Mkuu A suspect remains innocent until proven guilty hiyo ni key principal in criminal code popote duniani. Hii sio kesi ya criminal bali ni civil lawsuit hivyo kama yeye ameharibiwa reputation yake ni jukumu lake aende mahakamani kuprove his innocence. Kumbuka kikubwa alichokidai Rz1 ni kuwa yeye ametuhumiwa Billionea wakati ni mtu wa kawaida anayeishi kimjini mjini. Na vile aliomba aombwe radhi ama sivyo ataenda mahakamani. Kama akina Dr Slaa wangeliomba radhi ingelikula kwao (yaani Dr Slaa na Mtikila) but kwakuwa muda umepita sasa atimize lile alilokusudia venginevyo hakuna kitu hapo.
Umezungumzia burden of proof- kuna kesi moja in the Supreme court ilisema hivi ruling yake :-
" Nonetheless, "[a]bsent some reason to believe that Congress intended otherwise, therefore, [the Supreme Court] will conclude that the burden of persuasion lies where it usually falls, upon the party seeking relief."
In short the burden of proof lies upon the party that is seeking a relief ambapo katika ya Dr Slaa, Mtikila na Rz1 ni nani aliyelalamika kuwa amedhurika na tuhuma hizo??? Nadhani jibu unalo tayari.