fide1975
Member
- Jul 21, 2007
- 23
- 12
Wew unasifia mijizi inayoiba fedha za walipa kodi ambayo ingesaidia baba mamako.unaona fisadi1 mjanja kutumia mgongo WA ikulu kujitajirisha...ulimbukeni mzigo!Never the less,hata kabla baba yake hajawa rais alishakua tajiri.sasa unategemea mtoto wa kiume azaliwe kwenye familia tajiri af awe maskini!ye hajui kutafta?!.ulimbukeni..