Ma ma aaaa wewewe kwani hiyo kitu yako ni photocopy machine????
hahahahahahah!@nyamayao bado nipo nipo sana,,,kwa kuwa naufahamu mziki wake nitaendelea kuwepo kuwepo zaidi
DENa umeniacha hoi sana
mie nilipanga mziki wake uwe wa papo kwa hapo jasho lilinitoka badala ya twist nilicheza charanga but ina raha yake aisee, sasa cjui hii kitu ni nini nilisema finito but natamani ka mwisho ila nikikumbuka mziki, mweeeh.
Sio kukuacha hoi kufanana hivyo na mwanao ndo nini???
Ha ha ha ha waogopa muziki weye?? Raha yake ni uingie ucheze ndo utaona raha ya mziki
Mimi visichana vimekwenda kwa baba yao mvulana copy right na mimi...kweli huna baridi
nafikiria zile purukushani za kula mihogo ya kuchoma na ndimu, miwa, peasi sio msimu but unazunguka kila mahali mradi kieleweke japo upate usingizi, khaaa, but za siku hizi sijui za kizungu, sijakutana na mdada mwenye mimba muda mrefu sana nikamuona ana udongo kwenye kabobo, pweehh
Duuuuuhhhhh,Hongera sana mkuu. Unaweza kwenda kokote hata kwenye viti virefu kifua mbele. Hajaibiwa mtu hapa!...eeeeer talking of shangaziiii.....well...yuko hivi..
Watu wengine kwa kulenga utadhani ni wanga!Ma ma aaaa wewewe kwani hiyo kitu yako ni photocopy machine????
Inakera sana ndugu yangu! Ni vigumu kuamini kama ni hadithi ya kweli.babu DC unaonesha kukereka mno na hii thread. hebu punguza munkari kidogo, wewe ni mzee wa busara.