Ridhiwani Kikwete, thibitisha au kanusha

Ridhiwani Kikwete, thibitisha au kanusha

Why Riziwani? Watoto wa viongozi toka tumepata uhuru ni wengi sana. Kwanini kashfa za ukwasi usio na maelezo zinamwandama Riziwani tu?

hyo cyo haja kwa hyo asitafute kisa watoto wengne wa marais hawakutafta by the way hawawez kufanana hata mzaliwe mapacha lazma kuwe na utofaut mbona kama mngezaliwa kenya muone mali anayomiliki uhuru kenyatta mngekonda sana
 
Ni hoja mkuu, kwanini wanamtuhumu yeye tu? Suala unalotaka kusema wewe ni kuwa hizi tuhuma ni za kweli na ana mali kidogo ukilinganisha na rais wa Kenya Mh. Uhuru. Unaweza ukanihakikishia kuwa huyu Ridhiwani anamzidi hili mfano waziri Mwinyi?
 
Uhuru Kenyatta anafanya biashara halali kupitia kwa kampuni zake ambazo zimesajiriwa kwa jina lake na analipa kodi. Mfano kampuni yake ya Brookside inalipa kodi vizuri sana, bado kuna shule zake,, kuna Benki ya CBA hata hapa Tanzania inalipa kodi vizuri tu na inazidi kufungua matawi hadi Mtwara. Sasa huyu Riziwani ana kampuni gani inayomuingizia kipato cha kujenga majengo kama UYOGA. Mfano ile Hotel ya Chilakale ya Morogoro, pale kuna State of the Art buildings. Je hizo hela za kujengea kazipata wapi wakati yeye anasema anako kakampuni kadogo tu ka UWAKILI na huku mawakili mahiri kama Tundu Lissu au Kibatala hawana majengo kama ya Riziwani na hatujawahi kumuona mahakamani akimtetea mtu yoyote?? Je TRA wanamtambua Riziwani Kikwete miongoni mwa walipa kodi wakubwa???
 
Ni hoja mkuu, kwanini wanamtuhumu yeye tu? Suala unalotaka kusema wewe ni kuwa hizi tuhuma ni za kweli na ana mali kidogo ukilinganisha na rais wa Kenya Mh. Uhuru. Unaweza ukanihakikishia kuwa huyu Ridhiwani anamzidi hili mfano waziri Mwinyi?
Yaaani hawa wamekuja kuimbua shamba mimi ninaimani zitarudi tu kwa wenyewe wakulima.
 
Watanzania mna wivu wa kike,by mkapa

CCM ni sawa na UKOO WA PANYA, Baba mwizi, mama mwizi, mtoto mwizi, kaka mwizi , dada mwizi, Babu Mwizi, Bibi mwizi, shemeji mwizi,mkwe mwizi,Tumia dawa kali aina ya CHADEMA!. Uweze kuangamiza ukoo wa mapanya waharibifu aina ya CCM!!!! Vinginevyo ukicheka na mapanya utaambulia....Ufisadi.Tuma sms hii kwa watu 15 kuiangamiza familia hii ya panya mwaka 2015 ktk uchaguzi mkuu
 
Umbeya huo, unataka adhibitishe kwenye JF? Tumia akili kidogo mzee

Kwani wewe ulitaka akadhibitishie wapi mkuu ? hapa hatuachii hadi tusikie imelia tutsuuu .
 
hatukatai mtoto wa rais kuwa tajiri lakini amepatapataje ndo shida inapokuja! na hilo ndio lalamiko la wengi
mimi naamini hata baba yake angekuw anampa mshahara wake wote na marupurupu yote tunayomlipa kwa kodi zetu bado haiwezi fika utajiri kiasi hicho hata kama biashara inakuwa mara tano kila mwaka.
 
'CCM ni sawa na ukoo wa panya, baba mwizi, mama mwizi, mtoto mwizi, babu mwizi, bibi mwizi, kaka mwizi, dada mwizi, mkwe mwizi, shemeji mwizi.' By Mh. Nassari:shock:
 
Hivi huyu kijana alimaliza chuo mwaka gani? amefanya kazi miaka mingapi? utajiri wake unaniacha HOI!:yell:
 
acha wivu ulitaka na wewe uzaliwe na kikwete?

He..!we mzima au chz?kwani mtu akizaliwa na kikwete ndo ana uhalali wa kuwa na mali a utajiri?hebu leta hoja hapa,sio mipasho.
 
Huwezi kumiliki Carina tena ya washikaji halafu ujenge mjengo kama huu..
 
Can you prove hakuna hata siku nilio sema huyo jamaa nimemfuatilia na kujua kama sio Ridhiwani huyo anaishi tandale na nimeongea na Ridhiwani kasema hayupo JF sasa huyo anakupotezeeni muda wenu tu
Wema Sepatu unatafuta bwana?
 
Can you prove hakuna hata siku nilio sema huyo jamaa nimemfuatilia na kujua kama sio Ridhiwani huyo anaishi tandale na nimeongea na Ridhiwani kasema hayupo JF sasa huyo anakupotezeeni muda wenu tu
Wema Sepatu unatafuta bwana? Naona unanishobokea sana kujifanya unajijua sana.
 
Back
Top Bottom