TANZIA Rest in peace Valentina (JF Member)

Alikuwa anatamani sana tukutane, ila ratiba zangu hazikuwahi kuwa easy. Kila akiwa Dar Mimi nakuwa mkoani mpaka nilipohama mazima Dar. Alinialika Arusha, ila sikuwahi pata route ya kule.

Anyways, pumzika kwa amani dada Valentina.
Inauma sana!
 
😭😭😭😭 Ooh jamani
 
Dah R.I.P alikua mcheshi sana huyu Rafiki
 
Dah, naomba uniwakilishe huko Mkuu
 
Chai.

Mtu mwenye uchungu hawezi kuandika gazeti lote hili.

Hapa umeandika upate attention kwamba na wewe unajuana na marehemu nje ya JF.
 
amefariki hospitali ya Mt Meru Arusha, atazikwa makaburi ya Njiro “posssibly J3” marehemu alipata changamoto wakati wa kujifungua.
“Mtoto yuko salama na ndio mtoto wake wa Kwanza wa pekee”
 
Apumzike kwa amani Valentine
 
amefariki hospitali ya Mt Meru Arusha, atazikwa makaburi ya Njiro “posssibly J3” marehemu alipata changamoto wakati wa kujifungua.
“Mtoto yuko salama na ndio mtoto wake wa Kwanza wa pekee”
Dah,hii ya Mama kufariki kuacha mtoto ishatokea mtaani kwetu
 
Which peace?

Ukisema RIP means rest in eternal peace

Anyway: ngoja tumtakie amani ya milele dada etu tuache mabishano
Acha kulazimisha mambo we nyumbu wa Lake Manyara.

Wapi nimetaja eternal?

Eternal ni nini? Na kwa nini Mungu awe na monopoly ya eternal?

Acha kuchafua uzi wa msiba kwa uharo wako hapa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…