mark_philipo
JF-Expert Member
- Jul 2, 2011
- 202
- 33
Hujui ulisemalo..ndio hoja za majung izo yamekushnda ya RK unatafuta lingne.wenye busar tunakuangalia tu 1 day utatufata
Pasco nakushuru kwa sababu umefafanuwa vizuri kwa sababu na wewe ni mtu wa fani ya sheria pia, nimeupenda ufafanuzi wako wa kitaalam ila umemalizia vibaya.Mkuu Petro E. Mselewa, kuwa wakili, sio lazima usimamie kesi mahakamani!. Labda kwa taarifa tuu, kuna mawakili wanao simamia kesi mbalimbali, hawa wanaitwa wanafanya kazi za "litigations", na mawakili wengine wanatoa "legal opinions". Hao mawakili wa litigations ndio hao mnawasikia kila siku wakikimbizana na vi kesi kesi mahakamani, na ndio least paid!. Mawakili wa "legal opinions" huwezi kuwasikia, ila utawatambua tuu kwa mashine zao mabarabarani, posh ofices zao na mahekalu yao!.
The richest law firm in Tanzania, used to be Mkono & Co, na wakili tajiri kuliko wote Tanzania ni Nimrod Mkono!, niambieni ni kesi gani mlimsikia ameshinda?!. Real money lies kwenye "legal opinion" na sio kwenye "litigations!"
Just imagine wakili aliyesimamia mkataba wa bomba la gesi la deal ya dola bilioni 1.2, lets say legal fee yake ni just 01.%, atavuna dola milioni 1.2 in just one single transaction!, atakuwa wapi?!.
Natoa wito kwa wana jf, tupunguze wifu wa kike!, sasa inaonekana kama obsession fulani kuwaonea wivu wale wenye nacho hivyo kukesha kuwasema vibaya hadi kwa wengine kuonekana kama chuki binafsi!.
Just do all you can to "get rich!, or die trying!".
Pasco.
Ni kwel kabisa mkuu umenena, tatizo wivu unatutawala na kwa mtindo huu tutakua tukitenda dhambi kwakumhisi mtu vibaya tu. Keep it up Riz and God bless u, go ahead usijali wasemayo fanya yako Mkuu!Ngosha Pasco wa JF, nafikiri unakosa ishu ya muhimu ambayo wadau wanaisema.
Ni vyema umesema kuhusu hizo 'aina' mbili za mawakili. Lakini sitaki kuamini hata Mzee Mkono naye alianza tu kwenye hiyo 'legal opinions'. Naamini naye alikula vumbi la kusimama mahakamani na kutetea watuhumiwa na watuhumu - 'litigations'. Ndipo kwa juhudi zake akaweza kutengeneza pesa na kuweza kuajili vichwa kama vya akina marehemu Prof. Jwani Mwaikusa.
Na sitaki kuamini kuna wakili yoyote anayejihusisha na 'legal opinions', ambaye hajawahi kujishirika na 'litigations.
Pia mbona kuna mawakili wanapiga shughuli zote hizo na wana pesa ndefu? Kama Dr. Tenga, Prof. Luoga (sijui kama anaendelea hadi sasa).
Hivyo hoja ya huyo bwana mkubwa Ridhiwani ni namna alivyopanda na kufikia hapo bila hata ya kula vumbi la 'litigations'.
Ndugu yangu Pasco naona umekuja kutetea hata visivyo weza kutetewa.Mkuu Petro E. Mselewa, kuwa wakili, sio lazima usimamie kesi mahakamani!. Labda kwa taarifa tuu, kuna mawakili wanao simamia kesi mbalimbali, hawa wanaitwa wanafanya kazi za "litigations", na mawakili wengine wanatoa "legal opinions". Hao mawakili wa litigations ndio hao mnawasikia kila siku wakikimbizana na vi kesi kesi mahakamani, na ndio least paid!. Mawakili wa "legal opinions" huwezi kuwasikia, ila utawatambua tuu kwa mashine zao mabarabarani, posh ofices zao na mahekalu yao!.
The richest law firm in Tanzania, used to be Mkono & Co, na wakili tajiri kuliko wote Tanzania ni Nimrod Mkono!, niambieni ni kesi gani mlimsikia ameshinda?!. Real money lies kwenye "legal opinion" na sio kwenye "litigations!"
Just imagine wakili aliyesimamia mkataba wa bomba la gesi la deal ya dola bilioni 1.2, lets say legal fee yake ni just 01.%, atavuna dola milioni 1.2 in just one single transaction!, atakuwa wapi?!.
Natoa wito kwa wana jf, tupunguze wifu wa kike!, sasa inaonekana kama obsession fulani kuwaonea wivu wale wenye nacho hivyo kukesha kuwasema vibaya hadi kwa wengine kuonekana kama chuki binafsi!.
Just do all you can to "get rich!, or die trying!".
Pasco.
'Sio kila anaepinga Ufisadi ni kwa Mapenzi ya Mungu na Nchi yake, wengine wanapinga kwa kuwa hawajapata Fursa ya kufisadi'- Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo!- mwacheni Akandamize wengine Baba zenu walipopata U head master tuliisoma namba sembuse Urais, mie ningepata Fursa kama ya Ridh moko kudadadeki mngeisoma Tarakimu!
Ndugu yangu Pasco naona umekuja kutetea hata visivyo weza kutetewa.
Watu wengi sana humu JF tunafahamu vizuri sana Legal System inavyo-operate hususani katika Common wealth countries.
Watu wanahoji ni Experience na competence ipi aliyonayo Ridhwan mpaka awe recognised kama Successful young Legal Experty?
Hata watu waliosoma naye pale UDSM bachelor of Law wanamjua vema Ridhwan kama Kilaza mchovu kabisa aliyepita kwa kubebwa sana mpaka kuhitimu, wakati wenzie wanakula nondo kavu kavu za sheria yeye alikuwa kutwa anashinda akiwinda na kutafuna vibinti tu lakini akiwa na uhakika mwisho wa siku atafaulu bila kupingwa kwa mgongo wa influence ya baba yake!!
Inawezekanaje fresh from Law school graduate anatoka moja kwa moja na kuwa Senior International Legal opinion Personnel?
Kama mambo ndio hivi nina uhakika ikifika 2015 Ridhwan ataapishwa kuwa jaji na kutangazwa kuwa ndio jaji mdogo kabisa kuwahi kutokea katika nchi za jumuiya ya madola!!!
alisimamia kesi gani mashuhuri?
And me want ask a question of the same and you but you early me do before. Court of which a case win he Riziwani? no where i heared of winning just stand to defend a thieves of chicken.....a advocate? of where?
Wakili Msomi Ridhiwani Kikwete ame-practice katika Mahakama gani Tanzania? Kesi ipi hasa?