Revenge Inauma Usipime...!

yaani mie hapo kwa mwanamke kulala nje ya nyumba yake bila maelezo/taarifa kwa mume wake ndipo paliponishangaza,huyo mwanaume kama ni uvumilivu wake umepitiliza kikomo, haiwezekani aisee.nimekumic my dearest..mzima wewe?

Ngoja tusubiri ila huu ugomvi ni wa muda kidogo sio wa leo

Usikute nae wakusingiziwa magume gume bana hayafai kuitwa binadamu

Ndugu zangu hapa kuna tatizo kubwa sana...Huyo mama alishajua kuwa anaishi na mwanamke mwenzake na ndiyo maana alifikia hatua ya kufanya hayo mambo ya hovyo!

Na pia kitendo cha huyo mtu anayeitwa mwanamume kutochukua hatua kinatia shaka zaidi...Eti limeishia kulia lia....kwani ni toto dogo kwamba likilia baba yake atakuja kuwachapa waliomchokoza?? HEBU ONA UJINGA WAKE HAPA....

Mie naamini huyo siyo mwanamue...na niko tayari jamaa akafanyiwe test inayoitwa karyotyping ili muone ukweli kuwa amebeba XX chromosomes badala ya XY tulizobeba wenzake!!

Babu DC!!
 
lazima tutilie mashaka uanaume wake aisee, khaaa wa hivyo hapana, kwangu hanogi kabisa, mwanaume aonyeshe uanaume wake atii.
 
ishia hapo hapo kakangu!
ndoa yangu ikifail haina maana yako itafail pia!
tengeneza ndoa yako jinsi unavyotaka iwe,ishi maisha yako ukiamini ndoa yako ni ya ushindi,makosa na udhaifu wa watu wengine si wako!
wewe ndiye unaamua uwe na ndoa ya aina gani
usijifunze kwa walioshindwa jifunze kwa walio shinda!
NDOA YAKO NI YA PEKEE! ipe thamani ya upekee huo!
uwe na amani na mkeo!furahia ndoa yako sasa na hata milele!
pokea changamoto za kindoa katika upekee wake sio kwa reference ya maisha ya watu!
Maneno yamenigusa haya na kunipa moyo..,ngoja niendelee na mchakato aisee wa kuolewa so soon.
 
Lile tangazo la tuko wangapi huwa linanikosesha raha sana

Yaani basi tu.

ukisikia kuleteana virusi ndio huku sasa, kila mmoja ana lake usiku mnavi mix, hapo tu mie ndio nachokaga aise, natamani nimkumbushie mtu kuvaa condom but ndio siwezi sasa.
 
Lile tangazo la tuko wangapi huwa linanikosesha raha sana

Yaani basi tu.

yaani Kongosho umenikumbusha mbali, mie naliangaliaga kwa huruma zote na kuishia kuguna tu, linachoma/linagusa hisia kwa kweli.

Hilo Tangazo halifai kabisa....

Mie huwa najifariji kwa kuangalia mtandao wangu tu...Najifanya kama upande mwingine haupo...ingawa najua siyo hali halisi!!

Ukilifuatilia sana unaweza kuamua mfungiane CCTV...jambo ambalo litakuwa ni sawa na kumwalika nyonga nyonga kwenye familia yenu!!

Babu DC!!
 
Kinaniboa zaidi, unaweza jituliza

Uliyenaye anakagua dunia nzima

Unatamani na wewe ukague mkoa mzima, afu huwezi.

Walete teknolojia ya kuing'oa na kuiweka benki tu bora
yaani Kongosho umenikumbusha mbali, mie naliangaliaga kwa huruma zote na kuishia kuguna tu, linachoma/linagusa hisia kwa kweli.
 
Hivi mwanamke ulieolewa unapata wapi guts to cheat your husband? much more to sleep out of your house huyu mama ni muhuni by professional,mi pole nimpe huyo mumewe ingawa sina uhakika sana km kutafuta mpango wa kando ndo direct solution
 
Yaani hapo blue, akili yangu imeshakuwa 'corrupted' mno kuamini mtu siku hizi

Hapo red, umenichekesha, sijui unamfungia wapi?

Hilo Tangazo halifai kabisa....

Mie huwa najifariji kwa kuangalia mtandao wangu tu...Najifanya kama upande mwingine haupo...ingawa najua siyo hali halisi!!

Ukilifuatilia sana unaweza kuamua mfungiane CCTV...jambo ambalo litakuwa ni sawa na kumwalika nyonga nyonga kwenye familia yenu!!

Babu DC!!
 
Hilo Tangazo halifai kabisa....

Mie huwa najifariji kwa kuangalia mtandao wangu tu...Najifanya kama upande mwingine haupo...ingawa najua siyo hali halisi!!

Ukilifuatilia sana unaweza kuamua mfungiane CCTV...jambo ambalo litakuwa ni sawa na kumwalika nyonga nyonga kwenye familia yenu!!

Babu DC!!

DC nyonga nyonga hiyo nimechekaje aisee????????
 
Back
Top Bottom