Rev. Mtikila Confirms Hosting FDLR Commanders in Dar es Salaam

Rev. Mtikila Confirms Hosting FDLR Commanders in Dar es Salaam

No need to mention him. Coz he is a chicken and too emotional for my liking. This forum is not for cry babies. Which I'm beginning to believe that you are too.

usizugee, ulikuwa hujui! hahahaha.
 
za news of rwanda zinafunguka lakini hii tu ndio haifunguki, in our legal proffession, that is an admission of defeat.

1. mbona za news of rwanda zina-quotika, copy na kupestika lakini report hai-quotiki, what do we call that?

2. I doubt wewe una profession of any kind, stop this:smile-big:, really, you are cracking my ribs!
 
News of Rwanda wameshatoa lao,subirini sasa sisi kwenye Jambo leo upanga kwa upanga,jino kwa jino.
 
Naona mmeamua jupambana humu JF,aya endeleeni,tunawasoma

Ukisoma huu uzi na nyingine za aina hii ambazo karibu ni watu walewale wanabishana unatambua jambo moja kwamba watawala wetu wa sasa wamejiingiza ktk moja ya siasa chafu ambazo mwisho ni aibu!

Ukiwasoma kwa makini kama akili yako ni nzuri utagundua kuna watu wanamtukana Kagame na Rwanda na hawakosekani ktk threads za aina hii lakini ni ktk kutafiti kuwafahamu mahasimu wao vizuri.

Jambo jingine naliona hapa na pengine ntaendelea kujifunza na kutafiti zaidi ni msimamo halisi wa Mtikila. Inawezekana kama kawaida yake anatumika upande wa Kagame huku akijidai ni mchochezi mkubwa na hasimu mkubwa wa Watutsi!
 
Murutongore's join date: 29th June 2013

korofu's join date: 21st june 2013.

Jmali's join date: 9th Nov 2010

Let's see i joined first, then korofu, then YOU! and now korofu is supposedly my extra ID? only a dimwit....

Logic yako ni kama ya nzi...what does that have to do with you having multiple IDs....:loco:
 
Ukisoma huu uzi na nyingine za aina hii ambazo karibu ni watu walewale wanabishana unatambua jambo moja kwamba watawala wetu wa sasa wamejiingiza ktk moja ya siasa chafu ambazo mwisho ni aibu!

Ukiwasoma kwa makini kama akili yako ni nzuri utagundua kuna watu wanamtukana Kagame na Rwanda na hawakosekani ktk threads za aina hii lakini ni ktk kutafiti kuwafahamu mahasimu wao vizuri.

Jambo jingine naliona hapa na pengine ntaendelea kujifunza na kutafiti zaidi ni msimamo halisi wa Mtikila. Inawezekana kama kawaida yake anatumika upande wa Kagame huku akijidai ni mchochezi mkubwa na hasimu mkubwa wa Watutsi!

1. Mbona unaona wanaomtukana kagame tu? Always hapa JF ukiona kagame anatajwa ni katika defense ya Tanzania sio offensive, inakuwaje wewe unaona upande huu tu wa kujibu mashambulizi badala ya kuangalia anayeshambulia?

2. Mtikila anatumikaje upande wa kagame exactly? Kagame mwenyewe ameshawahi kumtaja mtikila wazi wazi hii inawezekanaje?
 
Logic yako ni kama ya nzi...what does that have to do with you having multiple IDs....:loco:

it seems common sense is not common after all! Nitumie multiple ID kudai link haifunguki? how hard is it to prove me wrong? Umeambiwa wewe ambaye kwako inafunguka iweke hapa umeshindwa.
 
1. Mbona unaona wanaomtukana kagame tu? Always hapa JF ukiona kagame anatajwa ni katika defense ya Tanzania sio offensive, inakuwaje wewe unaona upande huu tu wa kujibu mashambulizi badala ya kuangalia anayeshambulia?

2. Mtikila anatumikaje upande wa kagame exactly? Kagame mwenyewe ameshawahi kumtaja mtikila wazi wazi hii inawezekanaje?

Ooooh...you are loosing it. Mbona naona unaanza kuwa defensive. Usinikatishe tamaa. You are becoming like rushasha (the emotional wreck)
 
Ooooh...you are loosing it. Mbona naona unaanza kuwa defensive. Usinikatishe tamaa. You are becoming like rushasha (the emotional wreck)

kujibu bila kuulizwa ni dalili za ....kuwa emotionally wrecked. naona bado unamtukana kamanda rushasha kisailensa :smile-big:
 
ndio. wewe unajua sana. umeshinda .unataka zawadi gani? peremende?

OOh Rwanda iko juu kwa ICT, ooh chekechea zote kuna Ipad, ooh kigali wi-fi mpaka chooni, ooh... kumbe hata ku-mention mtu kwenye forum (btw, hakuna hata forum moja Rwanda) hamjui, tehetehe Ipad zenu za mbao nini?
 
OOh Rwanda iko juu kwa ICT, ooh chekechea zote kuna Ipad, ooh wi-fi mpaka chooni, ooh... kumbe hata ku-mention mtu kwenye forum (btw, hakuna hata forum moja Rwanda) hamjui, tehetehe Ipad zenu za mbao nini?

Nimekuuliza unataka peremende?
 
Mkuu jmali, ndiyo maana zinaitwa secret service, they have to operate secretly.

point yangu ni kwamba ni kinyume cha sheria, tena i think an act of war, kufanya vitendo vya kijasusi nchi nyingine bila ruhusa yao. the secrecy inatakiwa iwe ni ndani ya nchi husika sio nje, ndio maana tunashirikiana na FBI na CIA wazi wazi mfano alipokuja Obama n.k. Not that CIA haifanyi hizi faulo, lakini wakikamatwa hiyo ni scandali ya hali ya juu. DMI ya Rwanda inatuhumiwa kufanya sana vitendo hivi kwa sababu Rwanda ni dictatorship.
Huyu mtuhumiwa yuko kwenye list ya kimataifa ya UN, hawa DMI kama wamehusika kumteka ujue wamemuua tu, hawataki aende kortini. Kama kweli wangekuwa watu wa kutafuta haki wangeshirikiana na TZ kumkamata.
 
point yangu ni kwamba ni kinyume cha sheria, tena i think an act of war, kufanya vitendo vya kijasusi nchi nyingine bila ruhusa yao. DMI ya Rwanda inatuhumiwa kufanya sana vitendo hivi kwa sababu Rwanda ni dictatorship.
Huyu mtuhumiwa yuko kwenye list ya kimataifa ya UN, hawa DMI kama wamehusika kumteka ujue wamemuua tu, hawataki aende kortini.

:smile-big:
 
sitaki " i fear the tutsi (extremists) even when they bring gifts."

Yeah. Thats more like you. Wuss

hahaha. naona nalumbana na non-great thinker. We sio saizi yangu kabisa. what i said was a little word play on the original "Timeo danaos et dona ferentes." ndio maana nikaweka kwenye quotation marks. we shule yako ndogo sana bwana, soma soma vitu vingine besides news of rwanda na new times. kwa leo inatosha kalale.
 
Back
Top Bottom