Revenge Inauma Usipime...!

Revenge Inauma Usipime...!

huyu mama Si mzima Kiakilihahaha kwa wale wanaopenda kwenda kupiga ramli Labda mganga wake alimwambia mumeo hata ufanye nini hatofurukutasasa yamemrudi ..mpe pole sana na akiamka mwambia ujinga wake umemponza
 
Wengi mnashangaa kwa kuamini kuwa wanawake hawaanzi. Hili halinishangazi na niwaambieni ukweli, kwenye ndoa wanaume wengi ni wavumilivu (yaani wanawavumilia wake zao) kuliko wanawake wanavyowavumilia waume zao. Mwanaume unapopatwa na hayo ya mke kutoka na ukajua anatoka, ni vigumu sana kuliongelea nje. Mara nyingi watu wa nje wataona na kudhani mme ni zuzu au kalishwa kitu. Kumbe ni sawa tu na kobe kuinama - mume anakuwa anatunga sheria.

That experience is very good to test a man's patience. Wife battering nyingi zina msingi kwenye mambo kama haya! Watu wa nje wanakuwa hawajui, ila mara nyingi tendency ni kumhurumia anayepigwa!
 
FL1 I salute you on that blue
 
Hiyo blue you are very right!!!!!!!
 
Kaizer hajatoka bado upadates nitaleta jioni nikienda kumwona hosipital

Akipata fahamu tu mkono kwa mkono hadinkwa Chief. Na huyo mwanaume wake akalale kwa kitu kipyaa kama wiki ndo arudi. Kabila gani hao?
 
ni miaka miwili sasa tangu nimfahamu huyu rafiki yangu, jirani yangu, mwenyeji wangu nk......

Tumeishi vizuri yeye na familia yangu nami pia vivyo hivyo........... Tumekuwa kama ndugu

toka muda huo alikuwa na matatizo na mkewe (kama kawa matatizo katika familia hayakosi)

but ya huyu mama hata mimi yalikuwa yakinikera kiukweli mpaka majirani wengine ana tabia chafu

maana nikisema mbaya ni nafuu..............analala nje ya nyumba yake, anarudi asubuhi, hamshughulikii

mwanaume kwa lolote nguo ni housegirl ndo anafua, anapika inshort anafanya kila kitu...................

Jamaa mpaka akafikia analia mbele za watu (you can imagine) mwanaume analia mbele za watu (aibu tupu)

jamaa amevumilia akiendelea kumpenda mkewe hivyohivyo tu.............lakini sasa uzalendo umemshindaa......

Hivi majuzi katafuta mpango wa kando kalala huko huko two days hajarudi home simu kazima...................

Mama kachanganyikiwa mbaya sana ooohh huyu mwanaume malaya na maneno meengi yasokuwa na msingi

jamaa karudi jana around saa moja usiku hivi mwanamke kaenda kushitaki kwa chief jamaa kuitwa na kwenda akasema

ni kweli mimi nimepata mwanamke wa kuoa mwingine na huyu akitaka aendelee kuishi na mimi na ajue wako wawili au

aondoke zake .....................(nimeteseka zaidi ya two years sasa ni zamu yake)

huyu mama (jirani) kaanguka chini na kuzimia hivi napoandika tuko hospitali hajaamka mpaka sasa na mapigo ya moyo

yako juu mbaya sana.....................

Mkuki kwa nguruwe kwa binadamu mchungu.......................

My take: What goes around comes around..........

Da

wanaume bana vichwa vingine vinachelewa kufikiri ..sasa analala nje na mwanamke housgirl yuko ndani si angeanza na hgirl huko mbali kote kuna nini .....tena siku nyingine akiwa nyumbani unamuuliza mbona leo uondoki...allah nakwambia na kama mbegu za asilia azijaisha ntampandikiza binti hata kama ni mbaya najua ametoka kwa bwana alafu akajue mbele ya safari

nje koteee alikuwa anafwata nini mzizi uko ndani jamani..neema umelala nayoooo...matunda unaamka nayo nini ameenda kukifwata nje ...else hgirl ikifika usiku anaeuka hboy...lakini mpaka usiku ni yule yule loh m
 
Ha ha ha... @dena amsi ukiona hivyo ujue chapter closed. No more dramaz ndoa sasa itakuwa imara.
 
Akipata fahamu tu mkono kwa mkono hadinkwa Chief. Na huyo mwanaume wake akalale kwa kitu kipyaa kama wiki ndo arudi. Kabila gani hao?

Ha ha ha ha kabila lao walijua wewe kwani umesahau Kaizer???
 
kama huyo mama alimfanyia hivyo jamaa amemstahi alitakiwa atokomee huko huko ili akili zije kichwani na hao mahawala wake kama watamsaidia tena. maana wanafanya hivyo wakijua anayelea familia yupo akitoka nao wanajitoa ndio tabia za watu wahuni
 
wanaume bana vichwa vingine vinachelewa kufikiri ..sasa analala nje na mwanamke housgirl yuko ndani si angeanza na hgirl huko mbali kote kuna nini .....tena siku nyingine akiwa nyumbani unamuuliza mbona leo uondoki...allah nakwambia na kama mbegu za asilia azijaisha ntampandikiza binti hata kama ni mbaya najua ametoka kwa bwana alafu akajue mbele ya safari

nje koteee alikuwa anafwata nini mzizi uko ndani jamani..neema umelala nayoooo...matunda unaamka nayo nini ameenda kukifwata nje ...else hgirl ikifika usiku anaeuka hboy...lakini mpaka usiku ni yule yule loh m

Pdidy hiyo blue hiyo nimechekaje mie kha??!!!!
 
huyu mama anatakiwa apatiwe adabu maana alijiona yuko matawi ya juu kumbe ndio kwanza mwanaume alikuwa anamvutia pumzi tu na siyeye wapo wengi sana huwa wanajiona mashugamama kumbe bure kabisa
 
huyu mama anatakiwa apatiwe adabu maana alijiona yuko matawi ya juu kumbe ndio kwanza mwanaume alikuwa anamvutia pumzi tu na siyeye wapo wengi sana huwa wanajiona mashugamama kumbe bure kabisa

DA like this post
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom