jina langu 'Nyumba kubwa'....

Ila unipe taharifa mapema tusije tukagongana....

nina miguu kama ya Mya yule mwimbaji.

(na uwezo wa kusema lolote, sitarajii kuja party za jf 🙂 🙁 🙂 )
 
naona umeamua kurusha jiwe gizani, litakae mpata ataleta majibu
 
he he he, kwani wewe kabila gani? Unless umetokea Kagera nitaazima, ika Manyara kama King'asti nitakuwa na mashaka ni feki.

Nitatoa notice kabla ya miezi 3.

Usitie shaka...siku ukitamani kwenda JF party nambie nikuazime jina langu 'Nyumba kubwa'....

Ila unipe taharifa mapema tusije tukagongana....
 
Last edited by a moderator:
Wewe si unaogopa watakucheka watu...waambia tu mimi Nyumba kubwa...maana na delcare humu nina miguu ya mbu....

Sikuazimi miguu nakuazima jina ili ujifiche wasije watu kuanzisha thread...ooooh Kongosho alitudanganya ana mguu wa bia kumbe wa mbu....

wewe waambie unaitwa Nyumba kubwa

he he he, kwani wewe kabila gani? Unless umetokea Kagera nitaazima, ika Manyara kama King'asti nitakuwa na mashaka ni feki.

Nitatoa notice kabla ya miezi 3.
 
Wadada wengi wa Dsm (niliwaona nilipoendaga) hasa wale wenye miguu myembamba wanaogopa kuvaa nguo fupi.
Wengi wao hawajiamini, na wanaume eti nasikia na wenyewe wanataka wanawake wenye miguu minene, kwa ki Mongolia inaitwa "miguu ya bia". Hatari sana Sheikh.
Tena siku hizi nasikia wanaume wengi wa huko Dar wanapenda sana kulelewa.
Eti mali atafute mwanamke dume litumie tu, kule kwenye uzinduzi wa jengo la kwanza kuwa na lift wanasema "Fya deso"
Sasa jana nilikuwa naangalia michuano ya madola, kwa kweli wale wanawake wote waliobeba medali za riadha hakukuwa hata mmoja aliyekuwa na hiyo miguu ya chupa ya bia, wote mifupa yao ya miguuni haikuwa na nyama. (Kumbe miguu myembamba dili ehh)
Sasa wito kwa dada zangu wenye miguu yetu ileeeee, ya Wambulu, nawaombeni sana muanze kukimbia riadha, kwa kweli naona neema kubwa mbele yenu, ushindi utakapopatikana, ni utajiri umeingia malangoni mwako.
Hapo ndio utawaona mabitozi wakianza kukusarandia na nguo zao za kuazima

mi nashangaa watu wanahangaika mara miguu chelewa ooh mara miguu chupa n.k.

kwenye ile shughuli kuu baada ya kusaula viwalo mara nyingi miguu ndio inakuwa ya kwanza kusukumwa pembeni ipishe njia.
 
magauni ya kamba ya nini wakati tumbo lina mapingili
vinguo vifupi vya nini wakati miguu ina vigimbi
sosi masanja
 
Mmmmmhhh wewe unatafuta uchokozi eti Wambulu wanaongoza hakuna kabila kama hilo, kuna wairaqwu, wamang'ati, wabarabaigi nk kuwa informed mie Muiraqwu na nina mguu wa bia wataka kusema???
 
Mmmmmhhh wewe unatafuta uchokozi eti Wambulu wanaongoza hakuna kabila kama hilo, kuna wairaqwu, wamang'ati, wabarabaigi nk kuwa informed mie Muiraqwu na nina mguu wa bia wataka kusema???

Sayitaa Dena
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom