Ridhiwani Kikwete aalikwa mkutano mkubwa wa vyama vya siasa China

Huyu naye alikuwa ana jiona sana anawatishia watu kwenye utawala wa baba yake. Ukigombana naye anakutishia kukufukuza kazi wafanyakazi wengi wameenda kuomba msamaha kukubali ya ishe.

Mpaka Makonda akafikia hatua ya kumfungia kamba za viatu ..!
 


Bandari ya Bagamoyo tulishasema China watahonga kila mtu ili wapate hii base yao ya kijeshi
 
Povu limekutoka jingi.....
lazima utakuwa mnufaika ww
 
Ndiyo mwana nenda Mtoto wa nyoka ni nyoka tuko nyuma yako! kijana walikubania hatimaye wameachia usiogope wanga, Nenda mbunge wa chalinze bana!! lkn hallow wee jamaa na Baba yako ni maraifiki sana! endelea ivo ivo!!

Ridhiwani unakumbuka siku ileeee kwa sherehe!! ''Baba Bongo fleva wanataka kupiga picha na wewe! daaa! na wewe familia yako uifanye ivoivo! km mzee kikwete! dadadekii!
 
Ina maana katika watanzania wengi mitaani Mimi Simo?! Kwani ndio nakusikia wewe leo
 


Nimemkumbuka sana Jasonbourne wa jamiiforums enzi zilee
 
Mchango wako ungeanzia jimbo la Chalinze mkuu na sio kubwabwaja tu kwenye vyombo vya habari.
 
Kuna kitu sio bure, Chinese are the worst ever to cooperate with. Mama yetu Samia, kuwa machoo machoooo machooo hasa hawa wachina na Serikali awamu ya 4.
 
Mkuu sijui watu huwana wanafikilia nini kabla ya kukaa nyuma keyboard na ku-type. leo hii Rizione amekuwa presidential material, kweli hii ni TZ ambayo watu wake wanakuwa kama wamechanganyikiwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…