ivo ridhiwani ni wakili? mbona sijawahi kumsikia
Ni kawaida kwa watanzania kuwa na wivu wa kike, Ridhiwani Kikwete ana degree ya sheria na ni mtalaam wa sheria. Isitoshe he is one of the greatest young entrepreneur in Tanzania, kimsingi huyu kijana ni mfano wa kuigwa..!
Mkuu Petro Mselewa, to start with, I don't belong kwenye kundi la "the learned brothers and Sisters", pili ku practice law sio lazima kwenda mahaklamani!, hata yule mwanasheria anayetembea na ule muhuri wake tuu, kitendo cha kugonga tuu muhuri na kusaini any legal documents, iwe ni affidavit au card ya gari kutoa photocopy, nako ni ku practice!. Wanasheria wenye first class, Prof. Palamagamba Kabudi, Dr. Hamoud Majamba na Dr. Asha Rose Migiro, hawa ni vichwa kweli!, nikuulize uliwasikia mahakama gani?!, and yet wote ni practising!.My learned brother Pasco, I am afraid,you missed my point. I know that we have Lawyers,Advocates and Practitioners.
As his advertising folio suggests,Mr Ridhiwani Kikwete is a 'dynamic practitioner'.What does it mean? It means,Mr Kikwete practices the law. To my narrow understanding,'practice' must include appearing in courts of law to practice. It is not otherwise. That is my firm understanding and belief.
Is giving legal opinions 'a practice'? I should not easily agree. By the way, I was not born to be jelous to anyone,be it Mr Ridhiwani Kikwete or whomsoever. I am jelous to myself...earger to learn,understand and move forward.
Submitted Sir!
Mkuu unaogopa nini kusema Riz Moko ni kilaza kama baba yake kwani siri?
nadhani pasco amefafanua vizuri kuhusu litgation na legal opinion,mengine ni scapegoating tu.Kwa kesi ya mahakani sijawahi kusikia hata moja. Labda kesi anazozisimamia zinaendesha nje ya mahakama
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Asante Mkuu Pasco kwa majibu yako. Lakini, bado natamani nikufahamishe.Kuwa Wakili ni jambo moja na kuwa Practising Advocate ni jambo lingine. Uwakili huanzia siku ambayo Mwanasheria hukubalika na kusajiliwa kuwa Wakili na Jaji Mkuu wa Tanzania.Mkuu Petro Mselewa, to start with, I don't belong kwenye kundi la "the learned brothers and Sisters", pili ku practice law sio lazima kwenda mahaklamani!, hata yule mwanasheria anayetembea na ule muhuri wake tuu, kitendo cha kugonga tuu muhuri na kusaini any legal documents, iwe ni affidavit au card ya gari kutoa photocopy, nako ni ku practice!. Wanasheria wenye first class, Prof. Palamagamba Kabudi, Dr. Hamoud Majamba na Dr. Asha Rose Migiro, hawa ni vichwa kweli!, nikuulize uliwasikia mahakama gani?!, and yet wote ni practising!.
Miongoni mwa mawakili wazuri ni hawa madada, Dr. Hawa Senare na mdogo wake Mwanaidi Maajar, wana law firm yao ikiitwa "Epitome" by then, uliwahi kuwasikia wakiendesha kesi yoyote?. Powers kubwa za legal opinion ni kwenye mikataba!, mikataba mingapi inaingiwa kila siku?. Huko kote ni ku practice!.
Wanasheria wasio practice ni wale ambao licha ya kusoma sheria, hawajafanya any petition kuwa registered as advocates na hawajishughulishi kabisa na issues zozote za kisheria, kama nifanyavyo mimi, na wengine wengi tuu!.
Pasco.

Alisoma kwa bidii wapi? sema uoneshwe ushahidi Mawakili wa kweli waliopractice Law na mpaka leo hata vimkweche vya kuendea Mahakamani hawana uwezo wa kununua sembuse huyu unamuongelea huyu Nibebee nibebee nibebeee nibebee nibebeeee Baba JK nibebee mwanao Prince niwe Millionaire.
Mfumo dume upi?Wivu wa kike??
Mkuu watalaumiwa kwa kusimamia mfumo dume.
Ni kweli Mkuu watu waende taratibu, Muhariri kangolewa meno na kucha yuko SA huyo kijana anachekelea eti ni nani sasa, mtasema ni ikulu!!!Taratibu mzee watu wanang!olewa kucha , meno na sasa macho!
Mkuu umesahau mikataba ya Gesi Na vitalu vya mafuta kwenye fedha ya kufa mtu, kila kona ya nchi kijana yupo sijui huko tuendako 2015 itakuwaje????Hao ndio wanaopiga pesa ndefu kuliko hao Mawakili unaowajuwa wewe ambao ni Wasomi na Mawakili wa kweli, Ridhiwani ni type ya matapeli ambao wanatumia Taaluma ya sheria kujipatia mikataba haramu yeme malipo kufuru.
Usije kushangaa hata kidogo ukija kuambiwa hiyo kampuni aliyojiunga nayo ndio imepewa mkataba wa kuwa kampuni ya Uwakili na BOT na Tanesco.
Huku tunakokwenda sheria ya utaifishaji haikwepeki ni lazima irudi, ukiwa na Rais dhaifu kama huyu ambaye anashindwa kumdhibiti mwanaye au ni yeye ndio anayeyafanya haya yote kwa kutumia kimvuri cha Mtoto wake ni hatari sana.
Sipati picha JK Nyerere angekuwa na ubinafsi huu sidhani hata kama kina Makongoro wangegombea hata Ubunge kutafuta vipesa vya kujikimu, maana kampuni kama DT Dobie, Scania, Toyota zingekuwa zote mali za Makongoro Nyerere, na Saint Marys school zote ingekuwa ni miradi ya Mama Maria Nyerere.
sasa utamlazimisha mtu asikitike au atoe maoni kwa namna unayotaka wewe?afterall yeye sio hata kiongozi wa serikali.urais ni wa babake sio wake.Ni kweli Mkuu watu waende taratibu, Muhariri kangolewa meno na kucha yuko SA huyo kijana anachekelea eti ni nani sasa, mtasema ni ikulu!!!
Baada ya kelele nyingi kuhusu ubia wake na kampuni tata ya uwakili ywnye kuhusishwa na ufisadi mkubwa hapa nchini RJK aliamua kujiunga na kampuni hii ya GRK kama mbia(partner) hii ni kampuni ya uwakili inayoundwa na Zephrine Galeba | Projectus Rwehumbiza | James Kabakama | Ridhiwani Jakaya Kikwete
![]()
Specialization and Career History
Mr. Kikwete is a young and dynamic legal practitioner with 5 years experience in legal practice having worked with reputable law firms in and outside Tanzania. Before joining GRK Advocates as a partner Mr. Kikwete worked with IMMA Advocates holding different challenging positions from January 2005 to December 2010.
![]()
During the same period Mr. Kikwete was attached to DLA Piper in London, one of ten largest law firms in the world where he was exposed to high level legal practice in the area of project financing.
Both at IMMA Advocates and DLA Piper Mr. Kikwete was involved in various areas of modern day legal practice ranging from legal drafting to major aspects of project financing including due diligence inquiries, loan negotiations, consortium building and mortgage financing. His five years period of his legal practice saw him moving within the ranks of the law firms from legal office to a partner level. Mr. Kikwete is therefore equipped with sufficient administrative as well as technical skills required for running a successful law practice.
Mr. Kikwete was admitted to the bar of advocates in 2009. He is also handling commercial and corporate litigation matters at all levels of court system and quasi- judicial tribunals. At GRK Advocates Mr. Kikwete is a partner in charge of Administration and Business Development.
He is a member of Tanganyika and East Africa Law Societies. Apart from the law degree Mr. Kikwete holds Postgraduate Certificate in Business Development from the Hull University (UK)
Ridhiwani Jakaya Kikwete