Lukansola
JF-Expert Member
- Sep 5, 2010
- 5,435
- 1,611
kaka inawezekana jibu likawa jepesi zaidi kuliko unavyodhani -- Mkopo wa Benki --- 10bil pia akaongezea na za kwake kidogo.
wewe unaweza kupata mkopo wa hizo 10Bn? kama jibu ni ndio ni watz wangapi wanaweza? mpaka hapo nadhani utakuwa umeanza kupata context ya mjadala huu...