Richmond + TANESCO: The complete deal | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Richmond + TANESCO: The complete deal

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Invisible, Oct 23, 2007.

 1. Invisible

  Invisible Admin Staff Member

  #1
  Oct 23, 2007
  Joined: Feb 11, 2006
  Messages: 9,091
  Likes Received: 238
  Trophy Points: 160
  Nimeiokoteza mahali... This' a contract that was signed between TANESCO and RICHMOND LLC ambao sasa wameshaamua kuurusha mpira kwenda DOWANS lakini 'kisanii'.

  Chukua nakala uweze kunielewa

  =================
  ADDED:

  Msaada uliotolewa na JF kwa kamati ya kina Mwakyembe - Exclusive files over Richmond

  Riport ya kamati ya kina Mwakyembe hii hapa - REPORT YA KAMATI
   

  Attached Files:

 2. K

  Keil JF-Expert Member

  #2
  Oct 23, 2007
  Joined: Jul 2, 2007
  Messages: 2,214
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Asante sana Admin Mungu akubariki na akuondolee hofu ya kuogopa kutuwekea ma-songi ya mafisadi. Midundo na mirindimo ya ma-songi unayotuwekea yanakuna mpaka ku-moyo! Ninabaki kutoa machozi ya uchungu nikikumbuka machungu ya hizo nyimbo!!!!

  Big Up Bro!!
   
 3. Invisible

  Invisible Admin Staff Member

  #3
  Oct 23, 2007
  Joined: Feb 11, 2006
  Messages: 9,091
  Likes Received: 238
  Trophy Points: 160
  Anytime mate. Muhimu ni mtu kuwa na nakala yake mapema.

  Stay safe
   
 4. FairPlayer

  FairPlayer JF-Expert Member

  #4
  Oct 23, 2007
  Joined: Feb 27, 2006
  Messages: 4,166
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Safi sana Invisible, huwa unaenda huku hawakuoni nini teh teh teh teh ndio maana unayakwapua!
   
 5. FairPlayer

  FairPlayer JF-Expert Member

  #5
  Oct 23, 2007
  Joined: Feb 27, 2006
  Messages: 4,166
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Nimependa hii kwenye ile sehemu ya kuangalia

  "Usihangaike kujua nani kaleta, hangaika kuangalia hali halisi na kuchambua maoni ya watanzania"

  You have made my day!
   
 6. Invisible

  Invisible Admin Staff Member

  #6
  Oct 23, 2007
  Joined: Feb 11, 2006
  Messages: 9,091
  Likes Received: 238
  Trophy Points: 160
  Hahaha, nah... Hapana mkuu. Am just a robot! Na naenda ki-upepo tu
   
 7. Halisi

  Halisi JF-Expert Member

  #7
  Oct 23, 2007
  Joined: Jan 16, 2007
  Messages: 2,810
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  Invisible unatutisha... Naona watu wa serikali wamechoka sasa.... Wameona nchi imeharibika wameamua kuweka mambo hadharani
   
 8. Invisible

  Invisible Admin Staff Member

  #8
  Oct 23, 2007
  Joined: Feb 11, 2006
  Messages: 9,091
  Likes Received: 238
  Trophy Points: 160
  Mkuu si kama natishia mtu, ila ujue matokeo ya kuchoka huwa ndo haya. Ni wajibu wa serikali kuhakikisha inadhibiti mikataba isiyoeleweka na kama inawezekana isisainiwe mapema sana.

  Ukweli utajulikana na daima utatuweka huru. Just watching...
   
 9. Halisi

  Halisi JF-Expert Member

  #9
  Oct 23, 2007
  Joined: Jan 16, 2007
  Messages: 2,810
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  Ndio maana hawataki uwazi katika rasilimali zetu

  http://www.thisday.co.tz/News/2867.html

  Sasa tuendelee kuwalazimisha;
   
 10. Shalom

  Shalom JF-Expert Member

  #10
  Oct 23, 2007
  Joined: Jun 17, 2007
  Messages: 1,315
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  kazi nzuri kwa wote walioshiriki kuipenda zaidi nchi yao kuliko wenyewe. Mungu awabariki na kuwalinda. ngoja tuanze kuichunguiza sasa
   
 11. Gembe

  Gembe JF-Expert Member

  #11
  Oct 23, 2007
  Joined: Sep 25, 2007
  Messages: 2,505
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 135
  Invisible,
  Asante kwa kuwasilisha
   
 12. Kinyau

  Kinyau JF-Expert Member

  #12
  Oct 23, 2007
  Joined: Nov 24, 2006
  Messages: 794
  Likes Received: 109
  Trophy Points: 60
  invisible na wengine ( najua kuna wengi wamefanikisha huu muziki kuwepo) hongereni kuuweka hapa. kilichobaki tu-udigest huku tukisubiri vibao vingine vikali zaidi.
   
 13. Gembe

  Gembe JF-Expert Member

  #13
  Oct 23, 2007
  Joined: Sep 25, 2007
  Messages: 2,505
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 135
  mkataba kwa niaba ya serikali ulisainiwa nwa
  Mr. Singi R. Madata
  Assistant Commissioner
  Debt Management Department
  Ministry of Finance.

  sheria inasemaje?
   
 14. Gembe

  Gembe JF-Expert Member

  #14
  Oct 23, 2007
  Joined: Sep 25, 2007
  Messages: 2,505
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 135
  hii ni picha ya mweka sahihi wa mkataba wa RDC.
   

  Attached Files:

 15. K

  KakindoMaster JF-Expert Member

  #15
  Oct 23, 2007
  Joined: Dec 5, 2006
  Messages: 1,349
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  thanks Sir
   
 16. M

  Mgumu Senior Member

  #16
  Oct 23, 2007
  Joined: Nov 3, 2006
  Messages: 112
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ubarikiwe sanaaa Invisible

  Tanzania bila mafisadi inawezekana!
   
 17. Halisi

  Halisi JF-Expert Member

  #17
  Oct 23, 2007
  Joined: Jan 16, 2007
  Messages: 2,810
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
 18. S

  S. S. Phares JF-Expert Member

  #18
  Oct 23, 2007
  Joined: Nov 27, 2006
  Messages: 2,141
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  And the Grammy goes to "Invisibe"...Hii ni yet another Hot Single from Superstar Artist "Asiyeonekana"....well done.
   
 19. S

  S. S. Phares JF-Expert Member

  #19
  Oct 23, 2007
  Joined: Nov 27, 2006
  Messages: 2,141
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Sitashangaa serikali ikija kusema hii mikataba ni feki sio halisi ambayo watumishi wake walisaini
   
 20. Chakaza

  Chakaza JF-Expert Member

  #20
  Oct 23, 2007
  Joined: Mar 10, 2007
  Messages: 23,686
  Likes Received: 21,951
  Trophy Points: 280
  Invisible,mziki wako mnene mkuu wangu,bado kidogo utaingia kwenye orodha ya magwiji kama hayati Bob Marley (RIP)
   
Loading...