Ridhiwani Kikwete ang'aka tena

Hakuna kilaza kushinda wewe. Unadhani kuropoka tu kunatosha. Polisi siyo wajinga wa kupiga mbizi bila kujua anachokwenda kukiopoa. Toa basi angalau kitu credible cha kufanyia uchunguzi, siyo hopeless matamko ya ku-justify ruzuku ndiyo yawe basis ya needless investigation.

Bila shaka huyu ni Riz1 mwenyewe. Mambo vipi Riz1, si bora uende mahakamani kama ulivyobeep?
 
Mkuu Mbopo. Kuna tofauti kati ya civil procedure na criminal procedure regarding the burden of proof. In criminal procedure, the burden of proof lies with the prosecution to prove the crime (actus reus & mens rhea) with evidence beyond reasonable doubt and the judgement is based in the strength of evidence presented. In civil procedure, the burden of proof lies with the plantiff but its upon the court to determine and decide based on satisfaction.
 
huyu dogo ni mjinga ajaui data watu tunazo kwa hiyo ameamua kukana mali zake'? Kwa hyo kituo cha mafuta kilichopo mahakama ya ndizi likeoil tukichukue wananchi kwa sababu ni kodi zetu ameiba amefungua kituo cha mafuta, awezi kuwa tajiri wakati watanzania wanateseka na maisha
 
Bila shaka huyu ni Riz1 mwenyewe. Mambo vipi Riz1, si bora uende mahakamani kama ulivyobeep?
Ndiye haswaa!
Hilo povu si bure!...kwa kawaida mwizi utamjua tu, anakosa balance ya maneno na kuishia kubwata na kutukana tu!
This is the very Ritz 1 to whom our rage befalls!
 
Dogo anaishi "kimjini mjini" na kwa bahati mbaya alisahau kulimaliza hili suala 'kimjini' pia akakimbilia media.ITAFAHAMIKA TU!
 
Nimesoma Extractive IndustryTransparent Initiative Report wandugu mnaojua kuweka thread embu jaribuni kuingia kwenye hii web alafu tafuteni Tz Report. Yaani wawekezaji kwenye madini wamelipa Tz 84.4 million USD Tanzania wao wameripoti kupokea 48.3 million USD mwaka 2008/2009. Where is the money! Makampuni ya madini yameona bora yawe wazi kwani yanaonekana hayana mchango kwa nchi husika kumbe ela wanazolipa zinakokwenda hazijulikani haziko kwenye vitabu vy serikali. Hii ni report ya kwanza kwa Tz wenzetu Ghana wamesharipoti for six years now.

Utaratibu wa EITI ni kuwa mining companies zinariport what they have paid to host government na Host government inaripoti ilichopokea toka Mining companies. Na imesaidia uwajibikaji kwa nchi nyingi including Chad upande wa mafuta.

Lakini wao hawamwajibishi mtu, ila wanaweka mambo adharani wananchi ndio waamuzi.

http://eiti.org/news-events/tanzania-discloses-mining-revenues-first-eiti-report
 
huyu dogo ni mjinga ajaui data watu tunazo kwa hiyo ameamua kukana mali zake'? Kwa hyo kituo cha mafuta kilichopo mahakama ya ndizi likeoil tukichukue wananchi kwa sababu ni kodi zetu ameiba amefungua kituo cha mafuta, awezi kuwa tajiri wakati watanzania wanateseka na maisha

ooh...!!kumbe ana kituo cha mafuta..hivi ni kituo ama kisima?
Hicho kituo kinatumia teknolojia gani,nuclear?maana unaongea kama ni ajabu sana mtu kuwa na kituo cha mafuta.
Kwani viko vingapi?.vina thamani gani?.
Na sheria ipi inamzuia dogo kuwa na kituo cha mafuta?
 
swahiba... the only danger naiona hapa ni arrogance ya dogo while there are only 4 year left kwa baba kulinda familia, if it was me, i would be very careful with what i say to anyone

Tanzania iko kwenye mapito makali sana na kauli yoyote ile ni muhimu sana hasa ukiwa kwenye limelight

Nina story ya mtoto wa waziri wa siera leone ambaye ni rafiki yangu akisimulia yaliyomtokea, unaweza kupata kichaa... yeye amekimbilia UK

mlio karibu, mshaurini dogo akae kimya au hata asijibu chochote kwa waandishi, silence can be the best noise one can make

dogo ameshanasa kwenye mtego wa Mtikila na Slaa.
 
Huwa najiuliza hivi watu wengi ni kwanini wanashindwa kucompute a very simple problem, yaani mnakuja humu kumtetea ridh1 wakati hali mkijua. .nadhani hamjui kutokana na kuto study au kufikiri jinsi watu walivyo lishadadia ili swala, kibaya zaidi mnakuja kwa wakati mmoja alafu the same language mnatumia wakati kwakufanya hivyo mnazidi kupandisha hasira za watu na kujenga majibizano kwahiyo mada inakuwa kubwa na kunoga acheni ushamba mtu hawezi kutukana mara mbili kwani ridh1 peke yake ndo wakwanza kushkiwa kidedea. Acheni wamseme na yeye ajifunze next time awe makini ktk kutoa kauli zake unajua si kila mtu ni mkamilifu yeye alipaswa askilizie tu mbona mambo ya kawaida tu, kozi ukiangalia sana na chuki za watu pia zina changia kutoa maneno makali hvyo ichunieni thread itaisha taratibu sio muanze kujenga hoja humu na majibizano sio vizuri .
 
. hujasema kitu bado hapo
 
Nimesoma Extractive IndustryTransparent Initiative Report wandugu mnaojua kuweka thread embu jaribuni kuingia kwenye hii web alafu tafuteni Tz Report. Yaani wawekezaji kwenye madini wamelipa Tz 84.4 million USD Tanzania wao wameripoti kupokea 48.3 million USD mwaka 2008/2009. Where is the money! Makampuni ya madini yameona bora yawe wazi kwani yanaonekana hayana mchango kwa nchi husika kumbe ela wanazolipa zinakokwenda hazijulikani haziko kwenye vitabu vy serikali. Hii ni report ya kwanza kwa Tz wenzetu Ghana wamesharipoti for six years now.

Utaratibu wa EITI ni kuwa mining companies zinariport what they have paid to host government na Host government inaripoti ilichopokea toka Mining companies. Na imesaidia uwajibikaji kwa nchi nyingi including Chad upande wa mafuta.

Lakini wao hawamwajibishi mtu, ila wanaweka mambo adharani wananchi ndio waamuzi.

Tanzania discloses mining revenues in first EITI report | Extractive Industries Transparency Initiative
wewe umeongea kitu,sio hawa washabiki wa kisiasa wanabwabwaja tu
 
ooh...!!kumbe ana kituo cha mafuta..hivi ni kituo ama kisima?
Hicho kituo kinatumia teknolojia gani,nuclear?maana unaongea kama ni ajabu sana mtu kuwa na kituo cha mafuta.
Kwani viko vingapi?.vina thamani gani?.
Na sheria ipi inamzuia dogo kuwa na kituo cha mafuta?
shangaa na wewe watanzania walivyo na choyo,idea za kijamaa ndo zimetujaa,ndo mana watu hawaishi kuoneana vijicho,roho mbaya,mtu akinunua gari fisadi,wabongo bana
 
Nimesoma Extractive IndustryTransparent Initiative Report wandugu mnaojua kuweka thread embu jaribuni kuingia kwenye hii web alafu tafuteni Tz Report. Yaani wawekezaji kwenye madini wamelipa Tz 84.4 million USD Tanzania wao wameripoti kupokea 48.3 million USD mwaka 2008/2009. Where is the money! Makampuni ya madini yameona bora yawe wazi kwani yanaonekana hayana mchango kwa nchi husika kumbe ela wanazolipa zinakokwenda hazijulikani haziko kwenye vitabu vy serikali. Hii ni report ya kwanza kwa Tz wenzetu Ghana wamesharipoti for six years now.

Utaratibu wa EITI ni kuwa mining companies zinariport what they have paid to host government na Host government inaripoti ilichopokea toka Mining companies. Na imesaidia uwajibikaji kwa nchi nyingi including Chad upande wa mafuta.

Lakini wao hawamwajibishi mtu, ila wanaweka mambo adharani wananchi ndio waamuzi.

Tanzania discloses mining revenues in first EITI report | Extractive Industries Transparency Initiative

thanx nyumba kubwa, hii yahitaji thread kabisa. So sad bora mining industries wawe wawazi tujue nini ni nini, haya serikali ina la kusema? Mwaka huu tutajua mengi.
 
Siasa bwana,
Dr. Slaa na Mch Mtikila walijua dogo hajisumbui kufikiri, walijia atakurupuka tu, kama ilivyo kwa serikali ya mdingi.
Kwa sasa asipotinga mahakamani ni thibitisho ya kwamba ni fisadi.
Turudi nyuma kidogo, hivi babake HAKUMPA USHAURI!!!!!!
 
Kwani nyie mmesahau kuwa hii ni familia ya AHADI ZISIZOTIMIA? Baba alitoa ahadi ya maisha bora kwa kila M-TZ kwani imetimia? Miaka mitano imepita na bado mingine mitano itapita bila ahadi kutimia.
 
Jamani muoneeni huruma huyu mtoto hajui atendalo, wamezoea kula kodi za wtz na ana uhakika wa kupokea kijiti ktk uongozi, kwa hiyo na yeye anaandaliwa kuwa fulani miaka ijayo,ila huu ndo mwisho wa kulipana fadhila kwa kupeana uongozi.TRUE FREEDOM IS COMING VERY SOON.Sijui watakimbilia wapi na tutawasaka dunia nzima hawawezi kutufanya wtz wote hatuna akili.
 
Kumbe sasa nimegundua kwa nini familia nzima ilichangamkia kampeni za "Urahisi" wa Mzee wa kuchakachua a.k.a. Dr. wa kubumba wa chama cha Magamba! Kumbe walikuwa wakiulinda ulaji wa familia na si uchungu wa nchi.
Wana muda wa miaka isiozidi 4 tu ya kulinda mali zao za wizi. Baada ya hapo yatawakuta yaliyomkuta Mubaraka wa Misri ambapo wote baba na watoto wake wananyea debe
 
Ufisadi mwingine huu hapa wa ridhiwani, yale madawa ya kulevya yanayokamatwa mara kwa mara, imebainika yakuwa ridhiwani na aliyekuwa mgombea ubunge jimbo la kawe kwa tiketi ya ccm ndiyo mawakala wa kuu wa kuuza mihadarati hiyo, kwani mpaka leo hii serikali haijawahi kuonyesha juu ya uchomaji wa moto wa madawa hayo wala kusema ni kiasi gani walichohifadhi mpaka sasa. Ridhiwani kuna kila sababu kuchunguzwa kwa hili.
 
Back
Top Bottom