Pawaga
JF-Expert Member
- Feb 14, 2011
- 1,349
- 1,011
Mi nlidhan kaongea lugha ya kilatini au kiispania hvyo sikushughulika nae kabisa maana sizijui lugha hizo nashangaa mnasema kumbe ni kiinglishiTumecheka sana hapa ofisini kwa comment ya Mtego wa Noti
Last edited by a moderator: