Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 59,253
- 138,803
Dah,Prof.Safari ana-vocal
unajua ulichokiandika? Kihama ndiyo nini? Bora sisi wahamiaji haramu tunaoujua uharamu wetu kuliko watu kama wewe wasiojua kama ni haramu au si haramu.
Ukijitambua unatambulika.
unaaminisha kuwa mtu toka rwanda anaweza kuingia nchini tanzania kwa njia za panya na tiss na uhamiaji isiwahusu? Hatuongei kuhusu mtu toka tanzania kuingia rwanda it's vise versa.
How can a mind of the living people go without noticing this kind of inefficiency performance of the people we trusted and give them mandate for our security? The guys have been banned to travel but they were here, how did they get in our land without us knowing? Bado serikali inakanusha kuwa jamaa walikuja wakakaa tanzania kwa amani kisha wakaondoka zao.
So we have to blame rwanda for letting them come in tz without us knowing? Come on men, get up and let your mind works on behalf of the things you are sitting with!
Wajinga ndo waliwao. Siasa chafu inalipa.
jMali mkuu sina uhakika kuhusu ushirikishwaji wa vyombo vya usalama wa Tanzania katika operesheni ya kumteka mhalifu-muuaji Bigaruka. Nadhani wenzi wetu walio katika nyanja ya usalama wanaweza kutuelewesha zaidi. Nilichokisoma ni kuwa huyu kamanda wa FDLR alidakwa na DMI operatives akiwa Kigoma akijiandaa kurudi DRC. Nafsi yangu, uzalendo wangu na objectivity vinanikataza kufikiria ki-nadharia.
kuna mahala popote Rwanda ime-acknowledge kumshikilia huyu Bigaruka? au wapi ambapo DMI watakuwa wamempeleka if wanaye?
Huyu Mlala hoi (Mtikila) uwa ananishangaza sana,yaan kajenga nyumba nzuri hivyo lakini kashindwa kweli kuweka madirisha??*I Cant Him Even Small*..
kama ni kwa maslahi ya taifa na kuwapa wanyarwanda matumaini waliyoyapoteza kupitia utawala wa kidhalmu wa paka, hakuna haja ya taasisi zetu za usalama kuwazuia zaidi ya kuwapa support.
ha ha hah! Kwa umjuavyo wewe rev.chris mtikila ni nani hasa? Na unahisi nini kipo nyuma ya nguvu zake mpaka kuchelea kukiri wa un kwamba aliwa host hao the so called "magaidi?" : Paka lazima auwawe ili kurejesha amani ukanda huu wa maziwa makuu!
Serikali ya Rwanda haijatoa tamko lolote kuhusu hili. Lakini kama tujuavyo katika mambo yahusuyo usalama wa taifa kwa nchi yoyote kunakuwa na mengi yasiyowekwa wazi. kwa hiyo inawezekana kabisa kuwa yuko ndani ya Rwanda amehifadhiwa. I do not know.
A UN photo of Reverend Christopher Mtikila's residence in Dar Es Salaam, Tanzania, where FDLR commanders, stay whenever in Tanzaniamtikila ni mpigania haki na mpinga maovu na uonevu siku zote anajua anachokifanya na nguvu kubwa ipo nyuma yake!
Ndugu zangu watanzania, uchunguzi mfupi umebaini kuwa EMT ameitoa hii habari kule kule News of Rwanda hadi hiyo picha! Msidanganyike na alivyojifanya sijui eti kasoma report wala nini, hizo zote ni blah blah za kufanikisha copy and paste yake. Alichofanya ni kuhariri na kufuta maneno yoyote yanayo-refer to news of rwanda, na kuongeza nyama nyama kidogo tu. Msisahau kuwa Rev. Mtikila alishawahi kutajwa hata na Paul kagame mwenyewe kufuatia ile document yake iliyowahi kufika hapa JF kuhusu wahamiaji haramu, mi naona hii ni mojawapo ya mashambulizi kwa watu ambao wana mtazamo tofauti na serikali ya Rwanda.
Pia watanzania wenzangu tusiwe wepesi sana kushambulia watanzania wenzetu kwenye hili sokomoko la Rwanda vs TZ, wanachofanya hawa jamaa ni kutumia tofauti zetu za ndani kwa manufaa yao.
Habari original in full ni hii hapa chini, Link yake original ni hii hapa:http://www.newsofrwanda.com/featured1/22492/tanzania-politician-admits-hosting-fdlr-commanders-in-dar-es-salaam/.
cc: iparamasa, Kichuguu, East African Eagle, ntera, Freeland, Noti mpya tz, mokala1989, Swat, timbilimu, Maziku Masunga Jr., rushasha,
Tanzania politician admits hosting FDLR commanders in Dar es Salaam
A UN photo of Reverend Christopher Mtikila's residence in Dar Es Salaam, Tanzania, where FDLR commanders, stay whenever in Tanzania
The home of Reverend Christopher Mtikila has on several occasions hosted senior commanders of Rwandan FDLR rebels transiting through Dar es Salaam Tanzania in efforts to link them up with the outside work, the UN and the politician himself have confirmed.
News of Rwanda reported exclusively on 17 February, that Rev Mtikila arranged meetings with FLDR leaders for Brig Gen Gratien Kabiligi, a former commanding general of military operations of the entire army during and before the 1994 genocide against Tutsis. Brig Gen Kabiligi met with FDLR executive secretary Lt Col Wilson Irategeka and Col Hamadi, the operations commander.
Our investigations team has uncovered yet more information about how Reverend Christopher Mtikila has been the liaison person for the FDLR. Two of the militia group's Belgium-based officials Joseph Nzabonimpa and Faustin Murego were Dar es Salaam in January 2013 to meet commanders from DR Congo jungles.
While in Dar es Salaam, they stayed at the personal residence of Reverend Christopher Mtikila which is identified in the photo above. According to UN Group of Experts report on DRC released on 24 January 2014, Reverend Mtikila confirmed to them that he had indeed hosted the FDLR political and military officials (See page 26-27 of report).
However, in early February of 2013, one of the FDLR commanders from DRC disappeared. The UN experts say they attempted to confirm with the Tanzanian government about FDLR presence on its soil, and were told they were not aware of any FDLR commander's travel and stay in Dar es Salaam and that they had no information about their disappearance or whereabouts.
News of Rwanda investigations team is yet to find out when Brig Gen Gratien Kabiligi arrived in Tanzania, but have established that he had meetings at secret locations in Dar es Salaam with the above FDLR commanders. The meetings took place on Friday 24th January, then Saturday and the days of the following week.
Rev Mtikila is a vocal Tanzanian evangelist-politician who is the Chairman of the Democratic Party (DP), a small political grouping with no representation in parliament. News of Rwanda has established that he is the figure who facilitates the acquisition of Tanzanian passports for FDLR commanders to travel out of DR Congo jungles.
Previous stories: EXCLUSIVE: Tanzania Hosts More Meetings For FDLR With ICTR Convicts EXCLUSIVE: Tanzania hosts more meetings for FDLR with ICTR convicts News Of Rwanda – Rwanda News
News of Rwanda is preparing another dossier to reveal the identity of a Norwegian priest who works with Rev Mtikila on the FDLR project.
In all the previous travels to this region from Belgium, Joseph Nzabonimpa and Faustin Murego have gone through Tanzania. In June 2012, the two FDLR political cadres, travelling on Belgian passports, were in Rutshuru in North Kivu to meet the FDLR command and convince them to resume cooperation with the Congolese army. The two flew into the Ugandan capital, Kampala on an Egypt Air flight and then made their way to the North Kivu Provincial capital Goma, with the help of DRC intelligence agents.
About the duo Murego was a lieutenant in the former Rwandan army and now lives in the Belgian city of Liege. Nzabonimpa was also an officer in the former Rwandan army and now lives in Brussels, where he works in IT.
The North Kivu Governor Julien Paluku asked the UN mission in DRC to fly the two men to Walikale, a town deep in the forest, so they could meet FDLR commander Sylvestre Mudacumura. The UN refused and so Mudacumura sent a lower ranking officer Pacifique Ntawunguka to meet them. The two gave Ntawunguka $100,000 to give to Mudacumura.
source: Tanzania politician admits hosting FDLR commanders in Dar es Salaam News Of Rwanda – Rwanda News
Nyie watu mnajitapa sana kujua IT EAC, mbona unatia aibu kila siku? ukitaka kuCC unafanya:
1. andika cc: kisha weka '@' kabla ya jina la member, e.g '@murutongore' AU
2. Copy jina la member unayetaka kumcc kama lilivyo kwenye thread pamoja na link yake uipesti!
ukiondoa siasa & uchungaji..
huyu jamaa huwa anaongea mambo confidential sana na serikali huwa inachukua hatua.Ukianza na pori la Burigi,oparesheni ya kuondoa wazamiaji pamoja na issues za East African Community.
Mtikila ni nani ukiondoa siasa na utumishi wa Kanisa.??
Asante sana interahamwe kwa ushauri wako. Message umeipata thats what matters.
kwa niaba ya Robert kajuga, the TUTSI president of interahamwe during the so called genocide against tutsis, i say Urakoze cyane!
You dimwit. It doesn't matter who published it first. Swali ni hili...hiyo ni report ya UN au sio?
Huyu unayemsema ananyea debe kama ndugu zako wengine wengi