Ridhiwani yupo huku sasa!

Ridhiwani yupo huku sasa!

bado unafikra dun za nibebe,na uko uk nibebe ama ndo walewale mwenzio akipata wanuna.shangalia changamoto nawe ukazane
 
Tatizo watz majungu,fitna,wivu na umasikin wa kufikir.alisoma kwa juhud leo kapata mnaleta maneno.tubadirike

Mie kilaza wa sheria ila nadhani wadau wanajaribu kuangalia within 5 years mtu anapaa kwa kasi kivile katika tasnia ya sheria na amesomea hapa hapa Tanzania na kazi hapa hapa Tanzania pia ni wangapi kwenye fani yake wamekwenda kwa mfumo huo maana si kawaida kwa nchi yetu hii hasa ukizingatia amesoma hapa hapa nchini na kuna watu wanaomfahamu vizuri. (hizi exposure zinapatikana vipi kama sio prince). Otherwise nipo pamoja na wewe ila kinachoangaliwa ni reality si unajua tena ukiwa mtoto wa mkubwa kama maendeleo na vyeo vinapanda kwa kasi kuna appraisal zisizo rasmi zinafanyika na kama kweli una deserve watakupa sifa)
 
Riz ni afisa utumishi wa Majaji woote Tanzania na ndie anaechagua wakuu wa Wilaya (zaidi 25%) amewapigia debe yeye...wakiongozwa na Mrisho Gambo!
 
mim nashangaa mbona wakina aman karume,jim na wily mungai,husen mwiny hawazungumzwi.je akiwa rais si mtakufa kwa wivu
 
Kumbe umejijibu swala si RK,Swala kwanin kapata.nataka nikuambie waliosoma vzr wanastaili.ulitaka uwe wewe nin.just wait
 
Uzi huu unaonesha kiasi gani kijana anachukuliwa na jamii. Badilika ndugu dunia hii itakubadilikia hutaamini. Yupo alokutetea kuwa wanakuonea wivu umesoma kwa bidii zako. Kasahau chuo ulichosoma wapo na wanaJF wamesoma pia. Kiukweli mmejisahau kupita maelezo ninyi watu. Si baba si mama si mtoto. Sijamsikia mkeo tu.
 
usichokijua usiandike,tenda na ujenz wa ile road,tht tym nipo pale matemanga kikaz tulikuwa na wahusika.dont polute guy.
 
Nansawa nakuambia hata leo ww ukiwa na gorofa kwakuwa mshua wako si mwanasiasa bas utambiwa freemason.RK wamezid muonea
 
Wakili Msomi Ridhiwani Kikwete ame-practice katika Mahakama gani Tanzania? Kesi ipi hasa?
Mkuu Wakili Msomi, Petro E. Mselewa, kuwa wakili, sio lazima usimamie kesi mahakamani!. Labda kwa taarifa tuu, kuna mawakili kibao, wanao simamia kesi mbalimbali, hawa wanaitwa wanafanya kazi za "litigations", na mawakili wengine wengi tun, wanatoa "legal opinions". Hao mawakili wa litigations ndio hao mnawasikia kila siku wakikimbizana na vi kesi kesi mahakamani, na ndio least paid attorneys!. Mawakili wa "legal opinions" huwezi kuwasikia, wakihangaika na kesi za mahakamani, ila utawatambua tuu kwa visible success za lifestyle na mashine zao mabarabarani, posh ofices zao na mahekalu yao!.

The richest law firm in Tanzania, used to be Mkono & Co, na wakili tajiri kuliko wote Tanzania ni Nimrod Mkono!, niambieni ni kesi gani ya mahakamani mlimsikia Mkono ameshinda?!. The Real good money lies kwenye "legal opinion" na sio kwenye "litigations!"

Just imagine wakili aliyesimamia mkataba wa bomba la gesi la deal ya dola bilioni 1.2, lets say legal fee yake ni just 01.%, atavuna dola milioni 1.2 in just one single transaction!, atakuwa wapi?!.

Natoa wito kwa wana jf, tupunguze wivu wa kike!, sasa inaonekana kama obsession fulani kuwaonea wivu wale wenye nacho hivyo kukesha kuwasema vibaya hadi kwa wengine kuonekana kama chuki binafsi!.

Just do all you can to "get rich!, or die trying!".

Pasco.
 
And me want ask a question of the same and you but you early me do before. Court of which a case win he Riziwani? no where i heared of winning just stand to defend a thieves of chicken.....a advocate? of where?

nimekumbuka kuwa waziri wako ni mlugo na umemaliza form iv 2012. karibu jf, TH of GT.
 
Mkuu Petro E. Mselewa, kuwa wakili, sio lazima usimamie kesi mahakamani!. Labda kwa taarifa tuu, kuna mawakili wanao simamia kesi mbalimbali, hawa wanaitwa wanafanya kazi za "litigations", na mawakili wengine wanatoa "legal opinions". Hao mawakili wa litigations ndio hao mnawasikia kila siku wakikimbizana na vi kesi kesi mahakamani, na ndio least paid!. Mawakili wa "legal opinions" huwezi kuwasikia, ila utawatambua tuu kwa mashine zao mabarabarani, posh ofices zao na mahekalu yao!.

The richest law firm in Tanzania, used to be Mkono & Co, na wakili tajiri kuliko wote Tanzania ni Nimrod Mkono!, niambieni ni kesi gani mlimsikia ameshinda?!. Real money lies kwenye "legal opinion" na sio kwenye "litigations!"

Just imagine wakili aliyesimamia mkataba wa bomba la gesi la deal ya dola bilioni 1.2, lets say legal fee yake ni just 01.%, atavuna dola milioni 1.2 in just one single transaction!, atakuwa wapi?!.

Natoa wito kwa wana jf, tupunguze wifu wa kike!, sasa inaonekana kama obsession fulani kuwaonea wivu wale wenye nacho hivyo kukesha kuwasema vibaya hadi kwa wengine kuonekana kama chuki binafsi!.

Just do all you can to "get rich!, or die trying!".

Pasco.

Ngosha Pasco wa JF, nafikiri unakosa ishu ya muhimu ambayo wadau wanaisema.

Ni vyema umesema kuhusu hizo 'aina' mbili za mawakili. Lakini sitaki kuamini hata Mzee Mkono naye alianza tu kwenye hiyo 'legal opinions'. Naamini naye alikula vumbi la kusimama mahakamani na kutetea watuhumiwa na watuhumu - 'litigations'. Ndipo kwa juhudi zake akaweza kutengeneza pesa na kuweza kuajili vichwa kama vya akina marehemu Prof. Jwani Mwaikusa.

Na sitaki kuamini kuna wakili yoyote anayejihusisha na 'legal opinions', ambaye hajawahi kujishirika na 'litigations.
Pia mbona kuna mawakili wanapiga shughuli zote hizo na wana pesa ndefu? Kama Dr. Tenga, Prof. Luoga (sijui kama anaendelea hadi sasa).

Hivyo hoja ya huyo bwana mkubwa Ridhiwani ni namna alivyopanda na kufikia hapo bila hata ya kula vumbi la 'litigations'.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom