My hairs!
Hii ni kali!
Hapa hashitakiwi mtu hata ikiisha miaka 10!
Dogo keshastuka, hataki matatizo!
Kagundua kuwa kupima OIL kwa baadhi ya watu si jambo la mchezo!
Nimeipenda sana hii mkuu
My hairs!
Hii ni kali!
Hapa hashitakiwi mtu hata ikiisha miaka 10!
Dogo keshastuka, hataki matatizo!
Kagundua kuwa kupima OIL kwa baadhi ya watu si jambo la mchezo!
Hakuna kilaza kushinda wewe. Unadhani kuropoka tu kunatosha. Polisi siyo wajinga wa kupiga mbizi bila kujua anachokwenda kukiopoa. Toa basi angalau kitu credible cha kufanyia uchunguzi, siyo hopeless matamko ya ku-justify ruzuku ndiyo yawe basis ya needless investigation.
Ndiye haswaa!Bila shaka huyu ni Riz1 mwenyewe. Mambo vipi Riz1, si bora uende mahakamani kama ulivyobeep?
huyu dogo ni mjinga ajaui data watu tunazo kwa hiyo ameamua kukana mali zake'? Kwa hyo kituo cha mafuta kilichopo mahakama ya ndizi likeoil tukichukue wananchi kwa sababu ni kodi zetu ameiba amefungua kituo cha mafuta, awezi kuwa tajiri wakati watanzania wanateseka na maisha
swahiba... the only danger naiona hapa ni arrogance ya dogo while there are only 4 year left kwa baba kulinda familia, if it was me, i would be very careful with what i say to anyone
Tanzania iko kwenye mapito makali sana na kauli yoyote ile ni muhimu sana hasa ukiwa kwenye limelight
Nina story ya mtoto wa waziri wa siera leone ambaye ni rafiki yangu akisimulia yaliyomtokea, unaweza kupata kichaa... yeye amekimbilia UK
mlio karibu, mshaurini dogo akae kimya au hata asijibu chochote kwa waandishi, silence can be the best noise one can make
. hujasema kitu bado hapoHuwa najiuliza hivi watu wengi ni kwanini wanashindwa kucompute a very simple problem, yaani mnakuja humu kumtetea ridh1 wakati hali mkijua. .nadhani hamjui kutokana na kuto study au kufikiri jinsi watu walivyo lishadadia ili swala, kibaya zaidi mnakuja kwa wakati mmoja alafu the same language mnatumia wakati kwakufanya hivyo mnazidi kupandisha hasira za watu na kujenga majibizano kwahiyo mada inakuwa kubwa na kunoga acheni ushamba mtu hawezi kutukana mara mbili kwani ridh1 peke yake ndo wakwanza kushkiwa kidedea. Acheni wamseme na yeye ajifunze next time awe makini ktk kutoa kauli zake unajua si kila mtu ni mkamilifu yeye alipaswa askilizie tu mbona mambo ya kawaida tu, kozi ukiangalia sana na chuki za watu pia zina changia kutoa maneno makali hvyo ichunieni thread itaisha taratibu sio muanze kujenga hoja humu na majibizano sio vizuri .
wewe umeongea kitu,sio hawa washabiki wa kisiasa wanabwabwaja tuNimesoma Extractive IndustryTransparent Initiative Report wandugu mnaojua kuweka thread embu jaribuni kuingia kwenye hii web alafu tafuteni Tz Report. Yaani wawekezaji kwenye madini wamelipa Tz 84.4 million USD Tanzania wao wameripoti kupokea 48.3 million USD mwaka 2008/2009. Where is the money! Makampuni ya madini yameona bora yawe wazi kwani yanaonekana hayana mchango kwa nchi husika kumbe ela wanazolipa zinakokwenda hazijulikani haziko kwenye vitabu vy serikali. Hii ni report ya kwanza kwa Tz wenzetu Ghana wamesharipoti for six years now.
Utaratibu wa EITI ni kuwa mining companies zinariport what they have paid to host government na Host government inaripoti ilichopokea toka Mining companies. Na imesaidia uwajibikaji kwa nchi nyingi including Chad upande wa mafuta.
Lakini wao hawamwajibishi mtu, ila wanaweka mambo adharani wananchi ndio waamuzi.
Tanzania discloses mining revenues in first EITI report | Extractive Industries Transparency Initiative
shangaa na wewe watanzania walivyo na choyo,idea za kijamaa ndo zimetujaa,ndo mana watu hawaishi kuoneana vijicho,roho mbaya,mtu akinunua gari fisadi,wabongo banaooh...!!kumbe ana kituo cha mafuta..hivi ni kituo ama kisima?
Hicho kituo kinatumia teknolojia gani,nuclear?maana unaongea kama ni ajabu sana mtu kuwa na kituo cha mafuta.
Kwani viko vingapi?.vina thamani gani?.
Na sheria ipi inamzuia dogo kuwa na kituo cha mafuta?
Nimesoma Extractive IndustryTransparent Initiative Report wandugu mnaojua kuweka thread embu jaribuni kuingia kwenye hii web alafu tafuteni Tz Report. Yaani wawekezaji kwenye madini wamelipa Tz 84.4 million USD Tanzania wao wameripoti kupokea 48.3 million USD mwaka 2008/2009. Where is the money! Makampuni ya madini yameona bora yawe wazi kwani yanaonekana hayana mchango kwa nchi husika kumbe ela wanazolipa zinakokwenda hazijulikani haziko kwenye vitabu vy serikali. Hii ni report ya kwanza kwa Tz wenzetu Ghana wamesharipoti for six years now.
Utaratibu wa EITI ni kuwa mining companies zinariport what they have paid to host government na Host government inaripoti ilichopokea toka Mining companies. Na imesaidia uwajibikaji kwa nchi nyingi including Chad upande wa mafuta.
Lakini wao hawamwajibishi mtu, ila wanaweka mambo adharani wananchi ndio waamuzi.
Tanzania discloses mining revenues in first EITI report | Extractive Industries Transparency Initiative
Wana muda wa miaka isiozidi 4 tu ya kulinda mali zao za wizi. Baada ya hapo yatawakuta yaliyomkuta Mubaraka wa Misri ambapo wote baba na watoto wake wananyea debeKumbe sasa nimegundua kwa nini familia nzima ilichangamkia kampeni za "Urahisi" wa Mzee wa kuchakachua a.k.a. Dr. wa kubumba wa chama cha Magamba! Kumbe walikuwa wakiulinda ulaji wa familia na si uchungu wa nchi.
Wana muda wa miaka isiozidi 4 tu ya kulinda mali zao za wizi. Baada ya hapo yatawakuta yaliyomkuta Mubaraka wa Misri ambapo wote baba na watoto wake wananyea debe