Revenge Inauma Usipime...!

Dena Amsi

R I P
Aug 17, 2010
13,082
4,260
Ni miaka miwili sasa tangu nimfahamu huyu rafiki yangu, jirani yangu, mwenyeji wangu nk......

Tumeishi vizuri yeye na familia yangu nami pia vivyo hivyo........... tumekuwa kama ndugu

Toka muda huo alikuwa na matatizo na mkewe (kama kawa matatizo katika familia hayakosi)

But ya huyu mama hata mimi yalikuwa yakinikera kiukweli mpaka majirani wengine ana tabia chafu

maana nikisema mbaya ni nafuu..............analala nje ya nyumba yake, anarudi asubuhi, hamshughulikii

mwanaume kwa lolote nguo ni housegirl ndo anafua, anapika inshort anafanya kila kitu...................

Jamaa mpaka akafikia analia mbele za watu (you can imagine) mwanaume analia mbele za watu (aibu tupu)

Jamaa amevumilia akiendelea kumpenda mkewe hivyohivyo tu.............lakini sasa uzalendo umemshindaa......

Hivi majuzi katafuta mpango wa kando kalala huko huko two days hajarudi home simu kazima...................

Mama kachanganyikiwa mbaya sana ooohh huyu mwanaume malaya na maneno meengi yasokuwa na msingi

Jamaa karudi jana around saa moja usiku hivi Mwanamke kaenda kushitaki kwa Chief jamaa kuitwa na kwenda akasema

ni kweli mimi nimepata Mwanamke wa kuoa mwingine na huyu akitaka aendelee kuishi na mimi na ajue wako wawili au

aondoke zake .....................(NIMETESEKA ZAIDI YA TWO YEARS SASA NI ZAMU YAKE)

Huyu mama (jirani) kaanguka chini na kuzimia hivi napoandika tuko hospitali hajaamka mpaka sasa na mapigo ya moyo

yako juu mbaya sana.....................

Mkuki kwa nguruwe kwa binadamu mchungu.......................

My take: What goes around comes around..........

DA
 
DA mnaishi wapi huko kuna chief taking care of the people's personal affairs, lol
Mie mtu akifanyiwa revenge huwa nachekelea. Mpe pole yangu huyo mama. Sasa ndo atahangaika na moyo wa jamaa ushatulia.
 
ndo nimeoa majuzi nikisoma uzi kama huu nazidi kuchanganyikiwa maana uwezi jua

tabia ya mtu mliekutana mkiwa tayari na meno 32 tayari ....... ila namuomba mungu

ishia hapo hapo kakangu!
ndoa yangu ikifail haina maana yako itafail pia!
tengeneza ndoa yako jinsi unavyotaka iwe,ishi maisha yako ukiamini ndoa yako ni ya ushindi,makosa na udhaifu wa watu wengine si wako!
wewe ndiye unaamua uwe na ndoa ya aina gani
usijifunze kwa walioshindwa jifunze kwa walio shinda!
NDOA YAKO NI YA PEKEE! ipe thamani ya upekee huo!
uwe na amani na mkeo!furahia ndoa yako sasa na hata milele!
pokea changamoto za kindoa katika upekee wake sio kwa reference ya maisha ya watu!
 
DA mnaishi wapi huko kuna chief taking care of the people's personal affairs, lol
Mie mtu akifanyiwa revenge huwa nachekelea. Mpe pole yangu huyo mama. Sasa ndo atahangaika na moyo wa jamaa ushatulia.

Mi Dena Amsi kanimaliza tu aliposema hivi sasa wako hospitali bado mtu kazimia, afu yeye ako bize na laputopu anapost JF!!

Hii ni adiksheni au ni mambo flani ya hadisi hadisi?
 
Last edited by a moderator:
Kwa uhuni wa namna hii mimi siwezi kuvumilia maana mwisho utaambulia magonjwa au kupigwa na nyumba ndogo za mkeo! Bora niwe pekee yangu kuliko kuwa na mke wa namna hii.
Heri lawama kuliko fedheha!
 
DA mnaishi wapi huko kuna chief taking care of the people's personal affairs, lol
Mie mtu akifanyiwa revenge huwa nachekelea. Mpe pole yangu huyo mama. Sasa ndo atahangaika na moyo wa jamaa ushatulia.

Hiyo bold tuonane chemba sie hatujaingilia tuliitwa kama mashahidi maana alitueleza.................
 
Mi Dena Amsi kanimaliza tu aliposema hivi sasa wako hospitali bado mtu kazimia, afu yeye ako bize na laputopu anapost JF!!

Hii ni adiksheni au ni mambo flani ya hadisi hadisi?

Sio lazima ubebe laptop Asprin Ipad zinafanyakazi 24/7 mbona waniangusha tumeondoka around 0612am ameamka lakini hajapata nguvu sana
 
ndo nimeoa majuzi nikisoma uzi kama huu nazidi kuchanganyikiwa maana uwezi jua

tabia ya mtu mliekutana mkiwa tayari na meno 32 tayari ....... ila namuomba mungu

hiyo like si kwamba umenena vyema bali ni kwasababu umegusa jambo ambalo nataka kukufunza wewe na wengine.

katika maisha kamwe usijaribu kusikiliza shuhuda za kushindwa kwa masikio ya ndani. yasikie haya kwa maskio ya nje tena ya nyama tu. kamwe usijikompee na aliyeshindwa bali jifunze jambo kupitia kwake basi.

kwa mfano DA ametuonyesha jinsi ambavyo maisha yasiyokuwa na maelewanoa ya kinidhamu yanavyoweza kuleta athari na hili wewe lipokee kma funzo ila si kama ndivyo alivyo mkeo.

mpende muheshimu mjali na siku zote sema na mkeo kwa habari ya amani na furaha ya ndoa yenu. ona mkeo ni chomnbo cha thamani sana ambacho hakuna wa kulinganisha nacho. ona kwamba ndipo furaha na amani yako ilipo tena ndipo unapoondolea msongo na stress za kazini. ona ndoa yako ni ya thamani sana na kweli umepata kitu chema tena umejipatia kibali machoni pa Mungu.
 
Ile life ya "to be happy some else must get hurt" sa ukishajua jina la mchezo and the viceversa is true then she dont have 2waste time rather pick the ball to the centre and start the game,datc it lol.....
 
Back
Top Bottom