murutongore
JF-Expert Member
- Jun 29, 2013
- 2,051
- 639
mkuu wewe nitaendelea kukutilia shaka milele na yeyote anayefuatilia uchangiaji wako katika jukwaa hili, sina shaka umetumwa kuwa sehemu ya walioandaliwa kuifuruga nchi hii, kamwe wewe na aliyekutuma hamtafanikiwa, na utalaaniwa zaidi ya kizazi cha nyoka. VIVA TANZANIA
Inayokuhifadhi! Shukuru mungu ila usiote kuwa utarudi rwanda. Hiyo sahau.