Ridhiwani yupo huku sasa!

Ridhiwani yupo huku sasa!

And me want ask a question of the same and you but you early me do before. Court of which a case win he Riziwani? no where i heared of winning just stand to defend a thieves of chicken.....a advocate? of where?

Mmm,hii kali.Andika tu Kiswahili mkuu, mbona hamna shida.
 
hawa wahindi wa progressive inasemekana wamefungua kesi.pia kuna tetesi kuna mchezo mchafu umefanyika ili jamaa warudi.ishu hii ni kama ya richmond vile.inasemekana baadhi ya vipengere vya mkataba wakati wa kuvunja vilikiukwa makusudi ili serikali ipate hasara kubwa.nchi imeuzwa kiongozi.

Nimesikia hiyo kitu kwamba watapewa LOT A waendelee nayo kula hela halafu zile lot 2 zilizobaki watapewa wengine...Hii mi naona ni njia mojawapo ya hawa maghabachori kula hela zetu R1 anahusika mojakwa moja!!
 
barabara yenyewe asaivi haipitiki
 
Kumbe!!.....umeshawahi kusikia Billionaire Saidi Bakhresa na watoto wake anaonewa wivu? Mbona Husein Mwinyi ni Waziri na hakuna lawama kwamba anabebwa?
Swali la msingi kabisa.
 
mwenzako akiwa tajari jifunze mbinu alizotumia kuwa tajiri kama unaziweza zitumie. Chukia umaskini kama unavyochukia ukiona kinyesi wakati wa kula. Ila fuata njia nzuri za kuupata utajiri sio kudhulumu watu au kuifisadi nchi
 
rkikwete.jpg

Jamaa ni mlugha lugha kwa kwenda mbele, eti kapanga mezani ma Ipad na ma blackberry ndio pozi lake la professional picture
images
..!!?[/
images
QUOTE]
9k=

ngoja tumsaidie
 
Jamani watu kwa wivu na choyo? kwani kipya kipi mmekiona kwenye hiyo cv ya Ridhwan hadi maneno yanawatoka hivyo hamuachi chuki binafsi hivi kweli tutafika kwa vile mtoto wa rais basi watu wanamponda kweli binadamu hatuna wema kazi ya uwakili afanye yeye wewe huku unabwata tafuta kesi umpelekee afu uone kama atashindwa au nyie ndo wale mnaozoea kuona watu walewale kila siku kwanini tuna chuki binafsi tunajiumiza bureeeeeee yake yanamuendea
 
Ndiooooo...wandugu tuache wiivu wa kike huo...
Sasa mlitaka first son akafungue shoe shiner kijiwe mtaa wa samora??
 
Jamani watu kwa wivu na choyo? kwani kipya kipi mmekiona kwenye hiyo cv ya Ridhwan hadi maneno yanawatoka hivyo hamuachi chuki binafsi hivi kweli tutafika kwa vile mtoto wa rais basi watu wanamponda kweli binadamu hatuna wema kazi ya uwakili afanye yeye wewe huku unabwata tafuta kesi umpelekee afu uone kama atashindwa au nyie ndo wale mnaozoea kuona watu walewale kila siku kwanini tuna chuki binafsi tunajiumiza bureeeeeee yake yanamuendea
Haiwezekani ukatoka mapovu kiasi hiki,lazima wewe utakuwa mwosha vyombo wake....
 
wahaya wanatumia udhaifu wa ikulu kuwatumia baba na mtoto

Hivi inaingia akilini kwamba Kikwete jr. unaweza kushirikina na watu ambao hajuani nao vizuri mpaka wakafikia hatua ya kuingia nao ubia!! Kila siku Watanzania tunashauriwa kufungua kampuni zetu kwa UBIA au mmoja mmoja, mwenzetu kaona mbali na kuchangamkia fulsa, badala ya kumpa hongera na kuinga mfano wake sisi tunabaki kulalama na kumpaka madongo hoping kwamba yata-STICK!!

Mambo ya kuanza kuyasema sema vibaya baadhi ya makabila itakusaidia nini? Labda aliwahi kusoma nao O-level, A-level, Chuo Kikuu DSM au Uingereza na bila shaka wanaelewana vizuri ndio maana wameamua kushirikiana - tatizo liko wapi?

Looking back now nafikili muda aliokuwa attached kwenye law firm inayo tambulika kimataifa (DLA Piper) hilo tu linampa hadhi ya kujulikana kama Kikwete QC :smile-big::smile-big:. Watanzania tubadilike, mambo ya wivu hayatufikisha mbali.

U Queen's Council haugawiwi kama kondom kwenye gesti wwewe. hutoi rushwa au kuupata kwa sababu u mtoto au shemeji ya fulani. you must have a head with working grey matter inside.
 
Back
Top Bottom