Gamba la Chuma
JF-Expert Member
- Feb 11, 2012
- 1,243
- 346
Ni yule Rwehumbiza wa Escrow, au ?
Hana lolote la maana zaidi ya sifa za kijinga tu anazotafuta kupitia mgongo wa baba yake anayeishi pale magogoni kwa pesa za walipa kodi wa Tanzania.
Hivi kweli huyu dogo anaweza kusimama mahakamani kama wakili kumtetea mtu kisheria na akashinda?
Siasa hajui wala sheria hajui zaidi ya kutanua mjini kwa kuwa ni prince.
Ni yule Rwehumbiza wa Escrow, au ?
Wacha kua na akili za
kibumunda wewe,unaye mwona mwenye majungu nani hapa?ww ndio unamshobokea
huyo Riziwani,waliosoma nae darasa moja UD wanakwambia kilaza,wewe
ooohh kasoma kwa juhudi,kuliko nani?
Huwa anaku....mega nn?
:dizzy:mbesa mbaya sana huyu kijana aliifuta ishu ya kumpa jeuri mama skendo seoetunga fasta mjini i was sitting there waiting for the boom to explode ha ha mpaka leo holaa
like father like a son hii ni sawa na ile ya mkubwake kumtoa mtu BOT baada ya kugundua liumba anamchakachua kumpeleka kusoma UK then kumuweka
bungeni.
Wakuu, what makes you believe that what you are saying is true? Can you provide evidence to support your claims or you are just saying because it feels good to exercise your rights including falsely accusing someone without facts simply because democratic privileges give you the right to do so?Kwa matendo haya ya huyu dog usishangae JK akang'ang'ania madaraka kwani sheria haitamuacha kamwe Kumbuka maneno ya juzi juu ya Kibanda analewa madaraka ya babake
vinginevyo labda awe candidate wa urais 2015
Mkuu hata mimi
nashangaa sana, kwani dogo hana haki ya kujitafutia njia za kijikwamua
kimaisha? Tatizo liko wapi hasa - kakosea kuzaliwa na Mh.Jakaya au! Hilo
tu ndilo limfanye hawe mateka wa circumstances, aogope kufanya kazi za
kujingizia kipato cha kujikimu yeye na familia yake kwa kuchelea kusemwa
na watu, wengi wao ukiwasoma kwa makini mtu unaona wazi wazi kwamba
wanasukumwa na chuki binafsi tu na vices nyingine ambazo mkuu
Mark-Philipo kazitaja hapo juu; Watanzania hatubadiriki sijui kwa nini.
Watu tungekuwa na wasi wasi kama tungeambiwa kwamba dogo kajiunga na
team ya ma-neurosurgeons!! Hapo tungekuwa na haki ya kuhoji
taaluma hiyo kaisomea wapi, lakini ili la kujiunga na kampuni/lawfirm
ambayo inarandana na taaluma yake - sisi kama raia tuna haki gani ya
kuhoji hilo, au kuanza kumuharibia sifa na kumsema same maneno chungu
nzima as if hajawahi kusomea/hana shahada ya SHERIA!!! Tunacho tafuta ni
nini hasa? Aondolewe kwenye lawfirm ya GRK alafu sisi
tutafaidika nini katika hilo zaidi ya kuonekana tuna element za
U-SADISM!
Tatizo la Wabongo, tunaamini sana katika wivu na kuamini kuwa umaskini na frustrations zetu zinatatulika pale mwingine anaposhuka chini. Hatupendi mtu afanikiwe kimaisha.
like faza like son!!!!!
Mkuu, mi nadhani tatizo hapo siyo mafanikio ya mtu, bali ni njia anazotumia huyo mtu
kuyapata hayo mafanikio. Kama mtu anapata mafanikio kwa kupalangana kiwazi na kihalali u nadhani watu watakuwa na tatizo gani? Kitu kinachohojiwa hapa ni kama hayo mafanikio yamepatikana kwa njia halali.
Kama hayakupatikana kwa njia halali ni kwa nini watu wasihoji? Wakihoji nyie mnawaona vilaza na wana wivu wa kike; That's not fair.
yaan unataka tulete ushahidi kwamba 1+1=2..?! Mbuzi wewe..!Tatizo sio kwamba tunapinga tu bila sababu, unamtuhumu vipi mtu bila ushahidi kuwa ni bilionea, mwizi? Bila vielelezo kuonyesha ana mali kiasi gani na za aina gani, amezipata kupitia pesa kutoka kwa nani, kiasi gani, kwa mikataba ipi ya kimagendo n.k
Kilichopo ni kudhani, sasa ukidhani utahukumu wengi sana wasio na hatia. Labda Nikueleze tu kuwa Ridhiwani sio Bilionea, mfahamu kwanza ndio utaelewa Nachokwambia. Usifanye mchezo na ubilionea Mkuu.
Kumbe!!.....umeshawahi kusikia Billionaire Saidi Bakhresa na watoto wake anaonewa wivu? Mbona Husein Mwinyi ni Waziri na hakuna lawama kwamba anabebwa?
yaan unataka tulete ushahidi kwamba 1+1=2..?! Mbuzi wewe..!
Mkuu hizo ni sifa za mda tu, na hutazisikia tena mara baada ya uchaguzi mkuu unao tarajiwa kufanyika 2015. Ritz-moko nimesoma nae namwelewa vizuri sana ni kilaza kama .................... yake.
Mkuu Petro E. Mselewa, kuwa wakili, sio lazima usimamie kesi mahakamani!. Labda kwa taarifa tuu, kuna mawakili wanao simamia kesi mbalimbali, hawa wanaitwa wanafanya kazi za "litigations", na mawakili wengine wanatoa "legal opinions". Hao mawakili wa litigations ndio hao mnawasikia kila siku wakikimbizana na vi kesi kesi mahakamani, na ndio least paid!. Mawakili wa "legal opinions" huwezi kuwasikia, ila utawatambua tuu kwa mashine zao mabarabarani, posh ofices zao na mahekalu yao!.
The richest law firm in Tanzania, used to be Mkono & Co, na wakili tajiri kuliko wote Tanzania ni Nimrod Mkono!, niambieni ni kesi gani mlimsikia ameshinda?!. Real money lies kwenye "legal opinion" na sio kwenye "litigations!"
Just imagine wakili aliyesimamia mkataba wa bomba la gesi la deal ya dola bilioni 1.2, lets say legal fee yake ni just 01.%, atavuna dola milioni 1.2 in just one single transaction!, atakuwa wapi?!.
Natoa wito kwa wana jf, tupunguze wifu wa kike!, sasa inaonekana kama obsession fulani kuwaonea wivu wale wenye nacho hivyo kukesha kuwasema vibaya hadi kwa wengine kuonekana kama chuki binafsi!.
Just do all you can to "get rich!, or die trying!".
Pasco.
Ndugu yangu Pasco naona umekuja kutetea hata visivyo weza kutetewa.
Watu wengi sana humu JF tunafahamu vizuri sana Legal System inavyo-operate hususani katika Common wealth countries.
Watu wanahoji ni Experience na competence ipi aliyonayo Ridhwan mpaka awe recognised kama Successful young Legal Experty?
Hata watu waliosoma naye pale UDSM bachelor of Law wanamjua vema Ridhwan kama Kilaza mchovu kabisa aliyepita kwa kubebwa sana mpaka kuhitimu, wakati wenzie wanakula nondo kavu kavu za sheria yeye alikuwa kutwa anashinda akiwinda na kutafuna vibinti tu lakini akiwa na uhakika mwisho wa siku atafaulu bila kupingwa kwa mgongo wa influence ya baba yake!!
Inawezekanaje fresh from Law school graduate anatoka moja kwa moja na kuwa Senior International Legal opinion Personnel?
Kama mambo ndio hivi nina uhakika ikifika 2015 Ridhwan ataapishwa kuwa jaji na kutangazwa kuwa ndio jaji mdogo kabisa kuwahi kutokea katika nchi za jumuiya ya madola!!!