Mtumeeeeeeee jiwe limenipata
though kila kitu changu kiko sawa.
Wapi tamuu atoe ushahidi😉
Sijawahi kupata jibu la hilo swala!!!
ila pia kama umeangalia wanawake wengi waliozaliwa mjini, hawana miwa.... wengi wenye miwa utakuta wametoka huko milimani Rombo... na Singida...
Jamani natania tu.. msije kuniua buree!!
ndo maana yake. neema za allah hazijanipitia kaka
Sayuu Aidomaa......
Mimi penda hiyo miguu yako....
wasukuma hata ukulie kijijini, miguu pai kama wazungu.
ndio maana siachi kukuvalia vimini mpenzi.
Niweke wapi???
Hapa hapa au Just PM..
haa utaniu mwingine utakugharimu mkuu...ila kuna watoto wa Singida ukiacha miguu ni wazuri aiseee acha kabisa...hivi wema sepetu si wa huko huko?
Well, I'm waiting :ranger:Ha ha ha ha.....ntaweka
Kumbe tunaotembelea mikono tuna dili eeh... Asavali...
Neema za Allah...... Sheikh hatari sana
If you can't take the heat, get out of the kitchennimeipenda hiii kauli mbiu
haswaa kama uniwezi ujiondokee mapemaaaIf you can't take the heat, get out of the kitchen