hahaha. naona nalumbana na non-great thinker. We sio saizi yangu kabisa. what i said was a little word play on the original "Timeo danaos et dona ferentes." ndio maana nikaweka kwenye quotation marks. we shule yako ndogo sana bwana, soma soma vitu vingine besides news of rwanda na new times. kwa leo inatosha kalale.
Ndugu zangu watanzania, uchunguzi mfupi umebaini kuwa EMT ameitoa hii habari kule kule News of Rwanda hadi hiyo picha! Msidanganyike na alivyojifanya sijui eti kasoma report wala nini, hizo zote ni blah blah za kufanikisha copy and paste yake. Alichofanya ni kuhariri na kufuta maneno yoyote yanayo-refer to news of rwanda, na kuongeza nyama nyama kidogo tu. Msisahau kuwa Rev. Mtikila alishawahi kutajwa hata na Paul kagame mwenyewe kufuatia ile document yake iliyowahi kufika hapa JF kuhusu wahamiaji haramu, mi naona hii ni mojawapo ya mashambulizi kwa watu ambao wana mtazamo tofauti na serikali ya Rwanda.
Pia watanzania wenzangu tusiwe wepesi sana kushambulia watanzania wenzetu kwenye hili sokomoko la Rwanda vs TZ, wanachofanya hawa jamaa ni kutumia tofauti zetu za ndani kwa manufaa yao.
Habari original in full ni hii hapa chini, Link yake original ni hii hapa:http://www.newsofrwanda.com/featured1/22492/tanzania-politician-admits-hosting-fdlr-commanders-in-dar-es-salaam/.
cc: iparamasa, Kichuguu, East African Eagle, ntera, Freeland, Noti mpya tz, mokala1989, Swat, timbilimu, Maziku Masunga Jr., rushasha,
Tanzania politician admits hosting FDLR commanders in Dar es Salaam
A UN photo of Reverend Christopher Mtikila's residence in Dar Es Salaam, Tanzania, where FDLR commanders, stay whenever in Tanzania
The home of Reverend Christopher Mtikila has on several occasions hosted senior commanders of Rwandan FDLR rebels transiting through Dar es Salaam Tanzania in efforts to link them up with the outside work, the UN and the politician himself have confirmed.
News of Rwanda reported exclusively on 17 February, that Rev Mtikila arranged meetings with FLDR leaders for Brig Gen Gratien Kabiligi, a former commanding general of military operations of the entire army during and before the 1994 genocide against Tutsis. Brig Gen Kabiligi met with FDLR executive secretary Lt Col Wilson Irategeka and Col Hamadi, the operations commander.
Our investigations team has uncovered yet more information about how Reverend Christopher Mtikila has been the liaison person for the FDLR. Two of the militia group's Belgium-based officials Joseph Nzabonimpa and Faustin Murego were Dar es Salaam in January 2013 to meet commanders from DR Congo jungles.
While in Dar es Salaam, they stayed at the personal residence of Reverend Christopher Mtikila which is identified in the photo above. According to UN Group of Experts report on DRC released on 24 January 2014, Reverend Mtikila confirmed to them that he had indeed hosted the FDLR political and military officials (See page 26-27 of report).
However, in early February of 2013, one of the FDLR commanders from DRC disappeared. The UN experts say they attempted to confirm with the Tanzanian government about FDLR presence on its soil, and were told they were not aware of any FDLR commander's travel and stay in Dar es Salaam and that they had no information about their disappearance or whereabouts.
News of Rwanda investigations team is yet to find out when Brig Gen Gratien Kabiligi arrived in Tanzania, but have established that he had meetings at secret locations in Dar es Salaam with the above FDLR commanders. The meetings took place on Friday 24th January, then Saturday and the days of the following week.
Rev Mtikila is a vocal Tanzanian evangelist-politician who is the Chairman of the Democratic Party (DP), a small political grouping with no representation in parliament. News of Rwanda has established that he is the figure who facilitates the acquisition of Tanzanian passports for FDLR commanders to travel out of DR Congo jungles.
Previous stories: EXCLUSIVE: Tanzania Hosts More Meetings For FDLR With ICTR Convicts EXCLUSIVE: Tanzania hosts more meetings for FDLR with ICTR convicts News Of Rwanda – Rwanda News
News of Rwanda is preparing another dossier to reveal the identity of a Norwegian priest who works with Rev Mtikila on the FDLR project.
In all the previous travels to this region from Belgium, Joseph Nzabonimpa and Faustin Murego have gone through Tanzania. In June 2012, the two FDLR political cadres, travelling on Belgian passports, were in Rutshuru in North Kivu to meet the FDLR command and convince them to resume cooperation with the Congolese army. The two flew into the Ugandan capital, Kampala on an Egypt Air flight and then made their way to the North Kivu Provincial capital Goma, with the help of DRC intelligence agents.
About the duo Murego was a lieutenant in the former Rwandan army and now lives in the Belgian city of Liege. Nzabonimpa was also an officer in the former Rwandan army and now lives in Brussels, where he works in IT.
The North Kivu Governor Julien Paluku asked the UN mission in DRC to fly the two men to Walikale, a town deep in the forest, so they could meet FDLR commander Sylvestre Mudacumura. The UN refused and so Mudacumura sent a lower ranking officer Pacifique Ntawunguka to meet them. The two gave Ntawunguka $100,000 to give to Mudacumura.
source: Tanzania politician admits hosting FDLR commanders in Dar es Salaam News Of Rwanda – Rwanda News
Nguvu ya FDLR? Hahahaha. Kweli mmepata msemaji makini!!! Mtikila? You are a laughing stock.
Hata mimi sasa nimeanza kuwa na question motive za waleta thread kuhusu Rwanda na Tz...isije kuwa kuna watu wako kazini...
Japo kuna uhuru wa habari....ningekuwa mod ningekuwa na block hizi thread...naona kuna agenda imejificha.
Mutuwache na amani yetu wa Tz.
Japo wengine tunachangia kama wazalendo ku defend nchi yetu...lakini ukichunguza nyingi ni za ku victimize Tz...meaning zinaanzishwa na pro Rwanda
Mbona kwangu inafunguka...au unafungua kama soda?Haifunguki
Mbona kwangu inafunguka...au unafungua kama soda?
Ndugu zangu watanzania, uchunguzi mfupi umebaini kuwa EMT ameitoa hii habari kule kule News of Rwanda hadi hiyo picha! Msidanganyike na alivyojifanya sijui eti kasoma report wala nini, hizo zote ni blah blah za kufanikisha copy and paste yake. Alichofanya ni kuhariri na kufuta maneno yoyote yanayo-refer to news of rwanda, na kuongeza nyama nyama kidogo tu. Msisahau kuwa Rev. Mtikila alishawahi kutajwa hata na Paul kagame mwenyewe kufuatia ile document yake iliyowahi kufika hapa JF kuhusu wahamiaji haramu, mi naona hii ni mojawapo ya mashambulizi kwa watu ambao wana mtazamo tofauti na serikali ya Rwanda. Pia watanzania wenzangu tusiwe wepesi sana kushambulia watanzania wenzetu kwenye hili sokomoko la Rwanda vs TZ, wanachofanya hawa jamaa ni kutumia tofauti zetu za ndani kwa manufaa yao.
Habari original in full ni hii hapa chini, Link yake original ni hii hapa:http://www.newsofrwanda.com/featured1/22492/tanzania-politician-admits-hosting-fdlr-commanders-in-dar-es-salaam/.
Hata mimi sasa nimeanza kuwa na question motive za waleta thread kuhusu Rwanda na Tz...isije kuwa kuna watu wako kazini...
Japo kuna uhuru wa habari....ningekuwa mod ningekuwa na block hizi thread...naona kuna agenda imejificha.
Mutuwache na amani yetu wa Tz.
Japo wengine tunachangia kama wazalendo ku defend nchi yetu...lakini ukichunguza nyingi ni za ku victimize Tz...meaning zinaanzishwa na pro Rwanda
Ufafanuzi. Hii habari niliikuta allafrica.com ambao walisema wameitoa News of Rwanda. Nikatafuta News of Rwanda na kuikuta hiyo habari. Hata hivyo, News of Rwanda haikuwa primary source ya hiyo habari kwa sababu nao wenyewe wamesema kuwa wameitoa kwenye ripoti ya Wataalam wa Umoja wa Mataifa nchini Congo iliyochapishwa mwezi uliopita.
So, I had to find the actual report ya hao wataalam na kuisoma na kukuta kwamba actually News of Rwanda wamekopi sehemu ya hiyo report ku-justify habari ambazo wamekuwa wakiandika huko nyumba kuhusuana na suala hili. Kwa hiyo, the primary source ya hii habari siyo News of Rwanda, bali ni ripoti ya wataalam wa Umoja wa Mataifa nchini Congo iliyowasilishwa na kupitishwa na Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa. Tutofautishe kati ya primary source and secondary source.
Nilijua haya yatajitokoza na ndiyo maana niliweka mpaka link ya inapopatikana hiyo ripoti kwa ajili ya wale ambao siyo wavivu wa kusoma ripoti ndefu. Hata hivyo, wapo ambao wamedai kuwa kuwa link ya yenye hiyo habari haifunguki. Inawezekana kwa sababu ni ripoti ndefu kidogo ( ni PDF file lenye ukubwa wa zaidi ya 22MB), maana hata mimi ilinibidi nikatafute kinywaji kwanza wakati nikisubiri ripoti ifungunge.
For the avoidance of any double, badala ya kutoa link tuu, nime-download hiyo ripoti na kui-attach hapo chini. I hope sasa itafunguka. Riporti ina jumla ya kurasa 277. Kama ni mvivu wa kusoma au huna muda wa kuisoma ripoti nzima, nenda moja kwa moja kwenye ukurasa wa 27 hadi 28 (paragraphs 109 -110) na utaikuta hiyo habari kama ilivyonakiliwa na News Rwanda.
Kuhusina na hiyo picha ya nyumba ya Mchungaji Mtikila pia News of Rwanda wameinakili kutoka kwenye hiyo ripoti. Picha inapatikana kwenye annex 42 iliyoko kwenye ukurasa wa 134 wa hiyo ripoti.
Kuna suala ambalo nilitegemea wachangiaji wangehoji lakini so far hakuna hata mmoja amefanya hivyo. Sijui kama ni usahaulifu au ni ignorance. Kama mtakumbuka hawa wataalam wa Umoja wa Mataifa walishawahi kutoa ripoti nyingine iliyoishutumu Rwanda kujihusisha na mgogoro huko DRC. Katika speech yake moja (ipo Yutube), Rais Kagame aliiwakandia sana hao wanaojiita "experts on the ground" na kuhoji wako accountable kwa akina nani. Kimsingi, aliitupilia mbali ile ripoti na experts wenyewe.
Lakini katika ripoti hii, inaonekena Rwanda wanakubaliana moja kwa moja baadhi ya findings wa "experts" wale wale ambao Kagame aliwakandia na kuhoji uhalali na utaalam wao. How come ghafla, wamekubaliana na findings za hao "expers on the ground"? Ina maana sasa accountability ya hawa experts imebadilika tokea watoe ile ripoti ya awali?
Kwa upande mwingine, kabla ya shambulio la kigaidi la Westgate, kuna group la la wataalam wengine wa Umoja wa Mataifa on the Horn of Africa walitoa ripoti ndefu yenye taarifa kuhusina uwezekano shambulio la kigaidi Afrika Mashariki. Kama ripoti hiyo watalaamu hao walifanikiwa kuwahojo baadhi ya wapinganaji wa Al-Shabaab. Hata hivyo, inaonekana hapa Afrika Mashariki hakuna aliyehangaika na hiyo findings za hiyo ripoti na shambulio la kigaidi Westgate lilitokea kama sijakosema miezi mitatu tuu baada ya ripoti hiyo kuchapishwa.
@'jmali', kweli wewe kiboko aisee. Thanks sana.Ndugu zangu watanzania, uchunguzi mfupi umebaini kuwa EMT ameitoa hii habari kule kule News of Rwanda hadi hiyo picha! Msidanganyike na alivyojifanya sijui eti kasoma report wala nini, hizo zote ni blah blah za kufanikisha copy and paste yake. Alichofanya ni kuhariri na kufuta maneno yoyote yanayo-refer to news of rwanda, na kuongeza nyama nyama kidogo tu. Msisahau kuwa Rev. Mtikila alishawahi kutajwa hata na Paul kagame mwenyewe kufuatia ile document yake iliyowahi kufika hapa JF kuhusu wahamiaji haramu, mi naona hii ni mojawapo ya mashambulizi kwa watu ambao wana mtazamo tofauti na serikali ya Rwanda.
Pia watanzania wenzangu tusiwe wepesi sana kushambulia watanzania wenzetu kwenye hili sokomoko la Rwanda vs TZ, wanachofanya hawa jamaa ni kutumia tofauti zetu za ndani kwa manufaa yao.
Habari original in full ni hii hapa chini, Link yake original ni hii hapa:http://www.newsofrwanda.com/featured1/22492/tanzania-politician-admits-hosting-fdlr-commanders-in-dar-es-salaam/.
cc: iparamasa, Kichuguu, East African Eagle, ntera, Freeland, Noti mpya tz, mokala1989, Swat, timbilimu, Maziku Masunga Jr., rushasha,
Tanzania politician admits hosting FDLR commanders in Dar es Salaam
A UN photo of Reverend Christopher Mtikilas residence in Dar Es Salaam, Tanzania, where FDLR commanders, stay whenever in Tanzania
The home of Reverend Christopher Mtikila has on several occasions hosted senior commanders of Rwandan FDLR rebels transiting through Dar es Salaam Tanzania in efforts to link them up with the outside work, the UN and the politician himself have confirmed.
News of Rwanda reported exclusively on 17 February, that Rev Mtikila arranged meetings with FLDR leaders for Brig Gen Gratien Kabiligi, a former commanding general of military operations of the entire army during and before the 1994 genocide against Tutsis. Brig Gen Kabiligi met with FDLR executive secretary Lt Col Wilson Irategeka and Col Hamadi, the operations commander.
Our investigations team has uncovered yet more information about how Reverend Christopher Mtikila has been the liaison person for the FDLR. Two of the militia groups Belgium-based officials Joseph Nzabonimpa and Faustin Murego were Dar es Salaam in January 2013 to meet commanders from DR Congo jungles.
While in Dar es Salaam, they stayed at the personal residence of Reverend Christopher Mtikila which is identified in the photo above. According to UN Group of Experts report on DRC released on 24 January 2014, Reverend Mtikila confirmed to them that he had indeed hosted the FDLR political and military officials (See page 26-27 of report).
However, in early February of 2013, one of the FDLR commanders from DRC disappeared. The UN experts say they attempted to confirm with the Tanzanian government about FDLR presence on its soil, and were told they were not aware of any FDLR commanders travel and stay in Dar es Salaam and that they had no information about their disappearance or whereabouts.
News of Rwanda investigations team is yet to find out when Brig Gen Gratien Kabiligi arrived in Tanzania, but have established that he had meetings at secret locations in Dar es Salaam with the above FDLR commanders. The meetings took place on Friday 24th January, then Saturday and the days of the following week.
Rev Mtikila is a vocal Tanzanian evangelist-politician who is the Chairman of the Democratic Party (DP), a small political grouping with no representation in parliament. News of Rwanda has established that he is the figure who facilitates the acquisition of Tanzanian passports for FDLR commanders to travel out of DR Congo jungles.
Previous stories: EXCLUSIVE: Tanzania Hosts More Meetings For FDLR With ICTR Convicts EXCLUSIVE: Tanzania hosts more meetings for FDLR with ICTR convicts News Of Rwanda Rwanda News
News of Rwanda is preparing another dossier to reveal the identity of a Norwegian priest who works with Rev Mtikila on the FDLR project.
In all the previous travels to this region from Belgium, Joseph Nzabonimpa and Faustin Murego have gone through Tanzania. In June 2012, the two FDLR political cadres, travelling on Belgian passports, were in Rutshuru in North Kivu to meet the FDLR command and convince them to resume cooperation with the Congolese army. The two flew into the Ugandan capital, Kampala on an Egypt Air flight and then made their way to the North Kivu Provincial capital Goma, with the help of DRC intelligence agents.
About the duo Murego was a lieutenant in the former Rwandan army and now lives in the Belgian city of Liege. Nzabonimpa was also an officer in the former Rwandan army and now lives in Brussels, where he works in IT.
The North Kivu Governor Julien Paluku asked the UN mission in DRC to fly the two men to Walikale, a town deep in the forest, so they could meet FDLR commander Sylvestre Mudacumura. The UN refused and so Mudacumura sent a lower ranking officer Pacifique Ntawunguka to meet them. The two gave Ntawunguka $100,000 to give to Mudacumura.
source: Tanzania politician admits hosting FDLR commanders in Dar es Salaam News Of Rwanda Rwanda News
kwa nini usingeweka hiyo report tu bila kuhusisha news of Rwanda, tena kinyemela? this is suspect by any standards. News of Rwanda limekuwa likichochea uhasama baina ya nchi zetu kwa muda sasa, any news from them hata kama ziko based on any report haziaminiki, lazima watakuwa wamechambua mambo wanavyotaka wao. Anyway thanks for the report.
Nilijua kama niweka tuu habari kutoka News of Rwanda wengi wenu mngedai ni zile zile propaganda na wengi wenu mngeanza kunibadilishia uraia.
Maana you guys never stop to amaze me. Kwenye threads za mgogoro wa mpaka na Malawi baadhi huwa wananipa uraia wa Malawi; kwenye kwenye threads za Rwanda, uraia wa Rwanda; kwenye threads dhidi ya Chadema, MwanaCCM; na kwenye threads dhidi ya CCM, Mwana-Chadema.
Anyway, sasa hapa you either have to agree or disagree with Kagame's assertion kuwa hao "experts on the ground" ni waongo, wanafiki, hawana credibility and also question their accountability.