Ridhiwan Kikwete: Mimi si fisadi

Ana mamlaka ya kukemea kweli?...ukimkemea mtu maana yake akirudi unamwadhibu...sasa huyu RIZ-ONE nguvu hizo anazo?
 
Nimefurahi kuona kijana wa kisilamu akiwafikishia waisilamu wenziwe ujumbe huu.

Wednesday, September 22, 2010

Ridhiwan Kikwete Akemea Udini....

Mjumbe wa Kamati ya Utekelezaji ya Baraza Kuu la Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Taifa, Ridhiwani Kikwete, amekemea
tabia ya baadhi waumini wa dini ya kiislamu kudhihaki dini zingine
kwa kuwaita makafiri baadhi ya wagombea katika kampeni za Uchaguzi Mkuu zinazoendelea nchini.Ridhiwani,alikemea tabia hiyo katika mkutano wa kampeni juzi mjiniTunduru, baada ya kupata taarifa kuwa kuna baadhi ya viongozi wa
Chama cha Wananchi (CUF) wanatumia udini katika mikutano yao ya
kampeni kwa kuwaambia wananchi kuwa wasimchague Mgombea ubunge wa
Jimbo la Tunduru Kaskazini kupitia Chama Cha Mapinguzi (CCM),Injinia Ramo Makani kwa kumuita kafiri, kwa vile yeye ni mkristo.

Hana mamlaka ni utaahira wake ndiyo unamsukuma kusema hayo.nASHANGAA NI MWANASHERIA GANI ASIYEJUA MIPAKA YA UTAWALA.Arudi primari akafundishwe tena na yule mama aliyemtembelea juzi mwalimu wake
 
Ana mamlaka ya kukemea kweli?...ukimkemea mtu maana yake akirudi unamwadhibu...sasa huyu RIZ-ONE nguvu hizo anazo?

.....:violin:ACHA KIJANA AJIMWAGE BWANA, BABA AMEMTUMA AKAMPIGIE KAMPENI KUSINI.
NDIYO MAMLAKA ANAYO YA KUKEMEA KWANI WEWE HUJUI KUWA RAIS JK ,
URAISI WAKE UNA UBIA NA FAMILIA YAKE.
 
Nimefurahi kuona kijana wa kisilamu akiwafikishia waisilamu wenziwe ujumbe huu.

Wednesday, September 22, 2010

Ridhiwan Kikwete Akemea Udini....

Mjumbe wa Kamati ya Utekelezaji ya Baraza Kuu la Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Taifa, Ridhiwani Kikwete, amekemea
tabia ya baadhi waumini wa dini ya kiislamu kudhihaki dini zingine
kwa kuwaita makafiri baadhi ya wagombea katika kampeni za Uchaguzi Mkuu zinazoendelea nchini.Ridhiwani,alikemea tabia hiyo katika mkutano wa kampeni juzi mjiniTunduru, baada ya kupata taarifa kuwa kuna baadhi ya viongozi wa
Chama cha Wananchi (CUF) wanatumia udini katika mikutano yao ya
kampeni kwa kuwaambia wananchi kuwa wasimchague Mgombea ubunge wa
Jimbo la Tunduru Kaskazini kupitia Chama Cha Mapinguzi (CCM),Injinia Ramo Makani kwa kumuita kafiri, kwa vile yeye ni mkristo
.

Kama haya ameyasema kwa utashi wake basi kijana anaunafuu katika kufikiri kuliko Mwenyekiti wa CCM taifa!
 
samahni lkn usinifungie, hapa imekuja maada ya udini, kwa hivyuo ninahaki ya kuijadili kama unavyoijadili wewe, usinifungie . sura hiyo inazungumzia nhihd. haya pia yapo ktk agano la kale. sio jipya. lile liloshuka kwa mweyewe Yesu kristo. mtoto wa maria karne zilizopita

Kuna siku JKN alisema, kuna watu wanasema ntapambana na Rushwa, lakini ukumuangalia usoni unaona kabisa kuwa anazuga tu.
 
Kama mwana CCM anahaki ya kukemea....!! nadhani hata mimi pia nina haki hiyo
 
Ana mamlaka ya kukemea kweli?...ukimkemea mtu maana yake akirudi unamwadhibu...sasa huyu RIZ-ONE nguvu hizo anazo?

Mi nadhani ndugu kukemea uovu kwenye jamii ni jukumu la kila mwenye busara, sio lazima uwe na uwezo wa kumwadhibu mkosaji. Mfano mzuri ni Dr. Slaa anakemea ufisadi jamii inamuelewa ijapokuwa labda sio jukumu lake kuwapeleka mahakamani. Kwa hiyo alichofanya Ridhiwani ni kitu chema kwenye jamii yetu.
 
Kama angeweza kumkemea babake aache kuendeleza umaskini wa watanzania walah ningemuunga mkono au labda hajui kwamba umaskini ni chanzo cha kuleta udini. Akawaulize wanaijeria wana jibu zuri. Pia amkemee mamake, first lady kuacha kutumia mali za uma hovyo na tena ajikemee mwenyewe kwa kutumia cheo cha babake vibaya baada ya hapo aje jukwaani akemee udini. Ila mimi pia siungi mkono udini hata kidogo.
 
MBONA YEYE NA baba yake wanaendekeza Undugulization kwenye chama, mbona wao wanapendeleana vyeo, kajamaa ni kajinga sana.
 
Huyu dogo angetakiwa aachane na mambo ya siasa na kujifunza maisha kama mfanya kazi wa kawaida. Baba yake alianzia mbali na ana uzoefu wa maisha. Kesho na kesho kutwa atakuja raisi mwingine hivyo ni bora ujifunze maisha kwani huu ni wakati wa mpito tu.
 
Back
Top Bottom