Ridhiwani Kikwete, thibitisha au kanusha

Ridhiwani Kikwete, thibitisha au kanusha

attachment.php

Ridhiwani kikwete naomba uthibitishe au ukanushe umiliki wako wa jengo hili ndani ya Dodoma.Nitatoa nyaraka baada ya kusikia kauli.Naomba kuwasilisha.
Mkuu Ngowile respect.Swali langu kwako mkuu,Ridhiwani hastahili au haruhusiwi kumiliki jengo Kama Hilo?kwasababu ni Mtoto aw Raisi basi anatakiwa kuwa maskini?kwa cheo cha baba yake ni wazi kabisa Ana opportunities nyingi za kujiendeleza sasa unataka asizitumie ili aonekane mwadilifu?kama wewe ungekuwa kwenye nafasi yake ungeamua kuwa maskini ili usiandikwe vibaya magazetini?una nyaraka zozote zinazoonyesha pesa alizotumia kujenga ni za wizi(Kama kweli jengo ni lake).?mimi Kama mtanzania I think they deserve even more than that kwa kazi kubwa anayofanya baba yake kwa manufaa ya watanzania wote.hakuna haja ya kutoa majungu ya sio na msingi.kwa yoyote mwenye baba ambaye ni Raisi wa nchi angefanyathe same au hata zaidi.ukimkuta Ridhiwani barabarani anaendesha baiskeli utamcheka au utamsifia?be blessed
 
Haina shda mda Sio Mrefu 2015 Sio mbali tena Lowasa akiukwaa Urais.
 
acha wivu ulitaka na wewe uzaliwe na kikwete?

Mwizi akinyooshewa kidolle tu majizi wenzie wanadai huo ni wivu tu!muda si mrefu mtatoa hesabu za uovu wenu mbele ya wananchi wanaopigika!time will tell.
 
Mwizi akinyooshewa kidolle tu majizi wenzie wanadai huo ni wivu tu!muda si mrefu mtatoa hesabu za uovu wenu mbele ya wananchi wanaopigika!time will tell.

Tafuta maisha wewe acha kujilegeza,unapigika kimaisha kwa ujinga wako,mtu hauja fungwa jela unakosaje kipata hela mtaani?
 
Never the less,hata kabla baba yake hajawa rais alishakua tajiri.sasa unategemea mtoto wa kiume azaliwe kwenye familia tajiri af awe maskini!ye hajui kutafta?!.ulimbukeni..
 
Siku zote wewe huwa unasema ID ya "ritz" ni Ridhiwani leo unasema ni ID fake?? Kweli akina dada wa siku hizi, hamuaminiki siku zote kwa kauli!

Can you prove hakuna hata siku nilio sema huyo jamaa nimemfuatilia na kujua kama sio Ridhiwani huyo anaishi tandale na nimeongea na Ridhiwani kasema hayupo JF sasa huyo anakupotezeeni muda wenu tu
 
Jamani watu mna mambo!! Wengine hayo majengo mazuri ivo kwetu hayapo.. natamani vitu vitamu kwa macho kama hivi vihamie hata kwetu MKATA kama KWAMSISI itakuwa mbali.
 
Prince Harry of Wales alisema alimuua Taliban mmoja na kuwa proud kwa sababu aliondoa uhai wa mtu mmoja unaotishia uhai wa mamilioni ya watu. Ni vyema wakati mwingine kutekeleza philosophy kama hizi endapo unaona mambo kama haya kwenye picha hapa chini ukilinganisha na hiyo ya mtu mmoja hapo juu:


971699_10151557320132304_1094511200_n.jpg


Tanzania_mothers_459847artw.jpg
 
Bora yeye kajenga hoteli hapo Dodoma angalau dada zetu watapata kazi ya kufua mashuka yenye majanaba,siwapendi sana wale wanaoiba hela zetu za miradi ya maji,barabara na shule halafu wanakwenda kula maisha na malaya visiwa vya TUVALU.
 
hahhhahahaha,hapo mkuu umenivunja mbavu,hv kweli tumekia hatua hii yakutamn mtu ungezaliw kunguru,dah hii mpya ngoja niiweke kwny kumbkumb zang,mkuu we kiboko,nimekunyoshea mkono

mkuu its common to commoners kutojiamini
 
dogo tulia kwani imeandikwa wapi haruhusiwi kumiliki mjengo domdom jadili maisha yako umekwama wapi upate jibu.
 
Jibu ni rahisi tu huwezi ona uchafu kama wewe mwenyewe mchafu na umepita kwenye uchafu
 
Back
Top Bottom