Reputation Power.

Reputation Power.

Mie mwenyewe huwa natamani kuwapatia baadhi ya watu hiyo kitu ia ndo hivyo tena nashindwa kabisa.
 
Mie mwenyewe huwa natamani kuwapatia baadhi ya watu hiyo kitu ia ndo hivyo tena nashindwa kabisa.

unashindwaje bana?

hebu jaribu kwangu.. na mimi ni baadhi ya watu!!
 
Kwa tunaotumia simu tunaona kama mnaongea kichina
 
I was looking around, nimegundua wanachit chat ndiyo wana reputation power nyingi sana compared na member wa
Majukwaa mengine..

Wengi wamefikia million wachache sana wamevuka 10million..

My self i got Rep Power : 7535631..

kuna vichwa vingine hapa..

kiwatengu
Rep Power : 14808809. (nadhani atakuwa wa kwanza)

farkhina
Rep Power : 11342801 (nadhani atakuwa wa pili)

MziziMkavu
Rep Power : 10782321 (bila shaka ni wa tatu)

kuna alizidi hapo?

mkuu uran, update uzi wako!

nimeshika namba tatu tayari!
 
Last edited by a moderator:
utafiti wangu uko sahihi kabisa huyo Arushaone na BAK hata wewe umewazidi aisee

Rep Power : 8792037 ya arushaone

Rep Power : 9478618 ya BAK

afu cheki ya kwako Excel
Rep Power : 10306484..

i was right.

mi ya kwangu inafika posho ya wajumbe wote wa bunge la katiba
 
Nimekumisi sana mkaruka, umepotelea wapi??

Baada ya valentine day hujaonekana kabisa jukwaani

mimi? mi mbona nilikuwepo 24/7!

we ilikuwa zamu yako ya kuchunga ng'ombe ama?
 
Mie mwenyewe huwa natamani kuwapatia baadhi ya watu hiyo kitu ia ndo hivyo tena nashindwa kabisa.

yale maelekezo yangu yote hukuyaelewa jamani jawi
 
kwani rafiki ndo kitu gani hicho cha rep power wanafanyaje mpaka wanazipata hizo?
I was looking around, nimegundua wanachit chat ndiyo wana reputation power nyingi sana compared na member wa
Majukwaa mengine..

Wengi wamefikia million wachache sana wamevuka 10million..

My self i got Rep Power : 12495752

Updates...

kuna vichwa vingine hapa..

kiwatengu
Rep Power : 14808809. (nadhani bado atakuwa wa kwanza)

farkhina
Rep Power : 13841961 (nadhani bado atakuwa wa pili)

mimi sasa ndiyo nipo kwenye 3...

Na nne ni Excel
Rep Power : 12214483

kuna alizidi hapo?
 
hebu nielekeze wanafanyaje kupata hiyo kitu?

usijali, ntakupa!

ila ukitaka kumpa mtu, unabonyeza hako kanyota keusi mduara kalikopo baada ya kitufe cha send pm, unabonyeza halafu una-apruvu! baada ya kuapruvu, una add coment!

baada ya hapo, mambo swaaafi kabisa!
try it..
 
Hahahah kama anatumia tecno imekula kwake. Mwambie kabisa.
 
Back
Top Bottom