Revenge Inauma Usipime...!

Revenge Inauma Usipime...!

...hata hivyo huyo alikuwa ni mwanaume wa kipekee sana....!i mean waiting for that much longer alafu alichoona kizuri kwake ni 'revenge'...!

...most of men are so IMPATIENT!.....hasa hasa mimi...i mean yani mimi teamo mimi 'mufalume ya amani'...she does it leo she goes to 'hell' in next ten mins...ikishindikana basi i will be the one who will go to 'hell' in the same next ten mins....

yaaani that much clear yani!
 
Now you are talking..................

(Hiyo color umeanza lini nawe kuweka mbwembwe zote hizo??)
 
ha ha ah ah!....

umeanza....

Please please mufalme...naomba sasa usimalizie eti kwa kuwa DA kalianzisha.....

Hivi, bado mnaamini kuwa huyo jamaa ni mwanamume kweli? Na kama labda ni mwanamume, iko muzima sana chini na juu??

Bado nahitaji msaada wa machine za kupumulie ili nimwelewe huyo dogo!

Babu DC!!
 
Dada dena
kama ni best yako mpe hii trick lakini mwambie afanye kweli aone kama atarudia ....nakwambia mi nilishawahi kumshauri mwenzangu mkewe aliependana nae sana sana tulikuwa zaidi ya familia
na amesoma tena nje hana adabu yule binti hata kama uko hapa unanijua dn care...aliporudi akamwambia mwenzake waamue kuoana walipooana mwaya binti akaanza uchakaramu wiki mbili mara arudi amelewa maraa anze kuvuta sigara mbaya akaanza kurudi usiku akitumia umaalaya wa kakaake yaani alikuwa akienda na bwana zake alafu wakati wa kurudi anakutana na kaka yake na mie kwangu nikaona wote malaya tu ati anamrudisha dada saa nane..pambafuuuuuuuu iaka wa kama kamchezo nikamwambia unajua nini siku moja atarudi kesho yake...kweli wiki 3 akaaga anaelekea kwenye harusi iringa ....masikini wa mungu yule dada usiku wa harusi niko pale boko wenye kujua boko njia ya kuelekea kwa mkulu jamani pale ikulue amekwa tu na mungu kwa muda ale mema ya nchi then arejee kwao bagamoyo....kuna bar njiani nzuri jumamosi wanapika nyama choma nzuri sana sana..usiku namwona anaingia na kaka kijana mmoja braza men dunia ndeffuu nyiee...hee saa mbili nanusu jamaa ananipigia kaka ndoa imenishinda dadako sijui anashugulikiwa wapi mwaya kaaga anaenda iringa kiliniuma sana usiku ule nkaomba namba ya mkewe nikachukua line nikaanza kuchat nae alishtuka sana gafula nikaona anamsukuma jamaa waanze...wakaondoka niliporui hme kesho yake nikamwambia jamaa unajua nini kaka...una binti wa kichaga mzuri sana sana ..nikatania kama nisingewahi kuoa huyu dada wa nyumban angekuwa wangu...nikamwambia kaka vuta hii...nikamwaga radhi mkeo alikuwa boko na hizi ni msg zake nilichukua line nikaanza kuchat nae kama namjua akuamini .....leo kamzalia binti wawili na yule mshenzi yuko mjini anahangaika na mabwana kila anavuta anakimbia anavuta sigaa kama mwehu so maisha ni weweunavyotaka
 
Huu mseto sijauelewa.
 
mimi nadhani hii story sijaielewa.... yaani MAMA ndo alikuwa anarudi asubuhi nyumbani kwa hiyo BABA ndo ana-revenge? hii kitu ipo kweli? baba kuvumilia miaka 2 huu upuuzi?
wonders shall never end!
 
mimi nadhani hii story sijaielewa.... yaani MAMA ndo alikuwa anarudi asubuhi nyumbani kwa hiyo BABA ndo ana-revenge? hii kitu ipo kweli? baba kuvumilia miaka 2 huu upuuzi?
wonders shall never end![/QUOTE]

na bado kuna wakati alikuwa analia kabisa huyu mwanaume,yaani kuna watu wana bahati zao,lol, wote wawili nimeshindwa niwaweke kwenye kundi gani wallah, mie naona miujiza tu hapa.
 
rafiki, mimi hii miujiza nilidhani peke yangu labda, nikajisemea kumbe ushamba sometimes ni mzigo, lol!
baba mzima unalilia mwanamke ambaye kila siku analala nje, what is so special about that woman? for sure angekuwa mume wangu, mimi ndo ningemtoroka maana hafai kuwa mume
 
Please please mufalme...naomba sasa usimalizie eti kwa kuwa DA kalianzisha.....

Hivi, bado mnaamini kuwa huyo jamaa ni mwanamume kweli? Na kama labda ni mwanamume, iko muzima sana chini na juu??

Bado nahitaji msaada wa machine za kupumulie ili nimwelewe huyo dogo!

Babu DC!!
babu angalau umenifanya nisione kama nipo insane.................. mume wa hivyo simtaki kwa kweli, hanifai kuwa mume wala kuwa baba wa wanangu
 
rafiki, mimi hii miujiza nilidhani peke yangu labda, nikajisemea kumbe ushamba sometimes ni mzigo, lol!
baba mzima unalilia mwanamke ambaye kila siku analala nje, what is so special about that woman? for sure angekuwa mume wangu, mimi ndo ningemtoroka maana hafai kuwa mume

mie ndio hanifai kabisaaaa mana ningemtesa huyo mama cha mtoto, pweeehh kwa ninavyojijua yaani nadhani ningempa wendawazimu, khaaa wacha tu msukuma aburuzane na kichaa wake aisee.
 
hiyo like si kwamba umenena vyema bali ni kwasababu umegusa jambo ambalo nataka kukufunza wewe na wengine.

katika maisha kamwe usijaribu kusikiliza shuhuda za kushindwa kwa masikio ya ndani. yasikie haya kwa maskio ya nje tena ya nyama tu. kamwe usijikompee na aliyeshindwa bali jifunze jambo kupitia kwake basi.

kwa mfano DA ametuonyesha jinsi ambavyo maisha yasiyokuwa na maelewanoa ya kinidhamu yanavyoweza kuleta athari na hili wewe lipokee kma funzo ila si kama ndivyo alivyo mkeo.

mpende muheshimu mjali na siku zote sema na mkeo kwa habari ya amani na furaha ya ndoa yenu. ona mkeo ni chomnbo cha thamani sana ambacho hakuna wa kulinganisha nacho. ona kwamba ndipo furaha na amani yako ilipo tena ndipo unapoondolea msongo na stress za kazini. ona ndoa yako ni ya thamani sana na kweli umepata kitu chema tena umejipatia kibali machoni pa Mungu.
shostilo mimi penda wewe!yani tunafanana mawazo ile mbaya!
 
mie ndio hanifai kabisaaaa mana ningemtesa huyo mama cha mtoto, pweeehh kwa ninavyojijua yaani nadhani ningempa wendawazimu, khaaa wacha tu msukuma aburuzane na kichaa wake aisee.
unajua ni raha kujua ndani kuna baba, mlinzi,.......... sasa kama baba analialia sijui wengine inakuwaje? tena anateswa na mama kwa kulala nje?
 
sawa sawa kabisa, lakini na huyo mama anawafundisha nini watoto wake jamani, watoto si watamuona baba yao kama b.w.e.g.e. vile.
si ndo hapo? labda kama hawana watoto yet, maana kama una watoto utaendaje kulala nje unamwacha baba ndani na watoto? ila tumepishana labda kuna wanaofanya hivyo, ila kwa kweli hiyo ni tabia chafu sana
 
babu angalau umenifanya nisione kama nipo insane.................. mume wa hivyo simtaki kwa kweli, hanifai kuwa mume wala kuwa baba wa wanangu

Haki ya nani nikisikia eti wewe FP umekubali jitu la namna hiyo likakuzalisha nakutoa dhamani kabisa...to me, you will be as good as nothing!!

Yaani hata kusikia kuwa umelivulia itakuwa kwangu ni ngumu kumesa!!

Anyway...dunia imejaa viumbe wa aina nyingi!!

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
Haki ya nani nikisikia eti wewe FP umekubali jitu la namna hiyo likakuzalisha nakutoa dhamani kabisa...to me, you will be as good as nothing!!

Yaani hata kusikia kuwa umelivulia itakuwa kwangu ni ngumu kumesa!!

Anyway...dunia imejaa viumbe wa aina nyingi!!

Babu DC!!
hii ni kweli kabisa, mdogo wangu aliyenifuatia alikataa kuolewa na mkaka mmoja ambaye alikuwa BF wake kwa muda fulani, kisa, kasema alikuwa mpole sana, yaani yule kaka hakuwa na say kabisa kwa mdogo wangu, kila kitu ok. sasa mdogo wangu akasema "sasa tukioana nani atakuwa baba nani mama?" akasema alikuwa anafaa kuwa BF siyo mume.
tulimshangaa sana, lakini kwa hii story nadhani alifanya jambo la maana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom