Kuna kitu unatuficha hapa
Ntera kitu gani naficha mkuu? Angazia mwanga.
Kuna kitu unatuficha hapa
Mkuu unaamini Kuwa Mtikila ndiye kafanya mipango yote Mpaka kuwaleta Jamaa nchini na kukaa nao bila serikali kujua? Tuanze na usalama wetu kwanza Kabla ya kumfikia Mch. Uhamiaji na TISS walikuwa wapi? Nachelea kusema Kuwa mpango huu serikali ndiyo yakulaumu.Kwa uzoefu wangu kiasi niseme wazi ningekuwa Kikwete nisingejiingiza ktk hizi mishemishe za matatizo ya nchi za Maziwa Makuu wakati muda wangu unaisha na kama nchi hatuna sera rasmi kuhusu migogoro ya muda mrefu ktk eneo hilo. Kwa Mtikila kusema hivyo ni kucover face ya Watawala. Mtikila atamwalika vipi na kumwingiza nchini mtu anayekabiliwa na vikwazo vya UN??
Na niseme hiki kibarua anachotumika Mtikila sasa, na kampeni yake ya kuchochea chuki kwa Watutsi sitashangaa akimaliza maisha yake ktk jela za UN!
he most significant event of the year was the military defeat of the
Mouvement du 23 mars (M23) rebel moveme
nt in the Democratic Republic of the
Congo and its flight to Rwanda and Uganda. The Group of Experts on the
Democratic Republic of the Congo documented human rights abuses by M23 during
2013 and confirmed that M23 received various forms of support from Rwandan
territory, including recruitment, troop reinforcement, ammunition deliveries and fire
support. At the time of writing the present report, the Group had received credible
information that sanctioned M23 leaders were
moving freely in Uganda and that M23
continued to recruit in Rwanda
Tuanze na usalama wetu kwanza Kabla ya kumfikia Mch. Uhamiaji na TISS walikuwa wapi?.
Mtikila anapenda kucheza na akili za watu.
cc jmali, rushasha aka mume wa shetani, mokala 1989 aka majeshi 1981 aka (foot soldier wa bigaruka)
Zanzibar-Nyamwezi kiongozi hapana sijasema hilo. Ripoti niliyoisoma inadai kuwa kuna wana usalama walipomuweka huyo FDLR genocidaire under house arrest waliwafamisha FDLR ya kuwa kama wanataka aachiwe ni shurti walipe hizo US$5million. Zilipokataliwa, dau likashuka mpaka US$3million. Sasa sijui kama zilitolewa au la. Lakini ripoti inasema kuwa Bigaruka alidakwa akiwa Kigoma na DMI. Uhusika au ushirikiano wa Mtikila na wana usalama siufahamu na sina habari nao kwa kuwa haunihusu.
Mkuu unaamini Kuwa Mtikila ndiye kafanya mipango yote Mpaka kuwaleta Jamaa nchini na kukaa nao bila serikali kujua? Tuanze na usalama wetu kwanza Kabla ya kumfikia Mch. Uhamiaji na TISS walikuwa wapi? Nachelea kusema Kuwa mpango huu serikali ndiyo yakulaumu.
Naona kama anacheza na moto bila kujua...
Kazi ya TISS ni kushughulikia usalama wa Tanzania sio usalama wa Rwanda.TISS wala Uhamiaji si waajiriwa wa Rwanda na hawawajibiki kwa lolote kwa Rwanda na hawawajibiki kuifanyia kazi ya aina yoyote ya Rwanda iwe ya kiuhamiaji au kiusalama .
Uhamiaji ya Tanzania na TISS sio idara ya Rwanda hivyo huna haki ya kuhoji walikuwa wapi kufanya kazi kwa niaba ya Rwanda.TISS AND IMMIGRATION ARE NOT AGENTS OR POLICE POST OF RWANDA. Waache TISS na UHAMIAJI wetu.Uwaache na uwakome kabisa.
Atanyongwa kwa kamba hotelini!Mtikila apewe ulinzi mkali, wamenya machungwa wa Kagame wamejaa kila kona Daressalaam
tumwombee, kazi aliyoianza ni lazima ataimalizaMtikila inabidi awe makini kwa sasa. Anything can happen to him.
cc jmali, rushasha aka mume wa shetani, mokala 1989 aka majeshi 1981 aka (foot soldier wa bigaruka)
Atanyongwa kwa kamba hotelini!
nyie watu mnajitapa sana kujua it eac, mbona unatia aibu kila siku? Ukitaka kucc unafanya:
1. Andika cc: Kisha weka '@' kabla ya jina la member, e.g '@murutongore' au
2. Copy jina la member unayetaka kumcc kama lilivyo kwenye thread pamoja na link yake uipesti!
Hiyo DMI inaruhusiwa kufanya shughuli zake nchi za wenzao au walipata ruhusa ya TZ?
Inawezekana Mtikila naye hana akili. Mtu huyu ana ulinzi gani wa kujiamini hadi kukaribisha magaidi kwa siri na kukaa nao nyumba moja?
Unajua ulichokiandika? Kihama ndiyo nini? Bora sisi wahamiaji haramu tunaoujua uharamu wetu kuliko Watu Kama wewe wasiojua Kama ni haramu au si haramu.wahamiaji haramu mliojiharamisha kwa maovu yenu mtahangaika sana kabla ya kihama chenu
Unaaminisha Kuwa Mtu toka Rwanda anaweza kuingia nchini Tanzania kwa njia za Panya na TISS na uhamiaji isiwahusu? Hatuongei kuhusu Mtu toka Tanzania kuingia Rwanda it's vise versa.Kazi ya TISS ni kushughulikia usalama wa Tanzania sio usalama wa Rwanda.TISS wala Uhamiaji si waajiriwa wa Rwanda na hawawajibiki kwa lolote kwa Rwanda na hawawajibiki kuifanyia kazi ya aina yoyote ya Rwanda iwe ya kiuhamiaji au kiusalama .
Uhamiaji ya Tanzania na TISS sio idara ya Rwanda hivyo huna haki ya kuhoji walikuwa wapi kufanya kazi kwa niaba ya Rwanda.TISS AND IMMIGRATION ARE NOT AGENTS OR POLICE POST OF RWANDA. Waache TISS na UHAMIAJI wetu.Uwaache na uwakome kabisa.