TANZIA Rest in peace Valentina (JF Member)

Apumzike kwa amani (RIP)
 
Apumzike mahali pema, inaonekana alikuwa mpole sio kivuruge km mimi na Lamomy pole sana kwa kumpoteza mke mwenzio
Mke mwenza kaniuma 😥😭😭
Hii dunia hiii 🥹
Roho yake ipumzike kwa amani Vee wangu..🕊️❤️

Pamoja na uchokozi wangu lakini tulikua tunataniana na kufurahi..!!

Vee alikuwa mtu wa watu, sijui km aliwahi hata kugombana na member humu..!!

Mahi sisi vivuruge tukifa kwanza sijui km hata taarifa watapata 😹
 
Jirani tutengeneze umoja wetu vivuruge ili tuje kukumbukana Kapeace

😀😀
 
Dah, alinifanya nikutane na watu muhimu sana katika Utambuzi. Ninamshukuru!
Azidi kudumu Katika Asili na Ukamilifu wake.
 
Kuna watu watatusimanga si unajua wasivyo na dogo,

Apumzike salama mke mwenza, hakuwa na makuu kabisa
 
Tunamshukuru Mungu kwa ajili ya maisha yako darling Valentina
For the love, kindness, and light you shared with everyone around you. Uliishi maisha yenye upendo na unyenyekevu mwingi..

Though you are gone from our sight bt you will forever remain in our hearts.
Farewell darlin
Till we meet again 🕊️🕊
 
Safari ya mwisho ya mpendwa wetu Vallentina makaburi ya Njiro leo mchana. Mungu ampe pumziko la milele dada yetu kipenzi
 
Dah,haya maisha bana
 
Kubeba mimba ukiwa 40+ ni hatari kwa afya na uzima wako, japo ni kweli wengi wanazaa tu ila very risky.
Okay, usitumie sunrise year uliyoona kuhisi kwamba 40yrs ni risk kuzaa.
Nadhani hukumfahamu… kuna other factors( hii sentensi iishe hivi hivi pls)

Msitishe wanawake wapate hofu kwamba miaka fulani ni hatari kuzaa..
 
Okay, usitumie sunrise year uliyoona kuhisi kwamba 40yrs ni risk kuzaa.
Nadhani hukumfahamu… kuna other factors( hii sentensi iishe hivi hivi pls)

Msitishe wanawake wapate hofu kwamba miaka fulani ni hatari kuzaa..
Hatuwatishi mkuu, tunaongea mambo yaliyopo. Mke wangu pia alikatazwa ku-conceive japo alitaka sana, risks are high ukishavuka 35. Sisemei scenario hii, I'm just being geneal. Wala usiichukue too personal, poleni kwa yaliyotokea.
 
Mkuu chanzo nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…