Yebo yebo, hilo sio tatizo. Watakapokuja kutuambia hii mikataba ni feki, itabidi watuonyeshe ya kwelikweli. Huko ndiko tunakoelekea.Sitashangaa serikali ikija kusema hii mikataba ni feki sio halisi ambayo watumishi wake walisaini

Yebo yebo, hilo sio tatizo. Watakapokuja kutuambia hii mikataba ni feki, itabidi watuonyeshe ya kwelikweli. Huko ndiko tunakoelekea.
invisible.....
mie nilikuwa na idea moja......unajua awamu hii tumeona nyeti nyingi za seriakli zinavuja ovyoovyo sana,so dcuments kama hizi jamani bora save ktk ur inbox ya yahoo/google/hotmail etc manake nafikiri siku zinazokuja huko baadae ukifika airport na laptop yako unaambiwa iwashe hapo wakuu wanaangalia una nn na nani lkn kama umeweka ktk mails zako hata wafanye nini hawaipati au unaonaje mheshimiwa admin?

mie nina mikataba yote..namba yangu ni 0754 77 77 77,waambie hata usalama,
am tired with this bullshit kabisaaaaa,bora kuwa Mungiki tu

Haya baada ya pongezi zote, tunaomba uchambuzi!!! kifungu kwa kifungu!!!
Maneno si ndo hayo! Hapo umegusa patamu. Tuanze kutoa hoja wale ambao tumefanikiwa kuinyaka hii kitu. Binafsi nimesoma yote kwanza ndipo nikaamua wacha nijiweke mkao wa kuona wanazuoni wana mawazo gani. Tena minutes of agreement ndizo nimependa zaidi. Mwafrika wa Kike wapi mama?
watu mnacheza muziki peke yenu bila patna?
Wewe nakutafutia partner mwenye urefu na size kama yako. Si vizuri kucheza muziki na partner ambae muna tofauti ya maumbo big tyme!
BTW..... Mwanakijiji, wakati ukisubiria partner just clap your hands to Invisible kwa kazi nzuri anayofanya!
Ina maana Mwanakijiji ni 5'2....kwikwikwiiiii
halafu kule kwenye hi5 anatuyeyusha na kutuambia ni 5'11...