Ridhiwani yupo huku sasa!

Ridhiwani yupo huku sasa!

And me want ask a question of the same and you but you early me do before. Court of which a case win he Riziwani? no where i heared of winning just stand to defend a thieves of chicken.....a advocate? of where?

kweli hii lugha ngumu hivi?
 
  • Thanks
Reactions: amu
Nani anayetaka kwenda mahakamani siku hizi?how many tigo, voda, and other big companies hapa tz kesi zao zipo mahakamani?keep on waiting him at court doors
 
Tatizo watz majungu,fitna,wivu na umasikin wa kufikir.alisoma kwa juhud leo kapata mnaleta maneno.tubadirike
Wacha kua na akili za kibumunda wewe,unaye mwona mwenye majungu nani hapa?ww ndio unamshobokea huyo Riziwani,waliosoma nae darasa moja UD wanakwambia kilaza,wewe ooohh kasoma kwa juhudi,kuliko nani?
 
And me want ask a question of the same and you but you early me do before. Court of which a case win he Riziwani? no where i heared of winning just stand to defend a thieves of chicken.....a advocate? of where?

Nimeipenda hii lugha ya malaika iliyotumika hapa
 
Though he wrote broken English mtego wa noti was right,we'd not laugh at his inability to English,we'd rather ponder over his pretty comments,surely Ridhiwani walks on his father's fame,being a lawyer has not made him become one of the most deeply honoured lawyers in Tanzania,he has not ever tackled any weird case that went around into Tanzanians ears,what picks him high is merely because he's the president's son,brave,talkative,inquistive and etc,apart from that he's a very ordinary person,wajameni au na mimi lugha hii naiunga na super glue? Maana sina elimu mi la saba tu.
 
Wivu wa kiswahili..kila mwenye hela ni fisadi ?tubadilike jamani
 
U Queen's Council haugawiwi kama kondom kwenye gesti wwewe. hutoi rushwa au kuupata kwa sababu u mtoto au shemeji ya fulani. you must have a head with working grey matter inside.

Here we go again!! Kujuma abantu bila sababu za msingi, una ushahidi gani kwamba Kikwete Jr gotta no them sharp brains?
 
Mkuu Petro E. Mselewa, kuwa wakili, sio lazima usimamie kesi mahakamani!. Labda kwa taarifa tuu, kuna mawakili wanao simamia kesi mbalimbali, hawa wanaitwa wanafanya kazi za "litigations", na mawakili wengine wanatoa "legal opinions". Hao mawakili wa litigations ndio hao mnawasikia kila siku wakikimbizana na vi kesi kesi mahakamani, na ndio least paid!. Mawakili wa "legal opinions" huwezi kuwasikia, ila utawatambua tuu kwa mashine zao mabarabarani, posh ofices zao na mahekalu yao!.

The richest law firm in Tanzania, used to be Mkono & Co, na wakili tajiri kuliko wote Tanzania ni Nimrod Mkono!, niambieni ni kesi gani mlimsikia ameshinda?!. Real money lies kwenye "legal opinion" na sio kwenye "litigations!"

Just imagine wakili aliyesimamia mkataba wa bomba la gesi la deal ya dola bilioni 1.2, lets say legal fee yake ni just 01.%, atavuna dola milioni 1.2 in just one single transaction!, atakuwa wapi?!.

Natoa wito kwa wana jf, tupunguze wifu wa kike!, sasa inaonekana kama obsession fulani kuwaonea wivu wale wenye nacho hivyo kukesha kuwasema vibaya hadi kwa wengine kuonekana kama chuki binafsi!.

Just do all you can to "get rich!, or die trying!".

Pasco.

Mkuu Pasco

Nakuheshimu sana ila katika hilo la kusema watu wana wivu wa kike umechemka,hapa watu wana question vitu kutokana na reality,umeona wengine wamesema mpaka uwezo wake wa darasani nk,pia mkono alitajirishwa na system mbovu ya serikali,soma historia yake,pili kuna kesi nyingi tu mkono alisimamia na akashinda,mfano ya wale wanajeshi wamarekani waliomfanyisha mapenzi msichana mtanzania na mbwa n.k,pia kama hujui katika fani ambazo zinalipa ni sheria nakubali ila kiuhalisia sheria ni knowledge,hakunaga logic kama hesabu,kiufupi sheria ni wizi na ulaghai w kuaminika,wanasheria wanapiga pesa chafu kwa kazi za kipumbavu sana,mimi nipo katika taasisi ya fedha kubwa hua naona invoices za kazi za imma advocates mpaka nacheka,fani ambayo watu wanapata pesa kiuhalali ni engineeringa na udaktari,hakuna mtu mwenye wivu,watu wanaquestion uhalisia na uwezo wa kichwa cha jamaa,sio chuki PASCO.
 
Back
Top Bottom