King Kong III
Platinum Member
- Oct 15, 2010
- 62,927
- 95,288
Nashindwa hata niseme nini jamani dahhhhh!!!!!ππ
Mimi nahisi nitakuwepoSi ni kweli lakini
Sawa ,ukiwepo ukumbuke , kutu tag japo tutakuwa hatu reply tenaMimi nahisi nitakuwepo
Wewe Mwachi na hayo masotojo yako, dumu ya mafuta ya lita 5 unaitumia wiki 2 πMimi nahisi nitakuwepo
Mkuu za kitambo?Ulikuwa umejificha wapi mkuu Ngoda?
Roho imeniuma...Nashindwa hata niseme nini jamani dahhhhh!!!!!ππ
May her soul rest in peace π―οΈπ―οΈπ―οΈπ―οΈ
Oh God...Mimi. Sina maneno mengi ya kuandika ilaa nima huzuni kubwa juu ya taarifa ya msiba juu ya mpendwa wetu Valentina ππ
Wengi wetu tunamjua kwa kuunganisha watu na kujenga upendo katikati ya chuki na hasira, lakini leo Mungu amempenda zaidi.
Nitatoa updates kadri nitakavyojaliwa.
Update:
Mazishi ni siku ya juma3, tarehe 27.
Ibada ya mazishi itafanyika nyumbani pale alipokuwa akiishi Mpendwa wetu Valee. (Maghorofani) na baadae tutaelekea Makaburi ya Njiro - Arusha kwa ajili ya kumpumzisha kwenye nyumba yake ya Milele.
Mwanga wa milele ukuangazie kipenzi chetu Valentina Upumzike Salama.
Forever in our Hearts ποΈπ
Kumbe hawezi penyaWewe Mwachi na hayo masotojo yako, dumu ya mafuta ya lita 5 unaitumia wiki 2 π
Usijar bossSawa ,ukiwepo ukumbuke , kutu tag japo tutakuwa hatu reply tena
Wiki moja namaliza lita tano ππ kitambii kiko juu juu nowWewe Mwachi na hayo masotojo yako, dumu ya mafuta ya lita 5 unaitumia wiki 2 π
Pole lo! Mungu amempenda zaidiRoho imeniuma...
Pole sana madam , na alikua rafiki yako sanaPole lo! Mungu amempenda zaidi
Mnoo yani! Nimeumia sanaPole sana madam , na alikua rafiki yako sana
Pole sana ndivyo maisha yalivyoMnoo yani! Nimeumia sana
Kumbe Mungu akikupenda zaidi anakudedisha?Pole lo! Mungu amempenda zaidi