Ridhiwani Kikwete, thibitisha au kanusha

Ridhiwani Kikwete, thibitisha au kanusha

ridhiwan before 2005 alikuwa mwanAfunzi udsm. Haya mafanikio yanayokuja kama mvua za el nino ni lazima hata mnaOmtetea hamwezi kuzuia fikra za mashaka juu YA kujipatia kwake mitaji kwa njia zisizo halali. HaiwezEKANI katika bingu hii hata kama yeye mwanasheria .anafanya biashara gani ya kuwa na uwezo kama mungu wa tanzania ambaye hajapata tokea . Watetezi uchwara nyie bila shaka MNAPATA mshiko wa kutosha kulinda maslahi yake ila mna akili ya kitoto sana nendeni shule kwanza inaonekana nyie mnafikiri hoja mnazotoa zina mshiko wla hazina mshiko hata kidogo. Hakuna muujiza .rz1 anauza hadi udc huyu ni dalali wa ikulu. IKULU KUNA BIASHARA GANI HATA UPAKIMBILIE. IKULU NI MZIGO,UKITOA PESA ILI KUINGIA IKULU UTAZIRUDISHAJE? HAYA NDIYO MASWALI MUHIMU YA R1 KUJIULIZA UKIONA WATU MABARABARANI UNAONA NI MZIGO WAKO HUO, UKIONA WATU WENYE NJAA NI WAKO. JE RZ1 ANAMSAIDIAJE BABAKE KUBEBA MZIGO. KWA SPEED ALIYO NAYO KUPOPOA MALI ZA NCHI. Ana nguvu kuliko vp, na hata pm. Serkali dhaifu sana hii tunasikitika tanzania inapita ktk wakati ikiwa dhalili namna hii. Watetezi mtakuwepo na mtamkana atakapokujanyongwa
Pole sana LOVI MEMBE, naziona hasira ulizonazo juu ya hoja kama hizo. Nafikiri kitu ambacho kinaweza kuwa kinawaudhi wengi, haonekani kuwa mtu wa jamii huyu, bali Ridhwani anaonekana kuwa mbinafsi na mwenye kujipenda mwenyewe na watu wake wa karibu. Anasahau kuwa anabeba dhamana ya baba yake pia, na mahusiano yake na jamii ni muhimu sana. Nadhani anasahau kuwa watu wengi ambao wanatawaliwa na Baba yake ambao wamemmpa baba yake dhamana na dniyo maana akapata hiyo hadhi ya kuziona fursa za kuchiumi ni masikini na wanajua hakuwa na uwezo huo, asipowapa fursa na wao ya kuona au kujaribu kujijenga kiuchumi, anajitengenezea chuki nao. Pia anasahau kuwa baba yake ataondoka madarakani muda si mrefu, kwa serikali nyingi za Afrika wengi wa watoto hawa hawaponi mabadiliko yanapokuwa ni makubwa. Asipoanza kuimarisha mahusiano yake na jamii ikiwamo ya kule kkwao na kuacha kukejeli na kuvimba kichwa badala yake akawa mtu wa watu, atasalimika. Kwaq tabia ya baba yake, sitashangaa kama atatuhumiwa na kuna ushahidi, akaruhusu aswekwe ndani, huyo ndio JK, hatabirki na hakubali kuchafuliwa suti yake.
 
Hawakupindua nchi, bali walichaguliwa na nyie wenyewe watanzania; hayo ni sehemu ya malupulupu ya urais wa Tanzania ya leo. Msilalamike wakati ni nyie wenyewe mliowapa ridhaa. Kikwete aliahidi kuibadilisha baahdi ya miji ya Tanzania kuwa Dubai, na hili ndilo analofanya kwa kuweka majengo ya kisasa!
 
acha wivu ulitaka na wewe uzaliwe na kikwete?

Na wewe ukue! Alichotakiwa ni kukubali au kukanusha. Hakuna ubaya kumiliki jengo kama hilo, kibaya ni kuulizwa "KWA NINI USIITWE MWIZI", KWA KUINUA KIMJENGO, MAPATO YAKO YANASWIHI? AU MFUKO WA MDINGI?
 
Kaaazi kwelikweli! Inaweza onekana kuwa ni wivu lakini hata mimi kama yanayosemwa ni kweli huyu kijana ana ghorofa nyingi sana ndani ya miaka 5 hii, eti kanunua kiwanja Arusha 1 billion!! 1 low-density plot anatoa billion 1 cash! Hata mimi natamani kupata hizi pesa lakini kwa umri wake huo kweli na background inaruhusu???????? Poa bana!
 
hii ndiyo shida ya kutojua mishahara ya viongozi wetu........halafu wanasema eti sisi ndiyo tumewaajiri
 
Tatizo si yeye kujenga,ila ni wapi anatoa hizo fund na kwanini iwe leo hii aoteshe majengo ka uyoga?
 
Wakuu binafsi sioni furaha kuwa na mali ambayo sijaifanyia kazi - nilijaribu kudokoa ka Laptop ofisini kwangu (Hp 8540 i5) aisee ilinisumbua saana kichwani sikuwa na amani nikairudisha baada ya siku mbili tu.

Sasa kuwa tajiri kwa mali ambayo hujaifanyika kazi na still ukawa na amani rohoni aisee huo ni ukomandoo. anyway ngoja tusubiri inawezekana hili jengo ni mali ya familia au washikaji zake tu.
 
Tatizo si yeye kujenga,ila ni wapi anatoa hizo fund na kwanini iwe leo hii aoteshe majengo ka uyoga?
kaka inawezekana jibu likawa jepesi zaidi kuliko unavyodhani -- Mkopo wa Benki --- 10bil pia akaongezea na za kwake kidogo.
 
Wabongo kama hatujatulia vile.Ukiwa mtoto wa kibosile hauruhisiwi kumilki kitu chochote au kuwa na kitega uchumi?Kama kavipata kiharali basi ruksa!!!!
 
hakuna mtu anapenda kuzaliwa na mwizi, nani atamwonea wivu mtoto wa kibaka hata kama kupitia huo ukibaka watakuwa matajiri. Au ndio Riz1 umejibu.
kaka nimeipenda lakini sichangii
 
Tunajua majumba yaliyomengi yote ya Ridhiwan ni ya Kikwete. Hii ndo style ufisadi wa Kikwete anayoitumia. Kwanini tusijifunze kutoka kwa mwasisi wa taifa hili Mwl Nyerere? Lakini tujiulize kama kuna rais yeyote wa Africa aliyekuwa tajiri kama wa Libya? ulafi haukubalikiii. Ndiyo maana hana uchungu wowote wa wagonjwa wanaokufa hospitalini.
 
Tujadili basi na huyu mtoto wa Mkapa ambaye hadi sasa ni Mkurugenzi wa Mgodi wa Kiwira ambao hadi juzi Mkono, Zitto na Mnyika wamehoji na hakuna anayemjadili badala yake kuna mtu mahali anasema watoto wa Mkapa hawajulikani na hawajawahi kushiriki ufisadi. Nashangaa sana hata huyo Kikwete kuendelea kuwachekea watu ambao wanafanya ufisadi wao halafu wanamgeuzia kibao kwa mambo ya uzushi. Kiwira tumesahau, Richmond ndiye Rais tumpendaye ELowassa, Mwananchi Gold ndiye tumepa Tume ya Katiba, Rada ndiye Mwenytekiti wa Kamati ya Uchumi,Ufisadi wa ajabu Kigamboni ndiye Spika wa Bunge na aliyevuta kwa wawekezaji wa Mali asili ndiye Naibu Spika!! (Alikua Mwenyekiti wa Kamati ya Maliasili)... Tuacheni ushahbiki wa kinafiki tuwe wakweli!! Leo Kiwira hamjui mtoto wa Mkapa na mkewe wamo? Nico na Fosta? Soma hii hapa ya Mr. Clean.

THURSDAY, AUGUST 16, 2007

Mkapa-Yona-Kiwira: Abuse of power?

The former president Benjamin Mkapa (right)
and his energy and minerals minister Daniel Yona.
____________________________________

A PAPER trail left behind after the controversial privatisation of the state-owned Kiwira Coal Mine in 2005 has unearthed evidence of obvious abuse of office by former president Benjamin Mkapa and his energy and minerals minister Daniel Yona.

Painstaking investigations by THISDAY have succeeded in unravelling the intertwining interests of the two once all-powerful politicians and their immediate families in this apparently-lucrative but astonishingly-secretive deal.

For chronological purposes, the beginning of the story can be traced back to 1999, when Mr Mkapa and first lady Anna Mkapa founded a private company called ANBEM Limited while they were still occupying public office at State House.

This company would in late 2004 enter into a partnership with another private company, DEVCONSULT Limited, in which Yona and his son are sole shareholders, to establish Tanpower Resources Limited.

They were joined in the Tanpower Resources shareholding structure by at least three more companies, two which were Fosnik Enterprises ? in which the ex-president’s son Nicholas Mkapa and his wife Ms Foster (Mbuna) Mkapa are sole shareholders ? and Choice Enterprises ? whose majority shareholder is Nicholas’ father-in-law Joseph Mbuna.

And hardly six months after its formation, the seemingly obscure Tanpower Resources swiftly moved in to take over the Kiwira Coal Mine - with very few people in government actually aware of the real, powerful forces behind the company.

Following is a chronology of official events and happenings, backed by a paper trail of evidence, that suggest a planned and systematic abuse of public office by people perched at the very top of government, culminating in the takeover of the potentially very rich (and formerly state-owned) Kiwira Coal Mine in Mbeya Region:

June 22, 1999

While serving as sitting president and first lady of the United Republic, Mr and Mrs Mkapa officially registered ANBEM Limited in Dar es Salaam as a private company in which they were sole directors, shareholders and ?entrepreneurs?, as described in the company documents. Among other things, the stated objectives of ANBEM Ltd include: ?To carry on business and to act as merchants, general traders, warehouse, stockists, shopkeepers and operators of supermarkets, commission agents and carriers.?

From 1999 to 2005 -

When Mr Mkapa completed his second and final term in office as per national constitution ? the private business affairs of ANBEM Ltd were conducted from registered offices at Plot Number 15, Luthuli Road, which is a building within the official State House walls in Dar es Salaam.

July 2002

When ANBEM Limited was three years old ? and with its sole shareholders still occupying public office at Ikulu ? the company applied for and was granted a loan of $500,000 (approx. 650m/-) from the National Bank of Commerce (NBC) Limited. This loan came on the heels of a heated national debate over the privatization of the previously state-owned bank, which was fiercely opposed, amongst others, by the Father of the Nation, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, until his death in 1999.

Several members of parliament from both ruling and opposition parties were also strongly against the bank?s privatization, arguing that the once-giant national institution was being sold off far too cheaply. But as eventually transpired, the privatization of the then NBC (1997) Ltd still went ahead as scheduled, with the formation of NBC Ltd in April 2000 and acquisition by South Africa?s ABSA Group of 70 per cent of the bank?s shares - for a reported total price of just 15bn/-.

Records will show that Mr Mkapa, as sitting president, was always a vocal supporter of the bank s privatization process resulting in its takeover by ABSA Group - whose direct association with NBC actually began in August 1999 when the South African firm effectively started managing the bank at the request of the third phase government under Mr Mkapa.

December 2002

A few months after securing the NBC Ltd loan, ANBEM Ltd landed another big credit-line in the form of a 250m/- loan granted by CRDB Bank Limited. During the same year, the then president Mkapa announced a cabinet reshuffle which included the appointment of senior cabinet minister Daniel Yona to head the crucial energy and minerals portfolio. As the minister for energy and minerals, Yona’s duties included overseeing the then still state-owned Kiwira Coal Mine Limited, and coordinating its pending privatisation process.

December 29, 2004

The registration of Tanpower Resources Company Limited - a private company formed as a joint brainchild of then president Mkapa and energy and minerals minister Yona is completed, with its stated objectives including to carry on the business of miners of coal and iron; to process such coal and iron and generally treat, prepare, render marketable, sell and dispose of such coal and iron or by-products resulting therein in their raw or manufactured state.”

The company is also licensed to ”deal with coal mining in order to generate electricity for consumption and sale; to generate power generators, transmitters and general distributors; and to provide power and general projects management, project appraisers and consultants.”
At the time of its registration, the first listed directors of Tanpower Resources were the then first lady Mrs Anna Mkapa; the then minister for energy and minerals Daniel Yona; Nicholas Mkapa (the president and Mrs Mkapa’s son); Joseph Mbuna (Nicholas Mkapa’s father-in-law); and one Evans Mapundi. Mrs Mkapa sat on the board as a representative of ANBEM Limited: Yona from DEVCONSULT Ltd; Mkapa junior from Fosnik Enterprises; Mbuna from Choice Enterprises; and Mapundi representing yet another company, Universal Technologies Limited, in which he shares ownership with one Wilfred Malekia.

During this period, Mr Mkapa and Yona - through their positions in government - were deeply and directly involved in the pending privatisation of the Kiwira Coal Mine.

Mid 2005

Tanpower Resources enters into a joint venture with the government and acquires 70 per cent of the shares in Kiwira Coal Mine. The private company later increases its shareholding in the coal mine to 85 per cent, leaving the government with just 15 per cent. The president’s son, Nicholas, is appointed a member of the renamed Kiwira Coal and Power Limited company board of directors, while his father-in-law Joseph Mbuna becomes board chairman.

Other shareholders of Tanpower Resources, Wilfred Malekia and Evans Mapundi, are also named on the new Kiwira board. The privatised Kiwira Coal and Power Ltd is also given control of the Kabulo coal prospect, a separate additional area owned by the government with proven lucrative coal deposits. The State Mining Corporation (STAMICO), a government-owned agency, is kicked out of the Kabulo project which has proven reserves of up to 14 million tonnes of coal.

December 2005

President Mkapa retires from office at the end of his final two terms in office, as per national constitution. Yona also announces his retirement from active politics.

March 2006

On the basis of fast-tracked negotiations already concluded by the Mkapa administration, the fourth phase government under President Jakaya Kikwete signs a 20-year deal worth all of $271m (approx. 340bn/-) with the Kiwira coal-fired power project. But government officials now privately tell THISDAY that the contract, which is basically between Kiwira Coal and Power Limited and the Tanzania Electric Supply Company (TANESCO), is steeped in controversy and dubious details - and could end up being an expensive quagmire for the national economy on a scale even worse than the infamous IPTL affair of 1995.

August 2007

THISDAY begins publishing exclusive reports on the Mkapa-Yona link in the Kiwira coal project. The Tanpower Resources file, which had been missing in public records, mysteriously resurfaces, but with a one-page resolution now inserted inside which purports to show that ANBEM Ltd (the company owned by the ex-president and his wife) forfeited its 200,000 shares in Tanpower Resources on January 10, 2005.

.: Mkapa-Yona-Kiwira: Abuse of power?
 
Tina,
Wadanganyika weneopesi wa kusahau. Leo hawakumbuki ya Lowassa unakuja sema ya Mkapa?..Kesho watamsahau tena JK na kusema hakunarais kama yeye hivyo Ridhwan ana kiila haki ya kujichumia utajiri toka kwa mijitu mijinga kama sisi..
 
Last edited by a moderator:
Inatia kichefuchefu. Anamiliki kila kitu. Anamiliki hata mradi wa magari yaendayo kasi, anamiliki mabasi mapya 200 (ambayo hayaonekani), ameleta malori 200 ya mafuta na 200 ya mizigo (mwingine hapa kasema 600), anamiliki magorofa 20 katikati ya jiji, hata jengo la PPF tower lake, hata Alpha House yake Lowassa anamshikia tu, Oilcom yake, BP zote zake.. Kampuni ya Vodacom pia yake maana hisa alizokiua nazo Rostam kamshikia tu na picha tunazo tutaziweka akanushe au akubali!!!

Hii ndiyo Tanzania, Tanzania ya kila mtu anaweza kusema chochote na asiulizwe na mtu anaweza kusema tu takwimu 'magari 600' ambayo Dar ama hata Arusha huwezi kuyaona kwa macho ni magari invisible.

Tubadilike Watanzania tuzungumze kwa hoja ili hata kukiwa na jambo tunasikilizwa na kuonekana serious. Kuongea hovyo kunsababisha hata mambo mazito watu wanasema "kawaida yao Watanzania kujisema bila data"... Sasa kuna mtu aliorodhesha mali za Ridhiwani zikafika mali kubwa zote hapa mjini almost alifikia zaidi ya item 20 kubwa kubwa yakiwamo makampuni yaliyoanzishwa hata kabla hajazaliwa ama alikuwa shule. Let's be serious.
 
Tina,
Wadanganyika weneopesi wa kusahau. Leo hawakumbuki ya Lowassa unakuja sema ya Mkapa?..Kesho watamsahau tena JK na kusema hakunarais kama yeye hivyo Ridhwan ana kiila haki ya kujichumia utajiri toka kwa mijitu mijinga kama sisi..

Mkandara si tu kusahau. Unajua kuongeza chumvi ama kuvumisha mambo kukizidi kunaharibu hata maana halisi ya tuhuma na kusababisha wezi kupeta. Mbinu ambazo kina Lowassa wamefanikiwa nazo ni kuhakikisha kila mtu anatuhumiwa kuwa fisadi kwa namna yoyote ile hata ya kupakaziwa ama ya kutegeshewa ili kupoteza maana halisi ya ufisadi na wao kuchomoka. Lakini sisi kupiga kelele za mwizi bila ya kuwapo wizi, siku akitokea mwizi wa kweli watu watasema, "hao kawaida yao kupiga kelele za uongo"... Nakumbuka hadithi ya mlevi mmoja alikua akirudi kwenye ulevi usiku alikua akipiga kelele za kuvamiwa na fisi, watu wakitoka wanakuta hakuna kitu, anacheke na kwenda kulala! Siku moja akatokewa na fisi wa kweli akamshambulia, akiwa anapiga kelele, hakuna aliyetoka hadi mlevi mwenzake aliyekuwa akitoka ulevini alipokuta anaharibiwa na fisi akamsaidia, lakini hakufanikiwa kuokoa maisha yake. Na sisi tusiwe kila siku tunapiga kelele Ridhiwani hata kwa mambo ambayo ni ya kuzusha, maana siku tukija na jambo lenye uzito, watu watatudharau.
 
Last edited by a moderator:
huyu ridhiwani na domo lake, subirini tu 2015. huyu mtoto hana adabu kabisa, kwenye vikao vya chama anajifanya kama yeye ndiye rais wa nchi hii. ku.manina zake subiri tu. ikibidi tutakimbia tuingie upinzani, lakini huyu kijana lazima aonje segerea kama siyo nguvu ya umma
 
Back
Top Bottom