Zomba wewe ni ndugu na Zombe wa polisi aliyeamuru wadanganyika wa Mahenge wauuwawe na kuporwa madini na fedha yao??Asalaam Aleykum au kwa kutafsiri, amani iwe juu yenu.
Nimesoma mengi na mpaka sasa siono chochote cha maana kilichosemwa humu au kuamuliwa humu bali ni kama kawaida yetu wabongo, kuponda tuu. Hivi nyinyi mlikuwa wapi wakati wenzenu wanagawana hivi vyeo?
mmmekazana Tanesco, dowans, serikali, sijui mkataba mbovu, sijui serikali mbovu, sijui nini, sijui nini? sasa mnachotaka hasa ni nini? siwaelewi kabisaaaaaa! siwaelewi, hivi ni ccm ndio mbovu? ni serikali ya ccm? ni nani hasa? wapinzani ndio bora? yaani hamjuwi au hamtaki kusema kweli kuwa hata hivyo vyama vya upinzani vyote vilianzishwa na system na mpaka sasa vinaendeshwa na system? kama mnajuwa mnacho lalamika ni nini? kama hamjuwi basi muelewe hivyo vyama vya siasa vyote ni mali ya system. Mtanzania hatokomboka kwa kelele zenu zisizokuwa na faida? Jee ni watanzania wangapi wanaoingia kwenye JF au kwa uchache tuu wanaoingia mtandaoni? hebu tufanye ya maana. Tutafute njia za kuongeza elimu kwa watanzania, kwani ujinga tuliowachiwa nanyerere ndio ulitufikisha kwenye yote haya. Anaetaka kuelwa ataelewa na asietaka hatoelewa.
watumie kwenye email zao kabisa; otherwise nafikiri Zitto atawapatia
kite munganga, sina undugu wala udugu na jambazi lile, au wewe hujui system ni nini?Zomba wewe ni ndugu na Zombe wa polisi aliyeamuru wadanganyika wa Mahenge wauuwawe na kuporwa madini na fedha yao??