Ridhiwani yupo huku sasa!

Ridhiwani yupo huku sasa!

Alisoma kwa bidii wapi? sema uoneshwe ushahidi Mawakili wa kweli waliopractice Law na mpaka leo hata vimkweche vya kuendea Mahakamani hawana uwezo wa kununua sembuse huyu unamuongelea huyu Nibebee nibebee nibebeee nibebee nibebeeee Baba JK nibebee mwanao Prince niwe Millionaire.

Matola umenivunja mbavu...
 
Last edited by a moderator:
Kumbe umejijibu swala si RK,Swala kwanin kapata.nataka nikuambie waliosoma vzr wanastaili.ulitaka uwe wewe nin.just wait

wewe ndo kibaraka wake?
wakuu wa mikoa, wilaya hata makatibu wakuu riz ndo bosi wao, na wewe kiazi mwenzake unaona sawa
 

rkikwete.jpg


Jamaa ni mlugha lugha kwa kwenda mbele, eti kapanga mezani ma Ipad na ma blackberry ndio pozi lake la professional picture..!!?

hata computer imezimwa,
 
Watanzania bana,
Hawa hawa leo hapa wanaopiga kelele kuhusu Ridhiwani ni hawa hawa wanapiga kelele kuwalaumu watoto wa Marehemu Mwalimu Nyerere kuwa hawakutumia nafasi ya Baba yao vizuri.
mkuu tuanze kwenye tuhuma ya kwanza, tunaomba ushahidi,
ni wapi au lini watanzania waliwalaumu watoto wa mwalimu???
 
kusema hana lolote wakati chuo alienda na kuna baadhi ya wachangiaji wamekiri kuwa walikuwa pamoja chuoni licha ya ukilaza wake si alifika mwisho wa kozi yake? au ali disco.? kama alimaliza ni vizuri tumuhukumu kwa makosa halali na tusiendekeze shutuma na manunguniko.na tusimhukumu kwa makosa ya baba yake ni mtizamo wangu nisihukumiwe
 
Ndugu yangu Pasco naona umekuja kutetea hata visivyo weza kutetewa.

Watu wengi sana humu JF tunafahamu vizuri sana Legal System inavyo-operate hususani katika Common wealth countries.

Watu wanahoji ni Experience na competence ipi aliyonayo Ridhwan mpaka awe recognised kama Successful young Legal Experty?

Hata watu waliosoma naye pale UDSM bachelor of Law wanamjua vema Ridhwan kama Kilaza mchovu kabisa aliyepita kwa kubebwa sana mpaka kuhitimu, wakati wenzie wanakula nondo kavu kavu za sheria yeye alikuwa kutwa anashinda akiwinda na kutafuna vibinti tu lakini akiwa na uhakika mwisho wa siku atafaulu bila kupingwa kwa mgongo wa influence ya baba yake!!

Inawezekanaje fresh from Law school graduate anatoka moja kwa moja na kuwa Senior International Legal opinion Personnel?

Kama mambo ndio hivi nina uhakika ikifika 2015 Ridhwan ataapishwa kuwa jaji na kutangazwa kuwa ndio jaji mdogo kabisa kuwahi kutokea katika nchi za jumuiya ya madola!!!
Mkuu Tanganyika Tanu, life ina opposites nyingi tuu ambapo not all first runners win the race!, kuna akili za darasani, akili za maisha, vipaji na bahati!.

Pale UD wanafunzi vipanga kabisa hubakisha kufundisha!, hata Mkono aliondoka pale na Pass tuu!. Waliopata 1st class ya sheria tangu chuo kikuu cha Dar es Salaa kianzishwe miaka 50 iliyopita, hawafiki 15!, Mpaka sasa 4 kati yao ni walimu pale mlimani, kiukweli ni mmoja tuu ndio nimemsikia akiendesha kesi!. Hivyo hiyo hoja ya mtu ambaye alikuwa kilaza darasani kuwin life, its immaterial!. Hata katika maisha ya kawaida, vichwa ndio wanaokwenda kuchukua medicine, engeneering au computer sciences, vilaza ndio waopiga B com na hatimaye MBA, tukija kwenye ajira, vichwa wanaajiriwa kama technicals na wale vilaza ndio kwenye menejimenti na wanaopiga pesa ndefu ni vilaza na sio vichwa!.

Hili la fresh from school to rise into siniority overnight nalo linategemea umeanzia wapi!, kama umetoka shule ukaanzia vichochoroni, lazima usote kwanza ndipo upande!. Kama umetoka shule ukaanzia top law firm IMMA, then ukaenda ulaya kusoma na kupata exposure!, ukirudi ni halali kabisa kuwa kuwa senior international legal opinion personel!.

Imetokea tuu kijana anafahamika ndio maana mnamsakama sana!, hivi mtu akiwa mtoto wa rais, kama ana uwezo wa kufanya hili au lile, asifanye eti kwa sababu baba ni rais?!. Kijana kasoma sheria kwa uwezo wake, kamaliza kapata kazi sehemu nzuri, kaenda ulaya kuongeza ujuzi, karudi kafungua law firm yake, mlitaka afanye nini?!.

Kwani Karume alifanya nini kustahili urais wa Zanzibar, au Bush jnr, au Kenyata?, ikitokea mtu ni mtoto wa mfalme, umezaliwa kwenye royal familiy, how are you expected to live, or is it your fault?!. Mtu ukizaliwa presideantial family, you live presideantial, hata mimi ningekuwa yeye, 2015 ndio ningechukua ubunge wa Chalize na ten years letter at the top office!, na sio peke yake, tumeyaona kwa kina Gadhi, Kennedies, Bushes, Karumes na sasa Kenyattas etc.
Natoa tuu angalizo, kuweni makini na baadhi yetu humu, wao wamejaa chuki tuu dhidi ya wenzao, wao ni kila siku kulalamika tuu kuhusu kila kitu na kushutumu always!. We have lots of hate preachers as well well as prophets of the doom!.

Pasco.
 
Unaona sasa yan wivu paka kwenye stail ya kukaa.duuu kwel una wivu mbaya kama mme mwenza.let us be smart.uzandik haufai
 
Si lazima asimame mahakamani uwakili ni uwanja mpana sana
Ss tumekaririshwa tu wakili ni wa mahakani 2
 
Baada ya kelele nyingi kuhusu ubia wake na kampuni tata ya uwakili ywnye kuhusishwa na ufisadi mkubwa hapa nchini RJK aliamua kujiunga na kampuni hii ya GRK kama mbia(partner) hii ni kampuni ya uwakili inayoundwa na Zephrine Galeba | Projectus Rwehumbiza | James Kabakama | Ridhiwani Jakaya Kikwete


partners.gif



Specialization and Career History

Mr. Kikwete is a young and dynamic legal practitioner with 5 years experience in legal practice having worked with reputable law firms in and outside Tanzania. Before joining GRK Advocates as a partner Mr. Kikwete worked with IMMA Advocates holding different challenging positions from January 2005 to December 2010.
rkikwete.jpg

During the same period Mr. Kikwete was attached to DLA Piper in London, one of ten largest law firms in the world where he was exposed to high level legal practice in the area of project financing.

Both at IMMA Advocates and DLA Piper Mr. Kikwete was involved in various areas of modern day legal practice ranging from legal drafting to major aspects of project financing including due diligence inquiries, loan negotiations, consortium building and mortgage financing. His five years period of his legal practice saw him moving within the ranks of the law firms from legal office to a partner level. Mr. Kikwete is therefore equipped with sufficient administrative as well as technical skills required for running a successful law practice.

Mr. Kikwete was admitted to the bar of advocates in 2009. He is also handling commercial and corporate litigation matters at all levels of court system and quasi- judicial tribunals. At GRK Advocates Mr. Kikwete is a partner in charge of Administration and Business Development.

He is a member of Tanganyika and East Africa Law Societies. Apart from the law degree Mr. Kikwete holds Postgraduate Certificate in Business Development from the Hull University (UK)

Ridhiwani Jakaya Kikwete



Yaani haka kajamaa ni kawakili? Mbona akiongea anaongea pumba tu na hata haeleweki?
 
Mmmh, only in Tanzania ... badala ya kukaa kufkria ni jins gani mtaboresha inflow ya 'faranga' mnadiscus kinyamkera?Katika maisha yako, who is RK???Labda kama we ni shoga coz u talk like men but act like a bitch ... ptuu!
 
Shit, ur just a snitch, talk like men but act likd bitcch...badala ya kujiuliza utaongezaje inflow ya faranga we unakuja kupigia promo wanaume wenzako ... stup id ...
 
Watanzania bana,
Hawa hawa leo hapa wanaopiga kelele kuhusu Ridhiwani ni hawa hawa wanapiga kelele kuwalaumu watoto wa Marehemu Mwalimu Nyerere kuwa hawakutumia nafasi ya Baba yao vizuri. Cha kushangaa wengine wanadiriki kumlinganisha Ridhiwani na watoto wa Rais Mkapa na kuuliza mbona hawajawahi kuwasikia watoto wa Rais Mkapa wakijikweza kama Ridhiwani wakati huo huo pia wanamshambulia Mkapa na kusema ni Fisadi sasa sijui hiyo pesa ya ufisadi anaifaidi nani.

Halafu bila soni mtu anakuja hapa na kusema eti Hussein Mwinyi amepata Uwaziri bila upendeleo. My foot.

Mtoto wa Rais akiwa low profile ni maneno, akiwa high profile napo ni maneno. Wapi na wapi.

Sijaandika hiki ili kumtetea Ridhiwani, la hasha. Ni vizuri tukawa wakweli, majungu hayajengi.
Hivi una hakika kama Mkapa ana mtoto? Utawala wa Nyerere watoto wake wangepata wapi nafasi ya kufisadi nchi wakati hata mke wake hakuachiwa upenyo huo? Tafakari kabla ya kuandika.

Labda ungetueleza Hussein Mwinyi amependelewa vipi kuwa Waziri wa Afya wakati yeye ni mbunge na ni Daktari MD?
amesoma Uturuki na Internship amefanyia Muhimbili, hebu nieleze hapo anabebwaje?
 
ni ukweli usiopingika kwamba nafasi ya baba yake pia ina play a great role katika maisha ya kila siku ya huyu mshikaji, cha msingi kama kijana ni kupigana kwa nafasi yako ili kukabiliana na huu umaskini regardless una degree,dip au cert etc, simply its not easy to change stage aliyofikia mshikaji, and unfortnatelly ndo ushafikia hapo ulipo kuna sababu..
 
Me napita tuu jaman hang'over ya leo si mchezo konyagi nouma!!!


Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Kumbe umejijibu swala si RK,Swala kwanin kapata.nataka nikuambie waliosoma vzr wanastaili.ulitaka uwe wewe nin.just wait

Ww acha ujinga!hivi ni wangapi wamesoma vzr kuliko hata hyo riz na hawapati/wananyimwa haki zao za msingi mf🙁kupandishwa vyeo,na fursa mbalimbali n.k?)bt yy anapewa simply coz ni prince!?
...usitufanye hatujui bana
 
Back
Top Bottom